Quality Group imeanza kujenga kiwanda

Mkuu nasikia mnauza pikipiki za kijapan hapo Quality Group, nahitaji Honda 110 trail, ni bei gani? Au nipatie mhusika namba yake nwasiliane naye moja kwa moja.
Bei sifamu mkuu but ukienda pale Quality Centre au posta nadhani itakuepo. Au mcheki huyu 0717765090 nadhani atakusaidia
 
Bei sifamu mkuu but ukienda pale Quality Centre au posta nadhani itakuepo. Au mcheki huyu 0717765090 nadhani atakusaidia
Hon. Kassim Majaliwa, Prime Minister
meets Quality Group Limited to discuss
projects in manufacturing, e-Governance,
Health, mining and initiatives to bring
foreign investment to Tanzania. Vp kuhusu kiwanda cha kuunganisha matrekta
 
HEADING haiendani na kilichoandikwa.nilitegemea utasema wamefikia wapi kujenga kiwanda au ujenzi wa stone town village nao umefikia wapi?
 
Serikali huwa haijengi viwanda ifanyacho ni kutengeneza mazingira rafiki ya uwekezaji
 
Serikali za siku hizi hazijengi viwanda. Serikali inawawezesha wananchi wajenge viwanda, enzi za serikali kujenga viwanda halafu vimewashinda kuendesha ziliisha wakati wa Nyerere.
Mbona zinanunua ndege? Kutetea hii serikali lazma ujitoe ufahamu
 
Arusha kuna mweusi alinyimwa kuwekeza hoteli ya 77.

Sasa ndo imeeleweka aloepita ana maslahi (walau kupokea suti mupyaaa well cut) na Kempinski (sasa hyatt regency).

Hiyo ni historia lakini. Acha tuone awamu hii japo na wenyewe kichefuchefu safu haionani kabisa
 
...

ktk uchumi wa kisasa wa kibepari serikali sio jukumu lake kujenga viwanda ila kuweka mazingira ya kuvutia wawekezaji wa nje na ndani

...

Mi hata sielewi. Viwanda mnataka mazingira wezeshi. Ndege mnapongeza upuuzi wa serikali kuendesha biashara hiyo.
 
Inahitajika Affirmative action
 
Nakuelewa sana. Hao Quality ndo kina manji. Kuna maghala ya pale ubungo, power tiller n.k. jamaa wajanjawajanja tu. Useme tu ndo hivyo wana hela na wameshaikamata CCMScrow kunako. Hakuna cha magu wala majaliwa CCMScrow ni ileile
 
Unaijua hiyo kampuni vzr au umekurupka...napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…