Bado siwaelewi ndugu zangu hapa. Mnamaana ya 'KWA HERI' Dr Remmy katuacha au 'KWA HERI' jina la wimbo wake mojawapo baada ya kupata WOKOVU??? Jamani, tujue namna ya ya kuwashilisha ujumbe vizuri!!!
Anyway, kama ni kweli ... tumuombee salama kwa Mungu na apumzike kwa Amani ya Milele. Na kwa masikitiko makubwa nasema MPIGANAJI wa nguvu wa SAUTI YA MNYONGE atakua amesalimu amri.
Khwri uendako Daktari!! Nitamkumbuka sana na wimbo wa 'Masikini na Basketi, Tajiri na Mali yake. Japo aliuimba siku nyingi sana lakini usahihi wake Tanzania ya leo unatisha ambapo Matajiri wameamua KUJITWALI HADI NA BASKELI HIYO YA Mnyonge kwa maana ya Kuiteta CCM na wakulima na wafanyakazi kutupwa nje.
Aisee tusaidie kuulizia hiko chanzo chako jamaa alikuwa mgonjwa, alilazwa, pressure au ajali?
Kwa sasa nareserve pole zangu hadi hapo habari hii itakapokuwa confrirmed.
wahusika tafadhali hii habari hebu itafutieni mahala husika.
hili ni jukwaa la Siasa na Dakta hakuwahi kuwa hata katibu tarafa...
So toa hii hapa.
Nikihakikisha kuwa ni kweli basi pole zangu nitaziandika nitakapoikuta habari hii, lakini si hapa