Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

Muddy mnyamwezi

nedladdning.jpeg
 
Sasa umekusudia kusema nini hapo.
Qur'an ni ktabu kilichokushanya elimu zote zinazotuhusu binadamu.Majini ni viumbe vya Allah na habari zinazowahusu tunazo zote.
Kinachoshangaza na nyinyi mayahudi na wakristo na makafiri wenzenu ambao majini mnaishi nao lakini hamuwaelewei ni nani na wakoje.Ndio maana mnawaogopa na kupayuka ovyo ovyo
.wenzenu waislamu tumeambiwa wakao wema na waislamu kama sisi na wengi kati yao ni mashetani,Tumeambiwa tukijikinga kwa Mwenyezi Mungu hao mashetani wala hawana nguvu juu yetu na hawawezi kutudhuru.
Qur'an ina mambo yanayohusu mbingu na anga za mbali kwa ufafanuzi mkubwa ilhali dini zetu hazina taarifa hizo kwa kina.Kutajwa kwa majini ni moja tu katika elimu zilizomo ndani ya Qur'an.

Nyie elewaneni nayo maana mnamwabudu baba yao shetani. Hakuna jini mwema. Hakuna shetani hawezi kuwa mwema.
 

Attachments

Kwani nimekuambia wapi kuwa biblia imeandikwa kwa maelekezo ya kanisa?

Usikimbie maswali

Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??

Usisahau kutuambia ulinukuu biblia ipi ??
Hiv unajielewa. Unasoma biblia halafu unauliza la kanisan
 
Hiv unajielewa. Unasoma biblia halafu unauliza la kanisan
Unajifanya kama huelewi kuwa wewe mlokole masalia Huwezi kutumia biblia ya Jehovahs witness au ya wakatoli
ki

usikimbie maswali


Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??

Usisahau kutuambia ulinukuu biblia ipi ??
 
Does it means Jews are smarter than Allah?🤣🤣

Stop putting Hadith in the same category with the Qur'an. Each and every verse of the Qur'an should be believed by Muslims.

One of the leading Imam of Islam collected 600,000 Hadith and found out less than 3000 about 2,601 as good.

How can you put a book that less than 1% of it is believable to the one that is supposed to be100% authentic. That's injustice.

There are too many false stories in the hadith, creating Islamophobia all over the place.

Qur'an is the revelation (scripture) [ laws from God]And Hadith are the (ATTRIBUTED) sayings and deeds of Mohammad. Allah gives us assurance in the Qur'an that He did not neglect anything in theQur'an 6:38, it’s fully detailed 6:114, its perfected 11:1, has explanation of EVERYTHING, it’s the best HADITH 45:6, Allah gives explanation 25:33.


Needless to say that anything that is fully detailed, perfected, explains everything does need any other books.


Hadith were written almost after 200 years after Prophet’s death. If a hadith is clearly out of context, if it isn’t in accordance to the Qur’an, it isn’t to be trusted at all. And also, other hadiths from the person who narrated the false one are to be doubted
 
Stop putting Hadith in the same category with the Qur'an. Each and every verse of the Qur'an should be believed by Muslims.

One of the leading Imam of Islam collected 600,000 Hadith and found out less than 3000 about 2,601 as good.

How can you put a book that less than 1% of it is believable to the one that is supposed to be100% authentic. That's injustice.

There are too many false stories in the hadith, creating Islamophobia all over the place.

If we stopQur'an is the revelation (scripture) [ laws from God]And Hadith are the (ATTRIBUTED) sayings and deeds of Mohammad. Allah gives us assurance in the Qur'an that He did not neglect anything in theQur'an 6:38, it’s fully detailed 6:114, its perfected 11:1, has explanation of EVERYTHING, it’s the best HADITH 45:6, Allah gives explanation 25:33.


Needless to say that anything that is fully detailed, perfected, explains everything does need any other books.


Hadith were written almost after 200 years after Prophet’s death. If a hadith is clearly out of context, if it isn’t in accordance to the Qur’an, it isn’t to be trusted at all. And also, other hadiths from the person who narrated the false one are to be doubted
If we stop believe in hadeethes, Islam will be no more.
 
If we stop believe in hadeethes, Islam will be no more.
I don't think so. The Qur'an is the words of Allah and protected by Allah and no one else, it can never be corrupted, hence why it will always be perfect.

Hadith on the hand is the sayings of the Prophet Muhammad, but not written down by the Prophet, which means it can be corrupted overtime, no historical text is immune to corruption.
 
Imepokewa kuwa Aisha (r.a) alisema:


(“Hakika wahyi ulikuwa unakuja kwangu nikiwa katika nguo ya Aisha.”)

Muddy alikuwa shoga kwa mujibu wa Quran. Mwanaume hawezi vaa nguo za mkewe.



Unaringa hapo umekumbatiwa na mchungaji mzungu

nedladdning (1).jpeg
 
Unaringa hapo umekumbatiwa na mchungaji mzungu

View attachment 3353581

Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (RA):
Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW)
alimchukua mtoto mchanga wa Abu Usaid As-Sa'idi.
Mtoto alikuwa analia kwa kiu.
Mtume (SAW) akaweka ulimi wake katika kinywa cha mtoto.
Mtoto akaanza kunyonya ulimi wa Mtume hadi akatulia.
 

Muddy alikuwa shoga, bakaji na mlawiti

Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (RA):
Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW)
alimchukua mtoto mchanga wa Abu Usaid As-Sa'idi.
Mtoto alikuwa analia kwa kiu.
Mtume (SAW) akaweka ulimi wake katika kinywa cha mtoto.
Mtoto akaanza kunyonya ulimi wa Mtume hadi akatulia.
 
I don't think so. The Qur'an is the words of Allah and protected by Allah and no one else, it can never be corrupted, hence why it will always be perfect.

Hadith on the hand is the sayings of the Prophet Muhammad, but not written down by the Prophet, which means it can be corrupted overtime, no historical text is immune to corruption.
Even Allah itself(not himself or herself since has no sex) could not protect Quran from Sheytan....you remember the Satanic Verces incident? Let me remind you a bit.....

At one point, while Prophet Muhammad was reciting Surah An-Najm (Chapter 53 of the Quran), he wished for a way to reconcile with the pagan Meccans.

During this recitation, some early accounts suggest that a few lines were uttered that praised the pagan deities al-Lat, al-Uzza, and Manat, implying that their intercession could be hoped for. The Meccans were pleased by this and prostrated with the Muslims.

Later, it is said that Angel Jibreel came to Muhammad and informed him that those lines were not from God but were whispers from Satan.

Subsequently, these lines were abrogated (removed) from the recitation, and verses from Surah Al-Hajj (22:52) were revealed to address the situation, stating that prophets before him also faced attempts by Satan to interfere with their revelations, but Allah nullifies Satan's suggestions and confirms His own signs.

🤣🤣🤣🤣
The almighty Allah was unable to protect its(not his😂😂) book from sheytan interferance
 
Muddy alikuwa shoga, bakaji na mlawiti

Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (RA):
Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW)
alimchukua mtoto mchanga wa Abu Usaid As-Sa'idi.
Mtoto alikuwa analia kwa kiu.
Mtume (SAW) akaweka ulimi wake katika kinywa cha mtoto.
Mtoto akaanza kunyonya ulimi wa Mtume hadi akatulia.
194537_1.jpg
 
Miongoni mwa miujiza ya Qur'an na kwamba ni kitabu chenye muongozo kwa wanadamu wote ni kule kutoonewa haya waarabu ambao kitabu hicho kimeteremshwa kwa lugha yao.

Kuonesha kuwa ni maneno ya Allah aliyeumba ulimwengu wote basi hata Mtume Muhammad rehma ziwe juu yake haikumoenea haya wala haikumpa fursa akaingiza lolote la kwake.Mfano maarrufu ni pale siku moja alipokuwa ameshughulika na kuwalingania matajiri na watu maarufu wa Makka ili waingie kwenye Uislamu.Muda huo huo akatokea maskini mmoja ambaye ni kipofu akaomba naye afahamishwe jambo.Mtume akakunja uso kuona anamkera katika muda muhimu wa kuzungumza na watukufu wa Makka.Sura nzima ikashuka kumkemea kwa kitendo chake hicho.Sura hiyo akaendelea kuisoma na alipokufa imebaki hivyo hivyo.
Mwanamke aliyetajwa ni mmbora ni mama yake Yesu as na wala mama yake mwenyewe wala mtoto wake wa kike kipenzi wala mke wake yeyote yule.
Qur'an kujulisha kuwa ni ya watu wote ina matamko mengi sana yanayowaita ENYI WATU kwa ajili ya wachina ,wajapani,wahindi na wote wengine ambao hawajinasibishi na vitabu kutoka kwa Allah.

Vile vile kwa ajili ya kuwaita kwenye uislamu ina matamko yanayowaita wakristo na mayahudi kuachana na upotovu na kufuata mafundisho ambayo yameboreshwa yaliyo kwenye uislamu.Matamko hayo ni kama vile ENYI WATU WA KITABU!

Upande wa waarabu wale waliokuwa kabla ya Mtume saw na wale alioishi nao hawakuachwa kutajwa kwa maovu waliyokuwa wakiyatenda.yote hayo ni kuonesha Qur'an ni kwa ajili ya muongozo kwa wote.

Waarabu walio hai miaka hii nao wamepewa vidonge vyao kwenye aya nyingi za Qur'an,baadhi yake ni kwenye surat Towba.Tuone aya mbili tu kati ya hizo, ya 19 na 20
‏
أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ ۚ لَا يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

١٩﴾‏ الَّذِينَ آمَنُوا وَهَاجَرُوا وَجَاهَدُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ أَعْظَمُ دَرَجَةً عِندَ اللَّهِ ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَائِزُونَ ‎﴿
​
Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.19
Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu.20


Wanaodharauliwa hapo ni wale ambao wanaujenga msikiti wa Makka (Alkaaba) na kuuwekea teknolojia za kisasa kila mwaka na kuwakirimu vya kutosha mahujaji.Wanawapa maji ya zam zam mpaka mengine wanabeba makwao.Baada ya hapo wanaamini ndio wamemaliza ibada na kutenda wema katika dunia na wanabweteka kusubiri msimu ujao..

Wanaodharaulika ni wale ambao wanaojaza malori eneo la Rafah na wakawacha bidhaa ziharibike huku wanaohitaji na wanaokufa kwa njaa wapo mita chache tu kutoka hapo,

Wakudharauliwa na walimwengu wote ni wale wanaonunua silaha na kuzinduka kwenye maghala bila kuzitumia kupigana na yule anayeuwa ndugu zao masafa mafupi tu kuliko wanapoishi.Hao hao ambao wanatoa zawadi ya ndege na mapesa kwa yule anayeongoza kuua ndugu zao wa kiimani.
Tuachane na hii dhana potofu jamani, Qur'an si kitabu cha Mungu bali ni haya za Kishetani ambazo Muddy alishushiwa na mshikaji wake shetani ili awe kibaraka wake wa kuua watu hapa duniani na kazi yake kubwa ilikuwa na kulazimisha watu / jamii kuwa Waislam ukikataa ulichinjwa hadharani.
 
Back
Top Bottom