Nimeuliza swali weye wanicheka kupost picha kwenye ule mtandao ni kizaizai kilichonisumbua..😅
Unachokisema ni kweli kule kuna watu na taaluma zao , tofauti na huu wetu kila takataka inayotoka kwenye kichwa mtu inapostiwa humuKule kuna uwazi na ukweli na mengine mazuri hakuna drawbacks kama mizaha, Seeking for attention, Sifa za hovyo na mihemuko
Mbona siioni playstore?Kati ya apps ambazo siwezi kuzikosa kwenye simu yangu ni Quora
Kweli kabisaNimejifunza mengi sana kwenye Quora... Kama hujawahi tumia huwez elewa.. madini ya kutosha
Futa kauli mkuu. Quora ni verified members huku ni hidden members.Tofauti ya Quora na JF ni lugha tu
Attention seekers wapo kila sehemu,kule pia wapo wengi sema madini ni mengi kuliko pumba.Kule kuna uwazi na ukweli na mengine mazuri hakuna drawbacks kama mizaha, Seeking for attention, Sifa za hovyo na mihemuko
Indians tu.
Kuna Reddit aisee.. Ina kila subreddit, yaani kila unachokifikiria kina group lake..
Indians tu.
Kuna Reddit aisee.. Ina kila subreddit, yaani kila unachokifikiria kina group lake..
How to get an acc?ountIndians tu.
Kuna Reddit aisee.. Ina kila subreddit, yaani kila unachokifikiria kina group lake..
nisaidie unafunguaje akaunti hukoFuta kauli mkuu. Quora ni verified members huku ni hidden members.
Quora kuna maarifa kamili hasa computer science, wakati JF wajuzi wanajishaua kishenzi.Quora kuna madini mkuu.
Every question is answered deep and partialy.
Intelkectual wenye uzoefu manguli waliofanya kazi mpaka white house,google,facebook,NASA.Achana na huo mtandao mkuu, wamerekani tuwaache tu, wale ni watu wengine.
I have got acvount there and i enjoy more to be there.
Jf tuikuze iwe kama Quora itapendeza sana.