Question for the ladies... Bank A/C or Bed?

Question for the ladies... Bank A/C or Bed?

awe na pesa. mnaweza kulipia subscription ya mwaka pale www.!@#$#$%$**&^%$#@!)($.com na ''kujifunza'' bed activities ha ha.
 
awe na pesa. mnaweza kulipia subscription ya mwaka pale www.!@#$#$%$**&^%$#@!)($.com na ''kujifunza'' bed activities ha ha.
Hahahahaha, le beurre et l'argent du beurre!
BTW, I like your t-shirts. got a her's version? 😉
 
Kaka, hela naweza kuzisaka mwenyewe na nna uwezo wa kujifikisha kileleni ama kununua. Hujaonamtu ana mwenza halafu yuko lonely

Mdogo wangu, hii ni next level onaona.....he!:nono:
 
Hahahahaha, le beurre et l'argent du beurre!
BTW, I like your t-shirts. got a her's version? 😉
message not received
sijaipata mwenzake 🙁 shes_mine_tshirt.jpg
 
kuna wanawake waume zao wana hela balaa. . . lakini nenda ukamwone anayetoka naye nje ya ndoa hana hata hadhi yaani hawaendani kabisa kisa on bed yuko vizuri chezea mapenzi wewe. . .mapenzi yana nguvu kuliko pesa!
 
dada acha mawazo mgando hayo.dunia ya leo co kuendelea kumtegemea mwaume..pigana upate chako na heshima itakuwepo kuburuzwa utakuckia tu kwa watu ila kwa mawazo bora awe na hela cz hutakula sura means we unategemea uletewe hahaha utajikuta jamvi la wageni cz watakuona kama huna future vle. ni mtazamo tu take t or potezea.

umenishangaza sanahapo kwenye bold!
mbn we umeshindwa kuheshimu mtazamo wa tricecriss
kwamba anapenda mwanaume wake awe perfect kwenye account yake ,huu nao ni mtazamo wake!wewe ungetoa wako
bas tu!
 
Last edited by a moderator:
Hmmm watu kujishaua bed bed...akat ukimeet na mtu unampimia walet yake sesign gan??k'koo??lather???imejaa mautam au ndo vitambulisho vya kura na copiez zake...teh mara kadi ya bima ya afya..teh teh
au ndo
wekundu zip yake..tanotano mahala pake..yeahh!!! Au ndo buku mbili jero imekunjwa mara 4...!!!
Hahahaa watu muwe serious..apo ujamjua unaanza muwazia bed???ntamfundisha tu baadae taratib taratibu maadam inafanya kasi mamaangu.. Ayo maperfection hakunaga perfect ...no 1 is!
Uwiii mmebora anatoka kwa Mungu according to utakavoomba na kuamini,ila kwa macho ya nyama..tusidanganyaneee!!!
 
umenishangaza sanahapo kwenye bold!
mbn we umeshindwa kuheshimu mtazamo wa tricecriss
kwamba anapenda mwanaume wake awe perfect kwenye account yake ,huu nao ni mtazamo wake!wewe ungetoa wako
bas tu!

bora ulivyonisaidia mindivyo ninanyoona sasa yeye kama anaona ni mawazo mgando mi naoana ni mawazo fresh kama pesa inatafutwa na maujanja nayo atajifunza kwan shida ipo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh....hapa nipige swaga tu, maana utafiti unaonesha kwamba asilimia 50 ya wanaume hawawezi kazi kitandani. Heee! tena yamekuja haya ya kwenye pochi? Mbona hata kwanza mahitaji yetu tu yanatushinda, sembuse mtu akuongezee hiyo sifa!
 
Back
Top Bottom