Quality Plaza yaungua?

Bandugu, asubuhi hii nimeona jenge la quality plaza, ile sehemu yenye stanbic bank ikiwa imeungua. Kuna mwenye habari zaidi atujulishe?

hii ilishaletwa kama breaking news humu siku zilizopita

asante pasco, am sory mimi ckuiona.

Gama kwakweli labda niseme unasikitisha..
Mi nilidhani umeona leo kwa macho yako....kwanini tunacopy na kupaste kila tuonacho jamani?
Kuna mambo mengine mbona si ya mzaha?
I suggest this nature of conduct should immediately stop!
 
ah asi ashasema hakuiona iyo post........
angeiona asingeipost
ajafanya mzaha its just hakujua km ilikwepo
hakukop aliona na hakujua km umu jf ilishakuwepo.
thax.
 
...Usitetee. Ameleta Breaking News kuwa 'Jengo la Q/Plaza Laungua' kwa maana ya kwamba ni wakati uliopo na kwa akiliya kawaida ni kwamba ameona Moto, Moshi, Zimamoto na mambo yote yanayohusu kuungua jengo.
Kama aliona tu sehemu ya ya Jengo "Imeungua' lakini haoni moshi, moto wala zima moto basi haikupaswa kuwa 'Breaking News' bali swali kwamba 'Q/Plaza imeungua/Iliungua/Inaungua??' Tuwe waangalifu kabla ya kupost tunazotaka zionekane kuwa ni 'Breaking News'!
 
mmh baba deci jaman..
aya smtetei tena
yaishe
BREAKING NEWS.......poaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
...ah, Rose wee! Dont take it too personal! pleeeeasee?:A S wink:
ni kiasi cha kuwekana sawa tu!
Hujambo lakini?
 
sijambo mimi hofu na mashaka juu yako uliye mbali na upeo wa macho yangu !!!!!!!!
any breaking newssssssssss.....??????????
 
Uvivu wa kusoma unamkabili GAMA walah.
Ahsante PJ kwa kumwelimisha na kumpasha.
Ahsante ROSE1980 kwa kujiweka wakili wa GAMA.
kesi imefungwa na mtalipia gharama za mahakama
 
...Usitetee. Ameleta Breaking News kuwa 'Jengo la Q/Plaza Laungua' kwa maana ya kwamba ni wakati uliopo na kwa akiliya kawaida ni kwamba ameona Moto, Moshi, Zimamoto na mambo yote yanayohusu kuungua jengo.
Kama aliona tu sehemu ya ya Jengo "Imeungua' lakini haoni moshi, moto wala zima moto basi haikupaswa kuwa 'Breaking News' bali swali kwamba 'Q/Plaza imeungua/Iliungua/Inaungua??' Tuwe waangalifu kabla ya kupost tunazotaka zionekane kuwa ni 'Breaking News'!

Baba desi na wengine, jitahidini kusoma vizuri.... amesema ameona likiwa limeungua... sio kwamba ameona linaungua... ebo!!!
 
Sehemu yenye BENKI inawaka moto!:A S wink:....N/W/Searching!

Gama kwakweli labda niseme unasikitisha..
Mi nilidhani umeona leo kwa macho yako....kwanini tunacopy na kupaste kila tuonacho jamani?
Kuna mambo mengine mbona si ya mzaha?
I suggest this nature of conduct should immediately stop!
My broda, sometime you dont even think before you give your replies! You replied to him positively (in his favor) that it was burning (plaza) but a minute later you turned your face upside-down.....oh, you got to change too! You can use search button if any! :)
 
Mtu akisoma toka mwanzo atakujua wewe ni mbabaishaji, ndio maana unabadili majina kila siku!..period!
 
Acha kuandika majibu ya kike wewe...period kitu gani sasa....nimekwambia ukweli. Tena wewe unakiherehere sana member akijibu hivi mara umjibu oooh sijui fanya hivi kwani umetumwa? Nikibadilisha majina ni uamuzi wangu :) Nilikwambia tu ukweli kwamba hata wewe huwa unaharibu vile vile...haya sasa, nenda kaseme kwa mods (only if you are NOT one of them!)...
 
You are miserable, usitafutie umaarufu na huruma kwangu!...Amini usiamini sitakujibu kitu tena, maana huna umuhimu wowote hapa jukwaani!..kwaheri!
 
Kweli masikini akipata makalio hulia mbwata! chapa lapa mzee, whoever knows everything is expert in nothing....hata wewe unamwaga pumba vile vile....usidhani watu wanafurahia vimichango vyako unavyotoa! :)
 
Gama kwakweli labda niseme unasikitisha..
Mi nilidhani umeona leo kwa macho yako....kwanini tunacopy na kupaste kila tuonacho jamani?
Kuna mambo mengine mbona si ya mzaha?
I suggest this nature of conduct should immediately stop!

paka+jimy, ulielewa post na majibu yangu: post inasema nimeona juu ya stanibic pameungua, kisha baada ya kuelezwa habari za juzi nikasema sory sikuiona "thread"; tell me; hapo unangaka juu ya nini; cant u stop ua myopiii?!
 
Back
Top Bottom