Kiba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 459
- 62
Alikuwa msela wa kitaa ndani ya kijiji cha Ngaritati wilayani Siha .alisoma shule ya sekondari Nuru shule ikawa ngumu akaachia kidato cha pili. Akaanza kuwa mchizi wa kitaa na kunywa pombe za kienyeji "nzuga" au dadi pamoja na banana .angekua amemaliza kidato cha nne 2010. Kwa bahati mbaya jana kajidunga sindano nyingi zaidi zikamzidi mwishowe akaanza kutapika damu juhudi za kuokoa maisha yake zimeishia K.C.M.C usiku wa jana R.I.P