Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Mara nyingine unapokuwa na gari kubwa unaweza kuwa na kiburi fulani fulan hivi nakumbuka kuna mdada ana bmw x5 sasa akawa anasema yaani hii gari yangu hii mkoa wowote Tanzania ni kufumba na kufumbua maana hii ni gari ya safari hata ukimaliza kisahani still upo comfortable na "nikisafiri huwa nshawapanga traffic kabisaa" sasa fikiri mtu wa namna hii ana safari ndefu atazingatia kweli usalama barabarani? Kiukweli njia za bongo dreva inabidi uwe na tahadhari nyingi sanaaa haijalishi una gari imara kiasi gani! hizi njia moja lane mbili opposite side ajali ni sekunde tu. Kingine uchovu aisee hii ni inauwa wengi mnoo nakumbuka kuna siku nilikuwa na safari ndefu ijumaa nimetoka job late night halaf nimechokaaa asubuh alfajiri nikalianzisha aisee baada ya masaa kadhaa ya kudrive yaan nilikuwa full mchovu macho mazitoo full kuona duble duble dah nikapaki pembeni nikatafuta duka nikapiga grandmalt nikatulia dakika kadhaaa nikaona mwili umerudi mahala pake ndo nikaendelea na safari na mwendo mdomdo. Halafu sometime if mtu una pesa why kuhangaika na prado michagga? Director tena ABSA unaachaje sasa kuwa na mkoko konki then unatafuta dreva konki master anakudrive au unachukua mwewe mpe dreva atangulie na mkoko mkutane location. Prado ilimuua jamaa angu sina hamu nazo na kwa kuwa alikuwa ana nyazifa polisi basi njian ilikuwa hakuna traffic wa kumghasi yaani ni full kibati dakika chache kabla ya ajali mkewe alimpigia umefika wapi? marehemu kwa sifa akamwambia mkewe nimeshaingia Same, mke akashangaa sanaaa akamsihi mume apunguze speed maana kawahi mnoooo aisee dakik chache baadae ndo hivyo parapanda ikalia.
Yule mmeru alipata ajali same akafariki?
 
Ana nyumba 6 zote kodi kwa mwezi 450000 nyumba High class

Ila alikua ana jengewa na mmoja wa jitu kubwa hapa Tz ndio lilikua jitu lake ki financial maana sio kwa migari ilee aliekua anakuja nayo kuangalia nyumba zake

Jamaa yake sio kwamba hana pesa or hana kazi?? Noo ni kazidiwa tuu na mkewe

Ukiwa unapeleka kodi kwake ukimkuta jamaa yake huwa hapokei anasema msubiri aje mwenyewe umpe kodi yake mimi sihusiki


Sijamsema ila naamanisha hivi vitu ni vya kupitaa aisee maana sio kwa mijengo ilee
Duh. Diana huyo??? Au Sia??? Au Nora???
 
Ila alikua haringii, alikua mtu wawatu, full story kwa watu,alikua mshauri,

Japo ukuta wa nyumba yake alisogeza hadi barabarani/alivuka mpaka akatupa shida kugeuza na magari yetu hadi leo(barabarani ikawa nyembamba)

Kwa mafundi ujenzi ndio aliniacha HOI na mimi hii staili aliekua anaitumia lazima niitumiee aisee
@ Akikuuliza hii nyumba inahitaji matofali mangapi? Mbao ngapi?? Bati ngapi?? Cement ngapi?? Rangi ndoo ngapi? Nondo ngapi?? ALAFU akaja kuvinunuaa THEN wewe fundi uje KUVIBAKISHAAAA iwe vyotee au kimoja wapo?? Lazima akukate kwenye malipo atakayo kulipa( yani ana kuuzia kwa Bei ile ile alienda kununua iko ulicho bakisha

HANA BAYAA r.I.p Dada yetuu
Okay
 
Daaah rest in paradise ... Kuna mwaka boss wangu walibadilishana gari na rafikiake sasa tukapanga safari kwenda tanga usiku kupita njia ya bagamoyo sasa wakati tunakaribia mto ruvu mbele kuna scania ikajaa upande wangu kila nikimpigia full light+honi wapi ikabidi nitoke nje ya barabara daah yule fala akapita na side mirror yani ilibaki kidogo atuue pale pale tukashauriana na mshua tukageuza kumfukuzia tukamkuta sijui ndo mizani pale wanapaita daraja la makofia kumbe dereva limelewa kampa gari turnboy aendeshe aisee uwo moto tulio uswasha alijuta hata sahau maisha yake yote.
Aseehhh ..pole sana kaka!Sasa huyo turn boy gari ilimshinda au ilikuaje mpk akishindwa kukaa upande wake?!!
Napata Picha ingekua ndo mko darajani sasa afu analeta huo uhuni si angewaua
 
MAMA ALIYEPOTEZA WANAWE WANNE NI UCHUNGU MTUPU.

Pichani ni Liliani Msuya, Mama mzazi wa watoto wanne waliofariki katika ajali ya gari, Mbwewe Chalinze mkoani Pwani walipokuwa wanaenda msibani Kilimanjaro, akionekana ni mwenye majonzi na uchungu nyumbani kwake kijiji cha Kisangeni, Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
FB_IMG_1691178360121.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mkuu,ujue watu wana-base kusema mama/bana hata awe kichaa ni baba/mama tu,No ni uongo,binafsi sipatani na mama mzazi kabisa,kaniacha mikononi mwa baba nikiwa na mwaka mmoja na miezi minne,baada ya mwaka mmoja kabeba mimba na kuzaa na mwanamme mwingine,bila ya kuja hata kuniona,I was to die,ila mungu akawa upande wangu.

Hadi sasa nikisikia mtu anasema nani kama mama huwa nakasirika sana,nafarijika sana nikisikia nani kama baba,
Mhhhh
 
Back
Top Bottom