R.I.P beautiful young gal

R.I.P beautiful young gal

Aliyeleta taarifa wa Kwanza kabisa kwa ' Kiherehere ' chake alituaminisha kabisa kwamba alikuwa ni Mwanafunzi wa UDSM na nina wasiwasi muda si mrefu kuna Watu watakuja na kusema ni Mwanafunzi wa TEOFILO Kisanji na wengine VETA Keko na hata wa KAM College.
Kwani wewe shidayako ni kujua ni mwanafunzi au swala la kuuwawa acha ufala
 
CCM na polisi wake wamemuua huyu binti. Rip girl ulikuwa na ndoto nyingi Sana mbele yako. Mungu akurehemu. Na hapa ndio Taifa letu magufuli amelifikisha yote haya ni kwa akili ya kung'ang'ania madaraka. Tulizoea kuona haya mambo Rwanda, Burundi, Congo, Uganda . Sasa Kwetu. Inauma sana
 
Wajue hapa wamemkosesha mume mmoja kupata mke aliejitolea kua nae milele. Ivute picha hii ungekua ni wewe.
 
Kwahiyo kumbe Field yake alikuwa anaifanyia mjini na katika Madaladala badala ya huko Bagamoyo kama ambavyo alisema? Kazi ipo hakyanani!
usifanye moyo wako kuwa mgumu, Umeambiwa alikua amepanda daladala imfikishe makumbusho kisha apande ingine ya Bagamoyo kwa lengo la kupeleka maombi yake ya Field.

Enyi Wagalatia ni nani aliwaloga?????
 
Nikiona hio picha napata hasira na mapolisi yanayoacha akili vituoni na kuondoka na bunduki ...

Aliyeua malipo ni hapa hapa duniani
 
usifanye moyo wako kuwa mgumu, Umeambiwa alikua amepanda daladala imfikishe makumbusho kisha apande ingine ya Bagamoyo kwa lengo la kupeleka maombi yake ya Field.

Enyi Wagalatia ni nani aliwaloga?????
Mak*ma kama haya ni yakupotezea tu watakuharibia siku mkuu
 
Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
N.I.T NA AMEFARIKI AKIWA ANAELEKEA BAGAMOYO KUOMBA FIELD.......
 
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina x3
 
519230c1e9bf6ad34ac60bf1889314a9.jpg
R.I.P
 
who is her


her full name au jina analotumia kwa mitandao ..hiyo pic sio ngeni
 
R.I.P Binti Akwilina B.
Ndoto zako zote zimezimwa kama vile mshumaa uzimwavyo
 
Back
Top Bottom