Mbinguni ndio wapi tena ? Nyinyi mbona imeandikwa kwenye biblia eti anawatengeneza mashoga ?Sasa wanatofauti gani na nyie Mungu wenu amewaandalia pombe na zinaa mbinguni
Ukijua sodoma na gomora walikuwa ni waarabu wala hutapata shida nani mwanzilishi wa ushoga.Mbinguni ndio wapi tena ? Nyinyi mbona imeandikwa kwenye biblia eti anawatengeneza mashoga ?
Ukijua sodoma na gomora walikuwa ni waarabu wala hutapata shida nani mwanzilishi wa ushoga.
Kabisa.
Uislamu umeanzishwa na mudy, as per historical evidence, huyo allah unayemsemea alienzisha uislamu hajawahi kuwepo, hakuwahi kuwepo na hatokuja kuwepo, na hakuna historical evidence zozote za uwepo wake physical, zaidi ya kuwa mmoja kati ya miungu waarabu waliokuwa wanamwabudu even before muhammad na mafundisho yake.Nimekwambia Uislamu haujaanzishwa na mtu
Ndiyo mafundisho ya Nabii wako Tito?Uislamu umeanzishwa na mudy, as per historical evidence, huyo allah unayemsemea alienzisha uislamu hajawahi kuwepo, hakuwahi kuwepo na hatokuja kuwepo, na hakuna historical evidence zozote za uwepo wake physical, zaidi ya kuwa mmoja kati ya miungu waarabu waliokuwa wanamwabudu even before muhammad na mafundisho yake.
So unaposema uislamu umeanzishwa na Allah unachekesha, have some shame na kubali tu kwamba ni binadamu alieanzisha, na jina lake anaitwa muhammad.
Mimi huyo kwa sababu nakufahamisha una uongo na ujinga wa uislam wa Mudy ambaye ndie Allah mwenyewe since Allah does not exist.We kenge
Kwa hiyo Baba yako Akiwa Gwajima akikutuma umtukane Samia usifungwe wewe afungwe Gwajima? hebu lete Joke maana na wewe ushaanza kama Mtume wako alianza hivi hivi na mifano ya vichekesho.mfano wewe Baba yako kakutuma kwa Mama yako afu wewe ukamfikishia ujumbe yale yale maneno aliyo yasema Baba yako kwa Mama yako hayo maneno ni yako au ya Baba yako?
Afu Mama yako awafikishie ndugu zako wengine vile vile alivyo ongea Baba yako na wewe ulivyo mfikishia mama yako, hayo maneno yatakuwa yako na Mama yako au yatabaki kuwa ya Baba yako?
Jua kuzama kwenye matope?Qur'an mbona iko wazi ni ujinga wako tu. Inasema hivi.
Mudy hajawahi kuwa Mtukufu labda ndie Allah wenu anyway mnamuabudu... Mwizi,Bakaji,Taperi la kuchukua pesa na mali za wanaomkopesha Allah kwa Malipo Jennah hahaha. Mtu aliyeingiwa na Majini ya kulogwa ndie Mtukufu hahaha Mtu aliyesamehewa dhambi zake za nyuma na dhambi zijazo akiwa hai hahahaha.Hakika hili ni neno la mfikishaji ujumbe mtukufu.
So unapinga Quran? wewe ni kiboko hahaha..Mjumbe mtukufu: Malaika aliyeteremsha wahyi, kama inavyobainishwa katika Aya zifuatazo. Neno la mjumbe mtukufu halimaanishi kwamba Qur'an ni neno la Malaika sababu yeye mjumbe. Katika (Surah Al-Haaqqah, Ayat 40), vile vile, Qur'an imeitwa neno la Mtume Muhammad, na humo pia haimaanishi kuwa ni maandishi ya Mtume Muhammad isipo kuwa ni neno la mjumbe mtukufu, imefafanuliwa kwamba Mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu.
Wewe Kenge kama huwa husomi tunayo kujibu usitupoteze mda hapa, maneno hayo unarudia kila kukicha hapa na tunakujibu.lakini wewe au watu design kama zenu walisha jibiwa na Mtume Muhammad pamoja na Allah kwenye Qur'an.Mimi huyo kwa sababu naufahamisha uma uongo na ujinga wa uislam wa Mudy ambaye ndie Allah mwenyewe since Allah does not exist.
Mimi Sishangai kwa sababu Allah ametutukana sana Non-Muslim na akasema ni Adui zake. na kutuita worst of creature ushahidi kuwa hakutuumba na sisi tuna haki zote kumtukana bwege mjinga yule sanamu, wayahudi walimuambia mikono yake imejifunga hafanyi chochote Mudy alikasilika akatoa laana zikamrudia mwenyewe tu Allah hayupo tokea zamani- Mnajisumbua tu kuswali asubuhi hadi mchana wakati kawaambieni mudy kuwa huwa anashuka anga ya karibu kusikiliza salat wakati mmelala hahahaha kuswali mchana ni waste of time.
Quran 98:6
Hakika walio wasioamini miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina watakuwa katika Moto wa Jahannamu wadumu humo milele. Hao ndio viumbe wabaya zaidi.
Sahih International: Indeed, they who disbelieved among the People of the Scripture and the polytheists will be in the fire of Hell, abiding eternally therein. Those are the worst of creatures.
Kwa hiyo Baba yako Akiwa Gwajima akikutuma umtukane Samia usifungwe wewe afungwe Gwajima? hebu lete Joke maana na wewe ushaanza kama Mtume wako alianza hivi hivi na mifano ya vichekesho.
Quran ni Maneno ya Mohammad ingekuwa Ni Mungu asingeandika ujinga uliomo mule from cover to cover kila Aya ni stupid. wewe utakuwa Shabiki la Inter Milan pigwa Tano na PSG hahaha
Jua kuzama kwenye matope?
Mudy hajawahi kuwa Mtukufu labda ndie Allah wenu anyway mnamuabudu... Mwizi,Bakaji,Taperi la kuchukua pesa na mali za wanaomkopesha Allah kwa Malipo Jennah hahaha. Mtu aliyeingiwa na Majini ya kulogwa ndie Mtukufu hahaha Mtu aliyesamehewa dhambi zake za nyuma na dhambi zijazo akiwa hai hahahaha.
Hivi hat wanao unawaambia Mohammad ni Mtukufu? lol
So unapinga Quran? wewe ni kiboko hahaha..
Hivi huwa unasoma intrpratationn za aya za Quran au umekomalia ubishi wa kijinga tu... kuwa Makini mimi sio mzushi navyoweka aya kuthibitisha jambo fulani huwa naelewa ninachofanya nawajua Muslim kwa kuplay games nikiamua kukuchezea game nitakuwa kama nakushushia heshima wkati nia yangu uuelewe uislam wako kuwa ni fake religion.
Katika Uislam almost kila kitu ni fake, Allah ni Fake, Aya ni fake ikiwemo hii ya Quran ni word of Mohammad kumbe nayo ni fake, Utukufu wa Mohammad nao ni fake, Quran pia ni Fake maana Quran ya akina Allah bado hawajaikusanya na kuwawekeeni mioyoni mwenu, Ukisomewa hadithi za Kiislam pia mnasema ni fake Hadith, Quran fake mnasema zilikuwepo na Omary akachoma fake Quran,
Aya za Quran nazo mnakataa kuwa Jua halizami kwenye Matope mnasema aya Fake. Allah kuja kila kitu kumbe nayo ni fake Hajui Hesabu Eight pair anahesabu kuwa ni nane badala ya 16..
Hivi mna kipi original? mana Kihistoria inasemekana Mohammad pia ni fake aliitwa Qutham na hakuacha Quran so Quran mnayotumia ni ya Hafsi Waislam walimuita mtu muongo na hadith zake wakasema ni fake ila Quran fake yake wakaikubali.
Kihistoria pia Mecca ni fake once mji uliitwa Bakka ndio uarecord at least zinaendana na quran time n.k
Even Quran mnayoitumia imepangwa ki fake aya zimepangiliwa na waislam Aya ya kwanza Mudy akiwa pangoni imewekwa 90 huko kifake..
Al fatiha ukianza kuisoma unajua tu aliye andika ni mudy Allah haweza kujitaka kama anajidhadithia yeye mwenyewe kwa jina la Lah
STUKA STUKA namalizia msemo wa Marehemu Lowasa ELIMU ELIMU ELIMU
Quran kama mnaamini ni word of Allah basi Allah is stupid with proof Qran yenyewe...
Mathayo 19; 10- 12
Mathayo 19; 10- 12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hivi ndivyo hali ilivyo kati ya mume na mke, basi ni afadhali mtu asioe!” 11 Yesu akajibu, “Si kila mtu anaweza kupokea mafundisho haya isipokuwa wale ambao Mungu amewajalia. 12 Kwa maana wako watu wasioweza kuoa kwa sababu wamezaliwa na hali hiyo; na wengine wamefanywa hali hiyo na binadamu; na pia wako wengine ambao wameamua kutokuoa kwa ajili ya Ufalme wa mbinguni. Awezaye kuli pokea fundisho hili na alipokee..
Hivi unasome unachojibu au ? maana kila ukitoa upupu unaharibu aya zingine.. i told you huwa unasoma sababu ya hizo aya kushuka? maana Mohammad alikuwa akiumbuliwa uongo wake kesho yake au siku hiyo hiyo anakuja na majibu eti Jibril kashuka na kumpa aya kujibu mashambulizi ya arabs, Jews na Christians.. kwakuwa wewe huna akili ni sawa na mtume wako aliwaambia baadhi ya wayahudi kuwa wanabeba book lakini hawajui kilichondani ya kitabu kuwa wapo sawa na punda. huo msemo unakuhusu wewe..Wewe Kenge kama huwa husomi tunayo kujibu usitupoteze mda hapa, maneno hayo unarudia kila kukicha hapa na tunakujibu.lakini wewe
sasa wewe ndio unaonekana mpumbavu kutaka kubadilisha aya? wasomi wote wa kiislam wanakubali hiyo aya ipo sawa wewe unakataa tukuambie amani iwe kwakoau watu design kama zenu walisha jibiwa na Mtume Muhammad pamoja na Allah kwenye Qur'an.
WEWE WACHA TUKUWACHE NA UJINGA WAKO KAMA MTUME MUHAMMAD ALIVYO SEMA NA QUR'AN ILIVYO TUAMBIA.
Mtume Muhammad alitushauri kuepukana mabishano na watu wapumbavu au wale wanaotafuta elimu kwa ajili ya mabishano tu au kujionyesha.
chapter 25 neno Rahman (beneficent) ilikuwa halijaanza kutumika hadi sura ya 50 so uthibitisho kuwa quran ni maneno ya mohammadQur'an
وَعِبَادُ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى ٱلْأَرْضِ هَوْنًۭا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ ٱلْجَـٰهِلُونَ قَالُوا۟ سَلَـٰمًۭا ٦٣
Chapter (25) sūrat l-fur'qān (The Criterion)
And the servants of the Beneficent Allah are they who walk on the earth in humbleness, and when the ignorant address them, they say: Peace.
bora tu usijibu kama mtume wako muongo alikuwa akiingizwa chaka na jews, maana ukiendelea ninazidi kufunua uislam wote na uongo wenu nyie watumwa wa allah.Kuanzia leo sikujibi tena sababu husomi tunayo kujibu sa yanini tuendelee kupoteza mda wetu na wajinga kama nyie ni bora nifate ushairi alio nipa ndugu yangu Kosugi
Umeelewa au
Ungesoma hapo kabla ya hapo ndio ungejua Yesu alikuwa anajibu swali gan. Tatizo lenu wenye dini hamreasoning jamboHao waliofanywa hali ya kutoweza kuoa na binadamu, Jee ni hali gani ? Waliokutafsiria waliogopa kuandika walifirwa kanisani na mapadri na wachungaji , kwani ndio mchezo wao
Umenukuu biblia ipi kati ya biblia zaidi ya 1000 tofauti?
QJV, KJV, AV, NIV, Douay, .........,....
Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??Umeelewa au
Ungesoma hapo kabla ya hapo ndio ungejua Yesu alikuwa anajibu swali gan. Tatizo lenu wenye dini hamreasoning jambo
Mbona unakwepa swali mzee. Nimekuuliza umesoma hapo juu swali lililozaa hilo jibu?Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??
Usisahau kutuambia ulinukuu biblia ipi ??
Kwa kukuongezea msikilize huyu mkristo mwenzenu
View attachment 3352873
Weka ushaidi kama iyo dini inayoruhusu ushoga ilianzisha uislamMoja ya product nzuri ya Kanisa Katoliki ni kuanzisha dini ya kiislamu. Bonge moja la kazi lilifanyika.
Unamuiga kiranga....yule mwenzio ni baba la shetaniKwenye uislam na ukristo vyote ni maandishi tu ili kusimamia imani ,Thibitisha vya kwako ni ukweli na vimetoka kwa Mungu ambae ukishakiri utapaswa uthibitushe hapa
Miongoni mwa miujiza ya Qur'an na kwamba ni kitabu chenye muongozo kwa wanadamu wote ni kule kutoonewa haya waarabu ambao kitabu hicho kimeteremshwa kwa lugha yao.
Kuonesha kuwa ni maneno ya Allah aliyeumba ulimwengu wote basi hata Mtume Muhammad rehma ziwe juu yake haikumoenea haya wala haikumpa fursa akaingiza lolote la kwake.Mfano maarrufu ni pale siku moja alipokuwa ameshughulika na kuwalingania matajiri na watu maarufu wa Makka ili waingie kwenye Uislamu.Muda huo huo akatokea maskini mmoja ambaye ni kipofu akaomba naye afahamishwe jambo.Mtume akakunja uso kuona anamkera katika muda muhimu wa kuzungumza na watukufu wa Makka.Sura nzima ikashuka kumkemea kwa kitendo chake hicho.Sura hiyo akaendelea kuisoma na alipokufa imebaki hivyo hivyo.
Mwanamke aliyetajwa ni mmbora ni mama yake Yesu as na wala mama yake mwenyewe wala mtoto wake wa kike kipenzi wala mke wake yeyote yule.
Qur'an kujulisha kuwa ni ya watu wote ina matamko mengi sana yanayowaita ENYI WATU kwa ajili ya wachina ,wajapani,wahindi na wote wengine ambao hawajinasibishi na vitabu kutoka kwa Allah.
Vile vile kwa ajili ya kuwaita kwenye uislamu ina matamko yanayowaita wakristo na mayahudi kuachana na upotovu na kufuata mafundisho ambayo yameboreshwa yaliyo kwenye uislamu.Matamko hayo ni kama vile ENYI WATU WA KITABU!
Upande wa waarabu wale waliokuwa kabla ya Mtume saw na wale alioishi nao hawakuachwa kutajwa kwa maovu waliyokuwa wakiyatenda.yote hayo ni kuonesha Qur'an ni kwa ajili ya muongozo kwa wote.
Waarabu walio hai miaka hii nao wamepewa vidonge vyao kwenye aya nyingi za Qur'an,baadhi yake ni kwenye surat Towba.Tuone aya mbili tu kati ya hizo, ya 19 na 20
Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.19
أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ ۚ لَا يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
١٩﴾ الَّذِينَ آمَنُوا وَهَاجَرُوا وَجَاهَدُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ أَعْظَمُ دَرَجَةً عِندَ اللَّهِ ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَائِزُونَ ﴿
Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu.20
Wanaodharauliwa hapo ni wale ambao wanaujenga msikiti wa Makka (Alkaaba) na kuuwekea teknolojia za kisasa kila mwaka na kuwakirimu vya kutosha mahujaji.Wanawapa maji ya zam zam mpaka mengine wanabeba makwao.Baada ya hapo wanaamini ndio wamemaliza ibada na kutenda wema katika dunia na wanabweteka kusubiri msimu ujao..
Wanaodharaulika ni wale ambao wanaojaza malori eneo la Rafah na wakawacha bidhaa ziharibike huku wanaohitaji na wanaokufa kwa njaa wapo mita chache tu kutoka hapo,
Wakudharauliwa na walimwengu wote ni wale wanaonunua silaha na kuzinduka kwenye maghala bila kuzitumia kupigana na yule anayeuwa ndugu zao masafa mafupi tu kuliko wanapoishi.Hao hao ambao wanatoa zawadi ya ndege na mapesa kwa yule anayeongoza kuua ndugu zao wa kiimani.
يَهْدِي إِلَى الرُّشْدِ فَآمَنَّا بِهِ وَلَن نُشْرِكَ بِرَبِّنَا أَحَدًاقُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ مِّنَ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْآنًا عَجَبًا
Inayoongoza kwenye uwongofu, basi tumeiamini, wala hatutamshirikisha Mola wetu na yeyote.’”Sema: "Imenifunulia kwamba kundi la majini lilisikiliza, likasema: ‘Hakika tumesikia Qur’an ya ajabu,
وَأَنَّا لَمَّا سَمِعْنَا الْهُدَىٰ آمَنَّا بِهِ ۖ فَمَن يُؤْمِن بِرَبِّهِ فَلَا يَخَافُ بَخْسًا وَلَا رَهَقًا
“Na tuliposikia uwongofu tuliuamini. Basi anayemuamini Mola wake hatakuwa na khofu ya kupunjwa wala kudhulumiwa.”