Quetion 4 Ladies...!

Quetion 4 Ladies...!

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
hii k2 huwa inaniumiza kichwa acha leo niweke wazi,utakuta mdada mrembo tu na nimke wa mtu sametime lkn unakuta anavaa nguo za kubana sana mwili wengine wanavaa mpaka nguo nyepesi sn yani unaona mwili wake wote ulivyo,sasa hapo nashindwa kuelewa ninini hasa wanatafuta?????? Ni hayo tu.
 
dah nitakuja baadae ngoja nimalizie kinywaji changu kwanza
 
na mimi kuna mmoja namfahamu,namshangaaga kweli..
 
Tatizo wengi hawajui dress codes katika jamii. Sasa wakati mwingine inakuwa ngumu kutofautisha wale waliopo 'kazini' na wale waliovaa ili 'kujifurahisha' tu! Biashara matangazo ati!
 
Kuna mmoja amekaa vibaya hapa na kimin, map*ja nje nje, amevaa tait ya pink, mpaka SI UNIT yangu inata kunyanyuka, halaf namfaham kabisa ni mke wa mtu..
 
Mambo ya Fashion! Au labda mume anapenda na haoni tatizo mkewe kuvaa hivyo..
 
Mambo ya leo hayo.hayakwepeki..ukikataza wako.mwingne hakatazwi..what for
 
Kweli mdogo wangu hujui maisha, yani mpaka hili linakuumiza kichwa? Basi utakufa na presha mapema kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom