Cassava
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 282
- 36
Habari wadau, katika kufukuzia kazi, kuna viwango hivi vya mishahara Ambavyo vinaitwa PUTS na namba zake kama zilivyo kwenye tittle. Hivi maana ya Hiyo PUTS ni nini? na kwa viwango hivyo na namba zake wanadaka shilingi ngapi? manake mi naona sifa ninazo za nafasi mojawapo lakini viwango hivyo vya mishahara sivijuwi. Mwenye kujua tafadhali tusaidiane. Kabla sijaenda kwa interview nisije nikachemka au nipige chini kama ni kiasi cha mboga.