Pwani: Askari Polisi agoma kusema CCM oyee. Afukuzwa kwenye mkutano na kiongozi wa CCM, aambiwa atakiona

hapo naona kama kuna kupaniana na uadui ndani yake hata ukisikiliza askari hamalizi kuongea jamaa wa ccm anamkatisha katikati hata alipo itwa yule katibu kata kuelezea lile jambo mbona yeye hakuanza na salamu ya kichama CCM IACHE KUENDESHA JESHI NI HATARI SANA TENA VIONGOZI WA JUU WAMUAZIBU HUYO JAMAA WA CCM
 
kweli kabisa comrade huyu afatwe saa sita usiku kwake,atakachofanyiwq iwe onyo kwa wengine wanaodharau chama tukufu chama kinachokubalika vibaya mno,watumwe wale vijana wa kazi the unknown assailants wakamshikishe adabu au apewe kesi ya ubakaji na uhujumu uchumi
Nimeishia kucheka tu kwa hasira
 
Polisi munaona mnaowabeba jinsi wanavyo wadharau?
IGP unaitwa majina ya hovyo kwa vile umeruhusu hali hii ishike kasi bila kuikemea.
Zamani nilikuwa nafikiri IGP Mangu ndio alikuwa lainilaini kumbe nilikosea wewe wa sasa sio tuu ni lainilaini bali hawa tuviongozi wa ccm wanakuona mdebwedo kabisa.
Kitendo cha RPC wa Arusha (yule msindikiza dhahabu wa Mwanza) kujikomba kwenye mkutano wa CCM nilijuwa lazima kitaleta madhara makubwa, ona Leo kimekuwa reference ya nini polisi afanye kwa wanasiasa wachovu.
Kama IGP hatoi tamko kwenye hili kweli atakuwa mdebwedo hasa
Unadhani wale wenzake waliwezaje kuachiwa na kufutiwa kesi?
 
Askari yuko right. According to sheria he doesnt work for chama chamapinduzi or obligation zozote za chama.
Anafanya kazi kama muajiriwa wa serikal. Na kazi yake inamtaka kutokufangamana na siasa za upande wowote.
He just did fine.. ila huyo mwenyekit apungue wenge maana anadhan kuwa ccm anakuwa na mamlaka na wafanyakaz wa serikali
Sio kweli hapo kwenye jibu la Askari ndipo Tatizo lilipo alisema hawezi jibu swali la chama wakati kaulizwa la kikazi
 
Hilo jambo ni dogo sana lakini nyie wana harakati wa mitandao mkiongozwa na watu wenu mnalikuza sasa mnamfanya yeye aendelee kuwa na wakati mgumu.... Yani mnavimbisha kichwa kumdharau bosi wake?
Najua sasa hivi amesha omba radhi kabisa
acha upumbavu ww kwaiyo mneck ni bosi wa polisi
 
jamaa kajibu vzr "askari hana chama" sasa hawa wengine sijui wana utaratibu gani
 
Aliponikera zaidi et unalipwa mshahara kwa hela ya nani? Hii awamu ya tano inaviongozi washamba sana ,wanaongoza kwa msisimko
 
Punguza hisia za kinafiki kwa chama cha CCM ....utakuja kunishukuru badae kenge wewe
Kuulizwa swali la kwa Nini kituo hakifunguliwi masaa 24 nalo Ni swali la Askari yule kujikanyaga? Hadi kusema sihojiwi na chama? Yule Askari alitoka nje ya ulingo wa kazi Yake.Angejibu tu na Wala haikuwa kesi .Askari yule ana uelewa mdogo wa kazi Yake.Alipanic alipoona watu wamevaa nguo za CCM .Swali lile lilikuwa la kawaida kabisa la kikwzi Wala SI la kisiasa kwake.
 
Tatizo la hii nchi ni kuleta siasa kwenye kila jambo. Yaani ccm wanadhani wana hati miliki ya kila kitu kwenye nchi yetu. Sijawahi kujuta kuichukia ccm.
 
Kila kitu tunapewa na chama.

Hii neema ya mvua ni kwa hisani ya chama. Ukame nao pia.

Ajali na majanga ni hisani ya chama.

Kila kitu ni chama.

Hata hawa Malaya na mashoga wanaoongezeka kila kukicha ni juhudi za chama.

Anayepinga Ana nongwa. Awajibishwe.
 
Du, hii ni hatari. Kweli tumefika hapa.

Eti anachukua mshahara wetu, kama vile WANAOTOA KODI NI WANACHAMA WA CCM TU. Kazi kweli kweli.
 
Polisi huyu ni mwelewa kuliko nilivyotarajia. Yaani majibu yake yote yapo sambamba na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama atahadhibiwa kwa hilo basi, mtoa adhabu atakuwa amevunja katiba na kuisigina kabisa.
 
Kinachonishangazaga kuliko yote ukisoma comment moja moja ni lazima kuna fala mmoja wa ccm atakuja kutetea hapa na vijustification vya uongo na ukweli, mimi sipo chama chochote ila nashangaaga sana anapofanya blunder mtu wa ccm, ccm huwa kama hawapo yan wanakuwa kama mazezeta na wao ndio wameishika nchi, Tutachelewa sana kufika tukiendelea na unafki wa watu wa ccm na crew yao,
wakati wote mkuu hatuwezi kufanana mawazo mawazo yao nayo tuyapokee tu ah ah
 
Back
Top Bottom