Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Queen nkami anamzima huyo huyo anaemuomba akupigie ndogo ndogo
Halafu wewe nawe....umerudi tena kwa yule eeh?
Queen nkami anamzima huyo huyo anaemuomba akupigie ndogo ndogo
Kami.
Watu kwa majungu, mwenyewe alisema anampenda kama kaka nyie mnang'ang'ania kua ni zaidi. Si mtoe tu hongera yaishe?
yaani watu hata sijui niwajibuje.
ofcoz nina kila sababu ya kumpenda Ngabu wasionielwa basi mradi nilishaeleza nampendaje,
Uzuri hata Mikael nimeshamueleza kwa nini nampenda Nyani Ngabu.
Hadi avatar umebadilisha kutoka ile ya huzuni huzuni na sasa ni full tabasamu kwa kwenda mbele. Safi sana Queen.
Halafu wewe nawe....umerudi tena kwa yule eeh?
yaani watu hata sijui niwajibuje.
ofcoz nina kila sababu ya kumpenda Ngabu wasionielwa basi mradi nilishaeleza nampendaje,
Uzuri hata Mikael nimeshamueleza kwa nini nampenda Nyani Ngabu.
akikutosa nione hutojuta mkuu
acha niweke ya kutabasamu NN Mungu ni mwema sana.
Queen Kami
.. ..
Hapo kuna huu uzi