Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
CHADEMA kabla ya Mwaka 2015 kilikuwa siyo Chama mashuhuri Tanzania bali hata nje ya Bara la Afrika. Kilikuwa na Dira, Sera na mikakati iliyowaaminisha Watanzania kuona kwamba kinapigania maslahi ya walalahoi na Wazalendo wa Nchi hii!
Inasikitisha sasa ambapo haijulikani Chama hiki kinaelekea wapi, kina dira gani na Sera zipi inazosimamia zaidi ya kutafuta "kick" kwenye matukio ya msimu tu. Haijulikani kama kina Katibu Mwenezi, nani na anafanya nini? Kwa sasa kinapinga kila jambo linalofanywa na Serikali hata kma huko nyuma kilipigania jambo hilo kwa nguvu zote! Hivi ni nani amekiroga Chama hiki masikini!!
Haijulikani kwa nini kimeondoa "List of Shame" kwenye Tovuti yake. Sijui kitawaeleza nini waliokiamini nyakati za nyuma kwa kitendo hicho! Ule ushahidi kiliokaa nao miaka 8 kuhusu List of Shame haijulikani umepeperukia wapi au sijui aliondoka nao Dr Slaa!!!??? Quo Vadis Chadema?
KWA KWELI KINATUKATISHA TAMAA WAFIA CHAMA! RUDI DR SLAA! HUKU HATUNA MWELEKEO TENA!!