R.I.P beautiful young gal

R.I.P beautiful young gal

nini kime mtanguliza tena jamani wakati bado binti tu
 
Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
Alikuwa anasoma UDSM
 
Aliyeleta taarifa wa Kwanza kabisa kwa ' Kiherehere ' chake alituaminisha kabisa kwamba alikuwa ni Mwanafunzi wa UDSM na nina wasiwasi muda si mrefu kuna Watu watakuja na kusema ni Mwanafunzi wa TEOFILO Kisanji na wengine VETA Keko na hata wa KAM College.
Mkuu
Umeongea kwa kuchekesha ila ndio hivo tumempoteza mpendwa wetu
Na taarifa kuhusu ni wa NIT ni confirmed na uongozi wa chuo husika
 
Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
Alikua anasoma National institute of transport (nit) pale mabibo mwisho ama relini ama kinaitwa chuo cha usafirishaji. Course procurement mwaka wa kwanza
 
Nadhani Chakubanga sasa moyo mweupe baada ya damu isiyohatia kumwagwa
 
Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
Inasemekana alikuwa mwanafunzi wa NIT mwaka wa kwanza akisomea procurements & logistics. Mkuu wa chuo inasemekana kasema, marehemu aliaga kuwa amaenda field bagamoyo.
 
Punguza ujuaji.

Mlaumu Mwenyezi Mungu aliyenifanya niwe na maarifa mengi na uwezo mkubwa wa kufikiri ambao kwa bahati mbaya sana na pengine alijua Wewe haukufai hakukupa na badala yake akaamua tu kukubariki na huo Ujinga wako uliokutukuka na unaokutesa kama siyo Kukusumbua.
 
R.I.P
10a9bb36d889208529b8482d51048f87.jpg
Ila kazuri, Ngweah atakasumbua sana huko alikoenda.
 
Inasemekana alikuwa mwanafunzi wa NIT mwaka wa kwanza akisomea procurements & logistics. Mkuu wa chuo inasemekana kasema, marehemu aliaga kuwa amaenda field bagamoyo.

Kwahiyo kumbe Field yake alikuwa anaifanyia mjini na katika Madaladala badala ya huko Bagamoyo kama ambavyo alisema? Kazi ipo hakyanani!
 
Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
Anasoma chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) bachelor in logistics and transport management, na pia yupo first year
 
Kwahiyo kumbe Field yake alikuwa anaifanyia mjini na katika Madaladala badala ya huko Bagamoyo kama ambavyo alisema? Kazi ipo hakyanani!
Kosa sio yeye kuzunguka kwenye daladala, kosa ni la polisi kufyatua risasi ovyo kwa watu ambao hawakubeba hata panga mwisho
 
Back
Top Bottom