Mungu awape uvumilivu wana familia kwa msiba huu mzito, hakika hakuna neno la kuwaambia zaidi ya kuwaombea kwa Mungu awajaalie ujasiri wa kulipokea hili na kumtumaini yeye Mungu. R.I.P ndugu zetu.
Wanadamu tuliobaki tunaendelea kukumbushwa kifo hakina kanuni na wala hakuna ajuaye siku ya kufa. Tusidanganyikr na kudhani ni mpaka tuugue au tuwe wazee ndipo tutakufa. Hapana! Kwa kuwa kuna maisha baada ya kufa inatupasa wakati wote kujiandaa kwa maisha hayo. Kumwambia Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi hakubadilishi cho chote. Unataka kwenda peponi itakubidi ujiandae kabla umauti haujakufika. Mungu awafariji wafiwa katika hiki kipindi kigumu sana kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.