Quote of today

Hii lugha ya kuletwa na meli samtaim ni majanga matupu.
Ila ngoja walioipokea hiyo lugha siku hyo Bandarini waje, watatuelewesha.

Mwalimu wangu Madame B naomba tafsiri ya hiyo quote of the day.................. wengine huku kwenye kata tumetoka kapa
 
Last edited by a moderator:

Nilikuwa nasema manoah ana idadi ambayo inaweza kujaza mabasi mawili ya abiria............... namaanisha mabasi makubwa ya kutoka dar kwenda mikoani. siyo daladala tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu wangu Madame B naomba tafsiri ya hiyo quote of the day.................. wengine huku kwenye kata tumetoka kapa

Mwalimu mie na wewe mwanafunzi wangu wote tumetoka kapa.
 
Last edited by a moderator:
ahaaa..basi sawa
Nilikuwa nasema manoah ana idadi ambayo inaweza kujaza mabasi mawili ya abiria............... namaanisha mabasi makubwa ya kutoka dar kwenda mikoani. siyo daladala tafadhali
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…