aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 723
- 766
mbona mtendaji hakusema ccm oyeee???!
Umeangalia hiyo clip au unajibu tu bila kuelewa? Yaani wewe kichwani utakuwa umebeba kamasi.Kuulizwa swali la kwa Nini kituo hakifunguliwi masaa 24 nalo Ni swali la Askari yule kujikanyaga? Hadi kusema sihojiwi na chama? Yule Askari alitoka nje ya ulingo wa kazi Yake.Angejibu tu na Wala haikuwa kesi .Askari yule ana uelewa mdogo wa kazi Yake.Alipanic alipoona watu wamevaa nguo za CCM .Swali lile lilikuwa la kawaida kabisa la kikwzi Wala SI la kisiasa kwake.
Yaani wewe ni chenga kabisaIGP ashughulike na huyo polisi simtetei kabisa yeye Ndie kaingiza uchama kwenye jibu.Muuliza swali kaulize vizuri tu swali lake Huyo polisi ghafla akaingiza mambo ya chama kwenye jibu.IGP jionee mwenyewe.Hivi kweli Hilo jibu huyo Askari ndio alitakiwa atoe mbele ya hao wananchi? Wawe CCM au la.?
Yah jamaa amekwiva mafunzo si maskhara...akae vizuri tu maana kinachofata ni kumtafutia zengwe.Kafanyiwa udharirishaji ila kakataa kujidharirisha nadhani hiyo imemjengea heshima zaidi ni mbaya kama angetii na kusema.inaonekana ni askari aliyeiva sana
Yote yanawezeka, hivyo nakubaliana na wewe.Linaweza kuwa halijatengenezwa ila jamaa akaamua kupita humohumo,si unaona ishu ya mlipuko na ofa za kutibiwa Bure nk wakati hapo nyuma hata waliokufa njaa waliambiwa wafe tu serikali haina chakula,huku wengine waliambiwa serikali haileti majanga kwahio wapambane na hali zao
Acha ujinga ujinga kaka. Ungejipa muda wa kuitaza hiyo video wala usingeliandika huu ujinga uloandika hapa. Naamini umehadithiwa hujatazama hicho kipande video.Kuulizwa swali la kwa Nini kituo hakifunguliwi masaa 24 nalo Ni swali la Askari yule kujikanyaga? Hadi kusema sihojiwi na chama? Yule Askari alitoka nje ya ulingo wa kazi Yake.Angejibu tu na Wala haikuwa kesi .Askari yule ana uelewa mdogo wa kazi Yake.Alipanic alipoona watu wamevaa nguo za CCM .Swali lile lilikuwa la kawaida kabisa la kikwzi Wala SI la kisiasa kwake.
Kweli kabisa mkuu.Mshahara wa huyu Polisi unatokana na kodi za wananchi wote,sio wanachama wa ccm pekee.Analipwa kuhudumia wananchi wote,sio ccm pekee.Ndio maana maadili ya kazi yanamkataza kufungamana na siasa.Sasa huyu kada vipi huyu?!Kwanza kabisa nimpongeze huyu polisi ameonyesha nikiasigani anajitambuwa lakini pia anatambuwa wajibu wake Kama polisi, ikumbukwe kuwa polisi siyo Mali ya chama wala jeshi la polisi halifungamani na chama chochote cha siasa, Sasa huyu mwana ccm anaye jalibu kumpotosha huyu polisi kuwa analipwa mshahara na ccm hii sikweli na niudharirishaji kwa jeshi la polisi, ikiwa ndiohvyo basi tunajambo la kujifunza tukiwa tunaelekea kwenye chuguzi.😞😞😞😞😞
YEHODAYA hebu panda hapo juu ucheki hiyo clip kwanza ujue kinachoendelea kabla hujakimbilia kukomenti tu humu,unaniaibisha ndugu yangu,hivi uvccm mmekumbwa na mihemko ya wapi,mbona mnatuaibisha vijana wenzenu hivi jamani,jamani,jamaaani,ah!Kuulizwa swali la kwa Nini kituo hakifunguliwi masaa 24 nalo Ni swali la Askari yule kujikanyaga? Hadi kusema sihojiwi na chama? Yule Askari alitoka nje ya ulingo wa kazi Yake.Angejibu tu na Wala haikuwa kesi .Askari yule ana uelewa mdogo wa kazi Yake.Alipanic alipoona watu wamevaa nguo za CCM .Swali lile lilikuwa la kawaida kabisa la kikwzi Wala SI la kisiasa kwake.
Clip iko wazi kabisa kakataa kujibu swali kwa kisingizio Cha chama!!!! Wakati swali la kikaziAcha ujinga ujinga kaka. Ungejipa muda wa kuitaza hiyo video wala usingeliandika huu ujinga uloandika hapa. Naamini umehadithiwa hujatazama hicho kipande video.
Ifike mahali Askari wetu nao wajitambue! Kwenye mkutano wa ccm alienda Kama Nani na alienda kufanya nini! Kama alienda kwa ajiri ya ulinzi wa mkutano kazi yake kubwa ingekuwa ulinzi na kama alienda kutoa elimu ya ulinzi angetoa elimu ya ulinziASKARI POLISI Agoma Kusema CCM Oyee | Afukuzwa Mkutanoni na Kiongozi wa CCM
HahahahaClip iko wazi kabisa kakataa kujibu swali kwa kisingizio Cha chama!!!! Wakati swali la kikazi
Siyo ule Ni.mkutano wa wananchi waweza omba ufafanuzi wowote toka kwake Kama mkuu wa kituoIfike mahali Askari wetu nao wajitambue! Kwenye mkutano wa ccm alienda Kama Nani na alienda kufanya nini! Kama alienda kwa ajiri ya ulinzi wa mkutano kazi yake kubwa ingekuwa ulinzi na kama alienda kutoa elimu ya ulinzi angetoa elimu ya ulinzi
Kwenye ujinga haupo kwenye upumbavu haupo! Wewe ni mwehu!Clip iko wazi kabisa kakataa kujibu swali kwa kisingizio Cha chama!!!! Wakati swali la kikazi
Hahahaaaa,unasikilizia kupitia uwazi upi mwilini mwako?Rudi kwenye clipClip iko wazi kabisa kakataa kujibu swali kwa kisingizio Cha chama!!!! Wakati swali la kikazi