R.KELLY IS A MUSIC god

R.KELLY IS A MUSIC god

KhaaaA[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] ....is this isht for real!!!!!!!.....siamini masikio yangu.
 
Duuh this is amazing... nimejikuta machozi yaki tiririka
Daaaaaah! Quite different! Alwayz the best!
Mhhhhh nimebaki kuduwaa ka alivyoduwaa yule babu
KhaaaA[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] ....is this isht for real!!!!!!!.....siamini masikio yangu.
Hii ni zaidi ya ajabu asee!!

Well people thats R.Kelly,
He's anointed, what he does is above talent aisee.
 
kui dada yangu njoo uone maajabu duniani hapa!
Cha kusikitisha hiki kitu huwezi kusikia kwenye media kubwa kubwa.
Angefanya mtu kama Adele kingeingia kwenye GUINESS WORLD RECORD!

Malcom hii ilipaswa iingie kwenye GUINESS WORLD RECORD! Mwanzo nilidhani ni muvi inarudiwarudiwa lkn jamaa ni shidaaaaaa! Robert Kelly the man of the Music!
 
Mbona hata kwenye media haujapigwa Promo.
Lakini angefanya mzungu tungesikia, jinsi inavyopigwa promo.
Mimi niliiona hiyo kwenye NBC sasa nikajua nitaikuta kwenye mitandao lakini wapi.
Itabidi nidownload Compettiton yote ili niipate yote kama clip imekuwa ngumu kupatikana.

Watu weupe (wazungu) wakiamua kufanya ubaguzi,wanaisimamia hiyo idhini kwa ufasaha! Jamaa wanaweza sana ubaguzi.
 
We R.Kelly ni nyooko, si kwa kumiliki mpumzi huo..doh!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
ni noma huyu jamaA hata nyimbo zake anazoandika zina maudhui mazito sana, sikiliza nyimbo kama when woman fed, if i could turn back hands of time na nyingine kibao, yan jamaa ni shida halafu anacheza basketi pia na miziki almost yote anaweza fanya
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mtoa uzi umetisha, hyo vdeo ilivyoungwa mpaka raha. Hakuna kitu kama hyo
Na mimi nimeshangaa kama hiyo aaaaah.. aaaahhhhh.... aaaaah siyo ya kuungaunga kwani mtiririko wa sauti na picha ni kama vinajirudiarudia. Na kama siyo vya kuungaunga kumaanisha kwamba R. Kelly katumia pumzi tu kwa dakika zote hizo, basi nasikitika kusema jamaa (R. Kelly) anatakiwa kupimwa kuthibitisha kama siyo kichaa au kama hatumii sigara kubwa!! Its really ineffable!
 
USA baby
upload_2016-7-11_13-44-2.png
upload_2016-7-11_13-44-4.png
upload_2016-7-11_13-44-5.png
.

Bow down bitches!!
 
Na mimi nimeshangaa kama hiyo aaaaah.. aaaahhhhh.... aaaaah siyo ya kuungaunga kwani mtiririko wa sauti na picha ni kama vinajirudiarudia. Na kama siyo vya kuungaunga kumaanisha kwamba R. Kelly katumia pumzi tu kwa dakika zote hizo, basi nasikitika kusema jamaa (R. Kelly) anatakiwa kupimwa kuthibitisha kama siyo kichaa au kama hatumii sigara kubwa!!

😀😀😀😀😀😀😀
Haahaaaahaaaaaaaa!
 
This is beyond extra ordinary!
Huyu jamaa ameniogopesha aisee.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!


Kwenye RnB huyu siyo King ni god; hana mpinzani aisee.
Huyu jamaa sijui kaumbwaje, wengine wangekuwa washazimia.
Mungu kawapa watu weusi vipaji vikubwa sana has a kwenye kuimba, hili hata shetani analijua.

Mkuu mbona kuna watu wanasema it is looped?
 
Back
Top Bottom