barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Yawezekana aliaga labda juzi, au alikuwa anadanga kidogo mitaa ya kinondoni.Kwahiyo kumbe Field yake alikuwa anaifanyia mjini na katika Madaladala badala ya huko Bagamoyo kama ambavyo alisema? Kazi ipo hakyanani!