Quo Vadis CHADEMA?

Tatizo lenu mlichokitafuta mmekikosa ,naona mkaenda kusikilizia kwenye msiba kunasemaje mkatolewa baru,sasa mmekuja tena hakuna rambirambi huko
Ndio maana Mstaafu aliwaita wapumbavu na malofa!!
 
Gangongine hawatakuelewa na utashushiwa mitusi kama Wabunge wafanyavyo bungeni: Mnyika, Mbilinyi, Bulaya, Mdee, Lema, Lissu na wengineo.

Kuwa kiongozi CHADEMA sifa kuu ni kuropoka, wao ukiita kitendo cha kishujaa!

Humu jamvini sifa yao pia na matusi: wapo akina swissme, Retired, Daud Mchambuzi, Mawia, Waterloo, na wenzao.
Kuropoka = USHUJAA
matusi = Demokrasia
ifike mahala tujue kutofautisha x na ×
 
Kabla ya kuishangaa Chadema ulipaswa kuishangaa ccm. Awamu ya mwalimu Nyerere ccm ikasema madini yasichimbwe mpk watz watakapo kuwa na uwezo wa kimaarifa na kiteknolojia.

Awamu ya Mkapa chini ya ccm hiyo hiyo mkawapa mabeberu madini yetu yote kwa mikatapa isiyofaa na isiyo na faida kwa taifa. Ccm mkatuaminisha kwamba nchi yetu itapaa kiuchumi.
.
Awamu ya tano hii chini ya rais Magufuli mnapiga kelele ooh ! Mabeberu yanatuibia. Mlipokuwa mnasaini mikataba kuyapatia madini haya mabeberu mlikuwa mmelewa nn, madaraka ama pombe ? Ni kweli ccm ina uchungu na rasilimali za nchi hii ama ni kutafuta kick ?

Kuna faida gani kupambania haki ktk rasilimali ambayo tayari imekwisha ? Mbona île gesi na mafuta haiongelewi kabisa ?
Wapumbavu kabisa hao.
 
Back
Top Bottom