white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
Kwa hiyo unataka uliwe halafu usamehewe?? Kwanza mwanaume kuwa na mwanamke nje ya ndoa ni crime against morality sio mkewe upo hapo?? Lakini kwa mwanamke ni both.
Bandiko lako limefundisha nini.....
Ulikuwa hujui?? Habari ndiyo hiyo.
Kunya anye kuku...!
Kwa mujibu wa ????
Weka yako, au ya sehemu yoyote ya mwili wakoJamani picha
RIP MadibaMwanaume kamwe hawezi kusamehe dhambi ya usaliti
madiba alikua mwanaume kama wanaume wengine
U don't know the whole story so sht up..!
And who is mjasiria mpaka apange nani akifanya nini inakuwa ni crime against nani?
hii siyo kweli.....
kuna wanaume wengi tu wanasamehe hilo.....
wanaoshindwa kusamehe hilo ni kwamba mapenzi kwa wake zao yameisha tu, siyo sababu ya uzinzi.....
ni kama tu ambavyo wanawake wanaoshindwa kusamehe waume zao wazinzi sababu mapenzi yameisha.
Kwa hiyo unataka uliwe halafu usamehewe?? Kwanza mwanaume kuwa na mwanamke nje ya ndoa ni crime against morality sio mkewe upo hapo?? Lakini kwa mwanamke ni both.
Kaka kaa tuu kimya, naona unakuwa tofauti kwa kutaka tu kuwa tofauti hata kama ni "ufala", pole lakini ingekuwa wewe mkeo kakucheat ungemsamehe?? Na umemjua na bado anaendelea ungemfanyaje?? Sio unajitofautisha tu jitofautishe kwa mantiki
Rolihlahla alimtaliki Winnie Madikizela baada ya kashfa ya Winnie kuhusika katika kifo cha kijana mario wa Winnie.Kijana alikuwa Mwanaharakati wa ANC akauwawa,ilikuwa bonge la skandali.Lakini mapenzi hayana mwisho akampata mjane wa Samora Machel mamaa Graca Machel.