R.I.P Malema Christopher Mpyila

R.I.P Malema Christopher Mpyila

Sikuwai kujua user name yake hapa ila huyu ni mwanajukwaa hapa jamii forums.
Ni mwenzetu alikua ni kijana mchapakazi Mwanasheria kijana ndo kwanza alianza kuziona njia za mafanikio.Mungu ameamua kumuita kwake.
Katika familia yao walikua wamebaki watoto wawili tu.Mungu kaamua kuwaita wote kwa Siku moja.
Hawa ndugu zetu wamepata ajari ya gari uko kigamboni baada ya gari yao kulivaa Lori na wote kufariki dunia.RIP Malema na mdogo wetu Stella.
Wapumzike kwa amani mbele yao nyuma yetu
 
Dah poleni sana aiseeee! Mimi siku nikifa Ooghh Mungu aepushie mbali, ila nikifa wengi watakuja kutoa taarifa sahihi! Wanajua kila kitu! Poleni sana Kuna haja ya kufahamiana na watu at least wawili au watatu
 
Poleni sana wafiwa,huu ni msiba mkubwa sana kwa upande wa wazazi na ndugu na jamaa,inabidi wawe na moyo wa kipekee kukikubali kilichotokea,Mwenyezi Mungu awape moyo huo.RIP Marehemu
 
Back
Top Bottom