mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
Kiranja Mkuu hayo madai yako yanaweza kuwa na ukweli fulani ndani yake maana kuna sehemu moja inaitwa kontena maarufu kwa kitimoto iko mikocheni barabara ambayo ndipo ilipo hosptali ya AAR . Hiyo sehemu wateja waliokuwa wanaenda kuburudika pale walipokuwa wanapaki magari yao ikifika muda wa kuondoka wanakuta power window na vitu vingine havipo na baada ya uchunguzi ilikuja kugundulika ni huyo Q-Chief na kundi lake.
Baada ya kupigwa mkwara nafikiri alihamisha makazi na wizi haupo eneo hilo, hata wahudumu wa pale ukiwauliza watakwambia ni Q-Chief na kundi lake sasa sielewi dili hili wanacheza na mapolisi au vipi
The same story unayoniambia Riwa it's the same story niliyoikuta hapo kontena and i believe kama nimesikia this same story kwa watu zaidi ya watano it means huyu jamaa anahusika sana na huu mchezoThe Finest...my young brother run that place upande wa maakuli, am regular there, Q Chief haji tena pale siku hizi kwani siku hiyo 'live' yeye na kundi lake walibambwa pale wakiwa wanavunja GX 100 ya mshkaji likatokea tafrani si dogo wakakimbia na gari nyeupe Toyota Corolla sijui Corona ile. Watu wanamsubiria pale wamtoe roho...yule jamaa mwizi sana, tena sana!
Mlimani City CCCTV zimefungwa vyooni ili kuwachungulia wanawake vyooni.mbona MC walidai wameshafunga CCTV cameras?au walikuwa wanajikosha tu?thubutu uingie usichukue kadi getini 5,000 inakutoka hivihivi!nakuomba uliyepata mkasa huu piga simu ya polisi waliyoiweka hewani halafu uendeleze uchunguzi kama polisi watafanya nini utujuze.Afu pia kwanini hukufanya kama PCCB wanavyofanyaga unaenda kuwakamatisha?kwanza ulienda bila kuwa makini ungeweza hata kupata matatizo huko gerezani utakuwa ulikuwa unauliza uliza sana wangeweza hata kukudhuru!
Q Chief ni nickname......inawezekana sio huyo mwanamziki.......mimi nina mkata nyasi anaitwa Juma Kassim......nawasikia watoto wanamwita JK
Q Chief ni mwizi wa power window hilo liko wazi kwa watu wa viwanja tunamjua sanaJana nimeibiwa laptop, power window, head rest, redio na mkoba uliokuwa na makabrasha na nyaraka mbalimbali nilipokuwa Mlimani City mida ya usiku. Walinzi wa Mlimani City wanasema kuwa wao hawahusiki na ulinzi wa magari. Basi kwenye kudadisi kwangu mlinzi mmoja akaniambia wanaovunja vioo na kuiba vitu kwenye magari hapo Mlimani City ni kundi la Q Chief.
Nikaenda kutoa taarifa kituo cha Polisi Mwenge ambako nilipewa Rb. Polisi nao wakaniambia kuwa hilo kundi ni la Q Chief.
Polisi wakanielekeza niende mitaa ya gerezani huko ntaweza kupata vifaa vya gari yangu.
Sasa natokea gerezani, nimepata vitu vyangu na kuhusu laptop wameniambia niende Azam kuna bwana anaitwa Salehe nimuone.
Cha kushangaza ni hiki, Polisi wanajua kuwa Q Chief ni mwizi na anamtandao wake, kwa nini hawamkamati na kumfungulia mashtaka?
Kweli jeshi letu la Polisi linanuka rushwa.
yes ni huyu mwimbaji, mimi naweza kuprove hili nikiitajikaNajaribu kufuatilia mada naona napotea potea mwenyewe, Q Chief anayesemwa ni huyu huyu mwimbaji au majina yamefanana na kuna jambazi sugu linaenda kwa jina hilo?