Pyua Natural Bantu Figure...

Pyua Natural Bantu Figure...

Mmmhhh aiseeee kweli duniani kuna watu wanapata raha! Anaitwaje huyu na contacts zake plz. Nataka nimsalimie kwa Kipemba tu
 
Ngoja waje flat screen uone mapovu yatavyowatoka!!!!!
 
Kakuruhusu au kijitiatia huko nyuma kama
umesahau sheri


Swissme;

Inabidi nimwombe ruhusa nani? Ameachana na mambo ya modelling na site yake imeweka disclaimer kabisa kuwa ni free kutumia picha zake. Actually hata sijui kama bado iko online. Ni mke wa mtu sasa.

Watu mnaogopa BAN kama ukoma duh! Kila kitu sheria sheria sheria mpaka inakera...

Naomba nipigwe hiyo BAS angalau lo!!!
 
mtikisiko umeipata wapi picha yangu?
 
Last edited by a moderator:
Inabidi nimwombe ruhusa nani? Ameachana na mambo ya modelling na site yake imeweka disclaimer kabisa kuwa ni free kutumia picha zake. Actually hata sijui kama bado iko online. Ni mke wa mtu sasa.

Watu mnaogopa BAN kama ukoma duh! Kila kitu sheria sheria sheria mpaka inakera...

Naomba nipigwe hiyo BAS angalau lo!!!
Unajishebedeua tu.

swissme;
 
Hicho cha kubinua kinatoka wapi sasa yani kitu ni flat haswaaaa


Atiiiiii

wowowo+1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom