Hahahahahahahah
:shut-mouth::tape2::A S 39:
najua mshituko umekupa heheheeh uko none of the above nini hahahhhaah?:shut-mouth::tape2::A S 39:
How imperfect kwenye bed huyo mwenye perfect bank account? Ina uwezo wa kusimama na kuingia, au ni useless kabisa?
Vipi kuhusu cheating tuizingatie as an alternative au haipo?
Kwani The Boss yuko category ipi?
..it begins with you....
mapenzi ya pesa hayadumu,nimekupenda na wewe umenipenda tukila kisamvu nakaza roho siku inaenda. warereeee wapenda pesa kazi kwenu .nyoka kutema sumu ndio mpango mzima
Umenena Kaunga, maana anaweza akawa fiti kunako akaunti, lakini zikaishia kwa Evelyn Salt kwa kuchiti. Na ukizingatia jinsi Evelyn Salt anavyopenda hela... we acha tuHow imperfect kwenye bed huyo mwenye perfect bank account? Ina uwezo wa kusimama na kuingia, au ni useless kabisa?
Vipi kuhusu cheating tuizingatie as an alternative au haipo?
Jamani mimi nawatizama kwa kijicho pembe tu wale mnaodai mambo ya Libolo Sports Club ndo mpango mzima! Shauri yenu! Mmesahau mambo ya kujibana nyumba za kupanga huku maza house mwanga, mambo ya TZ 11, mambo ya kula kwa mawazo, mambo ya kayumba, mambo ya harusi ukumbi wa kimra bucha, mambo ya kopakopa untd, mambo ya kuvunjiwa heshma na kudharauliwa na wadogo zako. Acheni tu! Hata penzi linakuwa gumu!
Na nyie mnaoshabikia Bank Account ndo inayoingia huko? Bank account ndo inakupa pleasures? Nakuulizeni nyie satisfaction inatoka kwenye balance sheet na kuingia mioyoni mwenu?????????
Mi bado napima uzani!
najua mshituko umekupa heheheeh uko none of the above nini hahahhhaah?
Sasa mambo ya kuwa nayo yote hayo halafu unanuka GENYE mwili mzima si ni balaa?? Yaani mtu akikusalimia kwa kukupa mkono tu we HOI kwa kuguswa, na mwisho wa siku mna hela kibao hala ANAKUBANJUA SHAMBA BOY, COWBOY, MARA MFYATUA TOFALI KWENYE SITE YENU MPYA NAYE ANAJILIA MZIGO KAMA KAWA.... Hiyo si ndo aibu mara kadhaa..??Jamani mimi nawatizama kwa kijicho pembe tu wale mnaodai mambo ya Libolo Sports Club ndo mpango mzima! Shauri yenu! Mmesahau mambo ya kujibana nyumba za kupanga huku maza house mwanga, mambo ya TZ 11, mambo ya kula kwa mawazo, mambo ya kayumba, mambo ya harusi ukumbi wa kimra bucha, mambo ya kopakopa untd, mambo ya kuvunjiwa heshma na kudharauliwa na wadogo zako. Acheni tu! Hata penzi linakuwa gumu!
Na nyie mnaoshabikia Bank Account ndo inayoingia huko? Bank account ndo inakupa pleasures? Nakuulizeni nyie satisfaction inatoka kwenye balance sheet na kuingia mioyoni mwenu?????????
Mi bado napima uzani!
Ngalikihinja, Leave mai waifu alone!Umenena Kaunga, maana anaweza akawa fiti kunako akaunti, lakini zikaishia kwa Evelyn Salt kwa kuchiti. Na ukizingatia jinsi Evelyn Salt anavyopenda hela... we acha tu
Ngalikihinja, Leave mai waifu alone!
Haki ya nani hii falsafa ilishakufa siku nyingi!! Hivi hujashuhudia jinsi gani walioanza from 0 na wakifanikiwa tu wanaume wanaanza kuwa cobra!!! Anakutumulia vumbi unabaki kuona kisigino tu!! Na akibahatika kununua gari haki ya nani utapata mara chache kushinda mahawara!! Dada zangu huwa nawashauri kuwa na mtazamo wa maisha kwa kukubali hali zote za maisha kuwa unaweza ukajitoa sana katika maisha na ukaachwa na kesi nyingi tumeshuhudia!!