Kitambo sana yupo kwenye gemu. Kazi zake si za kubabaisha au kuiga.
Anhaa sawa mkuuAna tuzo nyingi sana za uigizaji kwenye filamu. Anajiheshimu na kuonesha bidii sana kwenye kazi zake za uigizaji na matangazo anuai ya biashara.
Mkuu, comment yako ni dhahiri kabisa humjui huyu dada kwani ulichoona ni hayo mavazi tu.Umalkia ni zaidi ya kuvaa vitenge na bendera!