Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,798
- 218,443
Watu ni wale wale. Lengo ni FURSA ya kutafuna keki ya taifa na kutokukaa JOBLESS.🤣🤣🤣🤣
Malkia mwenye kauli tamu bana!!!
Mpinzani wa kweli hawezi kufanya kazi ndani ya serikali ya CCM kutekeleza ilani ya CCM.
Ahadi ya Mama ilikuwa ni maneno matamu tu ya kuwapoza watu walio na uelewa finyu wa mambo.
Wale wanasiasa malaya malaya by J K NyerereUkikubali cheo cha bure lazima ukubali na masharti ya mtoa cheo , Mtaka cha uvunguni sharti ainame
View attachment 1796168
Ifahamike kwamba hapa duniani hakuna kitu cha bure , nipe nikupe , haiwezekani Magonjwa Mtambuka aliyepigania ccm kufa na kupona atelekezwe halafu upewe wewe ukuu wa mkoa bila masharti yoyote , hicho kitu hakuna
Sasa huyu dada siku yoyote msishangae mkimuona akikabidhiwa kadi ya ccm " kwa mara ya pili "
Atoke kwenye danguro aache vieiteeee eti ni ADC m.vi
Kaamua kuitumikia nchi inayoongozwa na CCM. Katibu mkuu wenu alipoteuliwa ubalozi alikabidhiwa pia ilani ya CCM.Ukikubali cheo cha bure lazima ukubali na masharti ya mtoa cheo , Mtaka cha uvunguni sharti ainame
View attachment 1796168
Ifahamike kwamba hapa duniani hakuna kitu cha bure , nipe nikupe , haiwezekani Magonjwa Mtambuka aliyepigania ccm kufa na kupona atelekezwe halafu upewe wewe ukuu wa mkoa bila masharti yoyote , hicho kitu hakuna
Sasa huyu dada siku yoyote msishangae mkimuona akikabidhiwa kadi ya ccm " kwa mara ya pili "
Masahihisho - Dr Slaa alikwishajiuzulu vyeo vyote Chadema kwa maelezo ya kuwakimbia Sumaye na Lowassa ndio akahongwa ubalozi , Hakuwa Katibu Mkuu wa Chadema , cha kushangaza sasa leo hii yuko Chama kimoja na Rostam , Lowassa na Sumaye na wala hajakimbia !Kaamua kuitumikia nchi inayoongozwa na CCM. Katibu mkuu wenu alipoteuliwa ubalozi alikabidhiwa pia ilani ya CCM.
Anna Mghwira alikabidhiwa pia ilani ya CCM.
Unaponda uteuzi kuuita kitu Cha bure sababu hajateuliwa mwanasaccos.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata Lissu akiteuliwa aidha Ubalozi au Uwanasheria Mkuu au Ukatibu Tarafa Ikungi lazima akabidhiwe ILANI YA CCM ili akaisimamie na kuitekeleza. Kwahiyo, mnapofurahia kauli ya Mama kujumuishwa kwenye Serikali msilisahau hilo.Ukikubali cheo cha bure lazima ukubali na masharti ya mtoa cheo , Mtaka cha uvunguni sharti ainame
View attachment 1796168
Ifahamike kwamba hapa duniani hakuna kitu cha bure , nipe nikupe , haiwezekani Magonjwa Mtambuka aliyepigania ccm kufa na kupona atelekezwe halafu upewe wewe ukuu wa mkoa bila masharti yoyote , hicho kitu hakuna
Sasa huyu dada siku yoyote msishangae mkimuona akikabidhiwa kadi ya ccm " kwa mara ya pili "
Kweli asee🤣🤣🤣🤣
Malkia mwenye kauli tamu bana!!!
Mpinzani wa kweli hawezi kufanya kazi ndani ya serikali ya CCM kutekeleza ilani ya CCM.
Ahadi ya Mama ilikuwa ni maneno matamu tu ya kuwapoza watu walio na uelewa finyu wa mambo.
Aibu yakeMasahihisho - Dr Slaa alikwishajiuzulu vyeo vyote Chadema kwa maelezo ya kuwakimbia Sumaye na Lowassa ndio akahongwa ubalozi , Hakuwa Katibu Mkuu wa Chadema , cha kushangaza sasa leo hii yuko Chama kimoja na Rostam , Lowassa na Sumaye na wala hajakimbia !
Hata mzee wa MIGA Lisu ameteuliwa atakabidhiwa ilani ya ccm
Acha dharau weweee! Achaguliwe Lema ili afanye kazi gani katika Serikali ya Tanzania!?Samia lazima achague wapinzani "soft" ili afanye nao kazi kwa amani, akichagua vichwa ngumu watampasua kichwa, sipati picha Lema au Mbowe akabidhiwe hiyo ilani then ainyanyue juu namna hiyo.