Question for the ladies... Bank A/C or Bed?

Question for the ladies... Bank A/C or Bed?

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,409
Where do you prefer your man to be perfect; in bed or his bank account?!



black-couple-being-intimate-e1334155888201.jpg Rich-black-man.jpg

Remember, you can only pick one!
xoxo
 
:smile-big::smile-big::smile-big😛esa makaratasi,heshima kitandani,afu we FirstLady1 maswali yako na hiyo picha ya kwanza yanaleta vishawishi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo maana yake nini? maana anaweza kua perfect huko kote lakini bado asiwe the perfect man for me!
 
Asilimia 90 watakuambia bank na 10 watakuambia kitandani. Yaan ni heri kutoa kabisa.
 
To ma side in bank a/c first vingine vinafuata bwana bed bed minitakula sura?

dada acha mawazo mgando hayo.dunia ya leo co kuendelea kumtegemea mwaume..pigana upate chako na heshima itakuwepo kuburuzwa utakuckia tu kwa watu ila kwa mawazo bora awe na hela cz hutakula sura means we unategemea uletewe hahaha utajikuta jamvi la wageni cz watakuona kama huna future vle. ni mtazamo tu take t or potezea.
 
On bed bwana mAhela tutayasaka wote badaae

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom