Qatar Airways kuchukua asilimia 60 ya hisa za uwanja wa ndege Rwanda

Wa Tzn ni watu wakutafutiza hofu zisizo za msingi na kuzikumbatia nadhani unakumbuka ishu ya bagamoyo port hii inasababishwa na mentality za kijamaa ambazo zinakujengea hofu ya kushindwa badala ya kuwa risk taker ufanikiwe si ajabu nchi yetu imejaa rasilimali lakini kutokana na huu utumwa wa kijamaa tunaogelea kwenye umaskini badala ya kuwa risk taker eti tunasubili serikali
Leo hii private sector ya Tzn ni kama inakufa kwanza kwa crackdown za serikali kupitia regulatory authorities na pia hakuna juhudi za serikali kuinua private sector mwisho wa siku unakuta serikali inafanya biashara mara inajenga masoko mara inaendesha mwendokasi mara sijui inajenga viwanda wakati mwisho wa siku poor service delivery na zitakufa sijui kwa nini hatujifunzi kwenye historia

Tz bado wanafanya upembuzi yakinifu watu wanakufa maskini nchi ina miaka 60 kila siku watu wana hangaika maji umeme elimu

Blackberry
 
Kwahiyo ndege za mizigo zitakuwa zinatua Rwanda kwenye uwanja unaomilikiwa na wageni. Na hatutoweza kujua zinaleta nini au kubeba nini, na kuna DRC pembeni hapo

Sent from my PBCM30 using Tapatalk

Nonsense

Blackberry
 
kwa investment terms kama zile ,mm kwa uelewa wangu huwezi kukubali mkataba kichaa kama ule ,mtu apewe miaka 30 halipi kodi ,halafu bandari nyingine zote zifungwe . Wao ndio wawe operators wa bandari moja ,kwa hoyo infrastructures za Dar ,Mtwara ,na Tanga zioze . We need to think beyond the face value, tunaishi leo lakini kesho kuna vizazi vyetu .Kama ni kubinafsisha hatujakataa lakini ziwe terms za kueleweka

Wa Tzn ni watu wakutafutiza hofu zisizo za msingi na kuzikumbatia nadhani unakumbuka ishu ya bagamoyo port hii inasababishwa na mentality za kijamaa ambazo zinakujengea hofu ya kushindwa badala ya kuwa risk taker ufanikiwe si ajabu nchi yetu imejaa rasilimali lakini kutokana na huu utumwa wa kijamaa tunaogelea kwenye umaskini badala ya kuwa risk taker eti tunasubili serikali
Leo hii private sector ya Tzn ni kama inakufa kwanza kwa crackdown za serikali kupitia regulatory authorities na pia hakuna juhudi za serikali kuinua private sector mwisho wa siku unakuta serikali inafanya biashara mara inajenga masoko mara inaendesha mwendokasi mara sijui inajenga viwanda wakati mwisho wa siku poor service delivery na zitakufa sijui kwa nini hatujifunzi kwenye historia
 
Rwanda na Shirika la Ndege la Qatar zimeingia makubaliano ya TZS 3trilioni, ambapo Qatar itajenga, itamiliki (60%) na kuendesha uwanja mpya wa ndege wa kimataifa wa Rwanda.

Uwanja huo utaweza kuhudumia watu milioni 7 kwa mwaka, na awamu ya pili itaongeza idadi hadi milioni 14.

View attachment 1287970
kweli pesa sabuni ya roho, mikataba kama hii P si alikuwa akihubiri haipendi, RWANDA ?
 
kwa investment terms kama zile ,mm kwa uelewa wangu huwezi kukubali mkataba kichaa kama ule ,mtu apewe miaka 30 halipi kodi ,halafu bandari nyingine zote zifungwe . Wao ndio wawe operators wa bandari moja ,kwa hoyo infrastructures za Dar ,Mtwara ,na Tanga zioze . We need to think beyond the face value, tunaishi leo lakini kesho kuna vizazi vyetu .Kama ni kubinafsisha hatujakataa lakini ziwe terms za kueleweka
Unawaamini waliokuwa wanaongeo hayo? Ile ni siasa ,things were not worse as they were propagated,chumvi iliongezwa
 
Back
Top Bottom