Pwani: Askari Polisi agoma kusema CCM oyee. Afukuzwa kwenye mkutano na kiongozi wa CCM, aambiwa atakiona

Hapa chini ni video ikimuonyesha askari wa jeshi la polisi akikataa kusurutishwa kukubali utumwa kutoka kwa viongozi wa ccm.

Amejieleza vya kutosha na akasimamia maadili ya kazi yake na hakuogopa hata pale alipo tishwa na viongozi wa ccm.

Hawa ndiyo aina ya askari taifa linawahitaji ktk kusimamia haki. View attachment 1810959
Dhalim alituletea siasa za kipumbavu sana,bora Corona imetuondolea huu udhia
 
Hapa chini ni video ikimuonyesha askari wa jeshi la polisi akikataa kusurutishwa kukubali utumwa kutoka kwa viongozi wa ccm.

Amejieleza vya kutosha na akasimamia maadili ya kazi yake na hakuogopa hata pale alipo tishwa na viongozi wa ccm.

Hawa ndiyo aina ya askari taifa linawahitaji ktk kusimamia haki. View attachment 1810959
Daah hawa "Malofa" bila kubadilishwa katiba wataendelea kuendesha nchi kama gari lisilo na breki kwenye mteremko... ndio wako wenzao waliwahi kupeleka katiba ya fisiemu itumike TRA badala ya sheria za kodi!!! Sijui hiki chama huwa kinaokota wapi watu aina hizo???
 
Ccm bila watu wa aina hii leo hii ingeshakufa kitambo
 
Yani hilo zuzu linauliza eti unalipwa mshahara na chama gani? 😂😂

Akili za CCM ni uozo usiofaa hata kwa funza kula. Yani wanaamini wao ndio kila kitu hapa nchini. Hawajui kuwa kila mtu analipa kodi.
 
Ningekuwa mimi IGP ningemtunuku huyu Askari nishani ya Utumishi uliotukuka - kitendo cha kukataa utumwa wa akili wakati huo haikuwa kazi ndogo - alijitoa kwamba liwalo na liwe.
 
Back
Top Bottom