Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,837
- 93,612
Walijua wao ndo wapinzani hivyo watapata teuzi wakamshobokea Sana mh rais.Mzee sasa mbona kina Lisu na wafuasi wake wa humu walidemka sana mama aliposema atateua wapinzani?
Siasa inalipa bwana asikwambie mtu,ukijifanya mgumu vieite utaziona kwenye misafara tu.
Wao ndo nyumbu huoni wanavyodandia matukio HAKUNA tofauti wanavyo ingia na kuvuka mtoni.Aisee…hao jamaa si nishakwambia wanazidiwa akili hata na nyumbu….au umesahau?
Kwa vipi?Seen
Ahahahahahahah!
Hivyo hivyoKwa vipi?
Dr Slaa mwenyewe alitamka hadharani , video zipo hapa hapa jfMasahihisho: Dr. Slaa alichukizwa na kitendo Cha kumuengua kuwa mgombea wenu wa urais na kumpa EL. Alimkimbia Mbowe na saccos yenu hakuwakimbia lowasa na sumaye.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app