Manfighter
Member
- Jun 22, 2017
- 88
- 43
Mmmmh ila vinafika hiyo namba mkuu?? Au vikubwa ni kma mia tu afu hivyo vingine vinakuwa vya kawaida ila exaggerated??? Nakubali viwanda vipo vingi ila sio heavy/medium kma unavyoongelea wwe!!! Unless mpaka vya wakata mbao vinahesabikaNenda katembelee mkuu kuanzia mbagala kwenda mbele huko mkuranga utastaajab,ni viwanda kweli,kuna wachina huko balaa,nenda visiga madafu pale mkono wa kushoto kutokea dar ingia huko ndan,kuna had kiwanda cha cement.chuma,tiles,etc.ni viwanda vikubwa,mi nilikua na supply material huko
Hahhhhahahhh viwanda vikubwa vipo 13 tu kuendana na pdf yako hiyo na ukiweka na vya kati havifizidi 100 vilivyobaki ni vya waranda mbao ndio maana unashangaa kiwanda cha wachina hicho kinaajiri watu 200 pekee na kinahesabiwa ni heavy industry!Project Details | Coast Region
Mleta mada weka update kwenye Swali lako...nimekuwekea jibu.
Usichoke kuhoji utekelezaji wa ahadi za JPM.
Unafahamu definition ya kiwanda?Hahhhhahahhh viwanda vikubwa vipo 13 tu kuendana na pdf yako hiyo na ukiweka na vya kati havifizidi 100 vilivyobaki ni vya waranda mbao ndio maana unashangaa kiwanda cha wachina hicho kinaajiri watu 200 pekee na kinahesabiwa ni heavy industry!
Acheni masihara kwenye mambo serious mnatuangusha sana
Tutawaletea na picha maana hampendi kuona mazuriHahhhhahahhh viwanda vikubwa vipo 13 tu kuendana na pdf yako hiyo na ukiweka na vya kati havifizidi 100 vilivyobaki ni vya waranda mbao ndio maana unashangaa kiwanda cha wachina hicho kinaajiri watu 200 pekee na kinahesabiwa ni heavy industry!
Acheni masihara kwenye mambo serious mnatuangusha sana
Mkuu hapo Visiga panafaa kwa makazi kwa mtu mwenye shughuli zake Dar?Nenda katembelee mkuu kuanzia mbagala kwenda mbele huko mkuranga utastaajab,ni viwanda kweli,kuna wachina huko balaa,nenda visiga madafu pale mkono wa kushoto kutokea dar ingia huko ndan,kuna had kiwanda cha cement.chuma,tiles,etc.ni viwanda vikubwa,mi nilikua na supply material huko
Sasa basi Tanzania Ina viwanda vingi zaidi ya nchi zote Africa wangeacha siasa na utoto waoKibaha,kisarawe,Bagamoyo,Kibiti,mkuranga,vikindu,Mwandege n.k.Inawezekana labda.
Msisahau na cherehani NNE NNE371....!?
Ngoja kwanza..
Mkuu tukienda definition za kimakaratasi utagundua hata muuza vitumbua anahesabika ana kiwanda!!! Zipo theory za wachumi wengi kuprove small scale traders kupewa hadhi ya kiwanda!!!!Unafahamu definition ya kiwanda?
Ukiwa na vyerehani vinne hicho tayari ni kiwanda kidogo - MwijageViwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.
Tuwe wakweli.
View attachment 528783
Hapana mkuu kuna mambo namkubali sana Rais akifanya mfano la ESCROW nmemkubali sana ila pia sipendi upotoshaji kwa data hizi yaani wanasema tu viwanda 370 huku hawaelezi impact ya viwanda ivo ili tujue vimeajiri watu wangapi?? sio propaganda kuaminisha watu kuwa viwanda tayari vimejengwa!!! Kaz kwelikweliTutawaletea na picha maana hampendi kuona mazuri
Tuliambiwa cherehani 4 tayari ni kiwanda kidogo. Huenda hadi wenye hizo wamehesabiwa ni viwanda371....!?
Ngoja kwanza..
Nimekuuliza definition ya kiwanda naona unababaika tu.Mkuu tukienda definition za kimakaratasi utagundua hata muuza vitumbua anahesabika ana kiwanda!!! Zipo theory za wachumi wengi kuprove small scale traders kupewa hadhi ya kiwanda!!!!
Ila hoja hapa ni kwamba serikali iliaminisha watanzania kuwa watajenga HEAVY INDUSTRIES watu wakapata picha za viwanda kma vilivyopo kule industrial area au kma cha cocacola kwanza n.k na walidai vitatoa ajira nyingi kwa mkupuo hivyo hizo definition za viwanda zilizotolewa ndio zilitumaliza wengu tukaamini Tanzania mpya inakuja ssa mnapokuja na ooh mnajua maana ya viwanda?? Yaani mnataka tuanze kuamini kiwanda cha kuranda mbao chenye watu watatu ndicho mlichoahidi kwenye kampeni???? Hivi kweli bajeti ya bilion 10 ndio mnasema itatupeleka kwenye Tanzania ya viwanda???
Mbona hayo ya mbao na kukamua alizeti hamkusema wakati wa kampeni nyie mkatuaminisha viwanda vitamaliza tatizo la ajira ssa nikuulize mkuu hivi viwanda 371 vimesaidia kiasi gani kupunguza tatizo la ajira pwani???
Tuanzie hapo
Ni shughuli yoyote ya kiuchumi inayolenga kubadilisha mali ghafi kuwa bidhaa kamili hyo ndio definition ya kiwanda kwa uchumi wa form 1 sasa mkuu tuliambiwa litamaliza tatizo la ajira na kma unavyojua kila mwaka watu laki 6 wanaingia kwenye soko la ajira je kiwanda cha kuajiri watu mia 6 na bajeti ya bilion 10 itamaliza hilo suala???Nimekuuliza definition ya kiwanda naona unababaika tu.
Leo hii Mh Rais anzindua ujenzi wa kiwanda kitakachoajiri watu 800+
hicho nacho sio kiwanda?