Kwanza hiyo "assumption ya mungu" ndiyo nini?mungu yupi huyo ana assumption?
'
Nikija kwenye mada yako ni kwamba,tunadhani tupo kwenye ulimwengu usiokua na kanuni,yaani vile maisha unavyoyatengeneza wewe ndivyo yanavyokuwa
'
Huo ni ujinga,kila kitu kina kanuni yake,mahusiano kwa mfano ni kanuni ya binadamu kuendelea kuwepo,hakuna kitu ambacho kipokipo tu,ili uweze kufaidi mazuri ya mahusiano ni lazima ufuate kanuni zake
'
Haya mambo ya kutengeneza watu kwenye akili zetu yatatupeleka shimoni,leo unataka mwenye hela,kesho utataka mzuri kitandani,wiki ijayo utataka msomi,mtondo goo utataka handsome etc,etc
'
Utaishia wapi?Tatizo watu hatupendi kuwajibika,kiuhalisia mtu anazaliwa mtupu hajui kitu,hajasoma,hana hela n.k,unataka nani ampe yote hayo ili wewe uje ule starehe bila kufanya lolote?Kwanini usitate wako ukamsomesha ukamfundisha namna ya kufanya ngono,mkatafuta pesa pamoja?
'
Mnataka mpate ambao tayari wana yote,yaani mtafuniwe nyie mmeze,maisha ya wapi hayo?Halafu hakuna binadamu mwenye kila kitu,matokeo yake mabinti mmekua makahaba,kutokana na kutokuwepo na mwenye vyote mnakua na mabwana kibao,mwenye hela,mzuri kitandani,muuza sura n.k
'
Kwanza mi nashangaa sijui ni nini kitanifanya nikupe hela,mkataba wangu na wewe ni mahusiano hela zangu zinahusikaje?Labda nikupe kwa kutaka mimi au ni mke wangu full stop,hutaki unaenda!
'
Mabinti acheni uvivu,wajibikeni na mfuate kanuni za maumbile,mnadhani mtaheshimiwa kwa kuhongwa na kujiuza?
'
Na hao wanaowapa hela nao wajinga tu!