Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

Mbona unakwepa swali mzee. Nimekuuliza umesoma hapo juu swali lililozaa hilo jibu?

usikimbie wewe kujibu

Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??

Usisahau kutuambia ulinukuu biblia ipi ??
 
Naona ninahojiana na mtoto. Wewe mtu akikuuliza swali kwanini hawa watu ni vipofu, ukajibu katika dunia hii kuna watu wanazaliwa ni vipofu, kuna wengine wamefanywa vipofu na watu wengine na kuna ambao wameamua kujifanya kipofu kwaajili ya ufalme wa Mungu sasa hapo kanisa linaingiaje. Hiv huko madrassa mnasomea nini?
 
Hiyo ni biblia ya kitali,
Jibu maswali unayoulizwa

Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??

Usisahau kutuambia ulinukuu biblia ipi ??
 
Hao wakanisa walisha potezwa na champion wa uongo Paulo alivyo ulizwa vipi ulikutana na Yesu

Matendo ya Mitume: 22:6-12 Utakapofika aya ya 9 hapo kuna utata inasema hivi:

6 Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski , wakati wa adhuhuri, ghafla nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote. 7 Nikaanguka nchi, nikasikia sauti ikiniambia, Sauli, Sauli, mbona unaniudhi? 8 Nikajibu, Wewe u nani, Bwana? Akaniambia, Mimi ni Yesu Mnazareti, ambaye wewe unaniudhi.
9 Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. 10 Nikasema, Nifanye nini, Bwana? Bwana akaniambia, Simama, uingie Dameski, na huko utaambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa uyafanye. 11 Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fahari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikaingia Dameski.

Hebu tazameni hapo walio kuwa naye hawakusikia sauti mara akawa kipofu ndio akawapoteza wakristo mpa leo hawajui wanaenda wapi.
Screenshot_20250601_152445_Quora.jpg
 
Hiyo ni biblia ya kitali,
Jibu maswali unayoulizwa

Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??

Usisahau kutuambia ulinukuu biblia ipi ??
Nani kakuambia biblia imeandikwa kwa maelekezo ya kanisa
 
Kwani nimekuambia wapi kuwa biblia imeandikwa kwa maelekezo ya kanisa?

Usikimbie maswali

Wewe unaye reason ujibu swali , Hao wanaofanywa kuwa wasiowe huko kanisani kwenu huwa wanafanywa nini ??? Na nani anayewafanya hivyo ?? Halafu utuambie ni nani katika kanisa lenu alifanywa au hivi sasa anafanywa hivyo ??

Usisahau kutuambia ulinukuu biblia ipi ??
 
Majority of the fake hadiths were created by Jews, because they did not want Islam to succeed. Jews even forced some of their young Jews to accept Islam and create chaos amongst Muslims. They first started by creating the confusion about who should be the first khalifa.
Saheeh hadeeth hiyo tulia
 
Does it means Jews are smarter than Allah?🤣🤣
 
Surah Al-Jinn (Surah 72)

Hii surah nzima inaelezea kisa cha majini waliomsikiliza Mtume Muhammad (SAW) akisoma Qur’an, kisha wakaamini na kusilimu. Hapa chini kuna baadhi ya mistari (aya) muhimu kuonyesha hilo:
Sasa umekusudia kusema nini hapo.
Qur'an ni ktabu kilichokushanya elimu zote zinazotuhusu binadamu.Majini ni viumbe vya Allah na habari zinazowahusu tunazo zote.
Kinachoshangaza na nyinyi mayahudi na wakristo na makafiri wenzenu ambao majini mnaishi nao lakini hamuwaelewei ni nani na wakoje.Ndio maana mnawaogopa na kupayuka ovyo ovyo
.wenzenu waislamu tumeambiwa wakao wema na waislamu kama sisi na wengi kati yao ni mashetani,Tumeambiwa tukijikinga kwa Mwenyezi Mungu hao mashetani wala hawana nguvu juu yetu na hawawezi kutudhuru.
Qur'an ina mambo yanayohusu mbingu na anga za mbali kwa ufafanuzi mkubwa ilhali dini zetu hazina taarifa hizo kwa kina.Kutajwa kwa majini ni moja tu katika elimu zilizomo ndani ya Qur'an.
 
Does it means Jews are smarter than Allah?🤣🤣
Biblia ndiyo inayosema hivyo yaani walikuwa na nguvu za kumpiga mieleka mungu, na wengine wakaandika ati mungu alitundikwa msalabani baada ya kula kichapo cha mbwa koko
 
Allah hayupo kwenye biblia.
Sasa Jibu swali, Je Jews ni smarter kuliko allah kama alivyobainisha Adiosamigo kwenye comment yake hapo juu?
 
Biblia ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti ?? ???
 
Back
Top Bottom