Puts 10-11, puts 12-13, puts 14-15, puts 20, jionee kama hujuwi hii kitu.

Mkuu PUTS 12 ni 1,080,100, PUTS 13 NI 1,348,070 na PUTS 14 ni 1, 701,010 na kuendelea. Hiyo ni kabla ya mabadiliko ya July 2011

mi ninavyojua hizo PUTS zinategemeana na miaka mtu aliyokaaa kazini, kuna kitu kinaitwa nochi, kama ni new employee utapata nochi ya kwanza yaani PUTS 12 nochi ya kwanza, muda unavyoongezeka unapanda unaingia nochi nyingine up to mazmum level, so . so usishangae level moja as TA lakini salary tofauti
 
Hilo sio kwa TA's tu ni kwa utumishi wote wa Umma. Aliyeingia leo hawezi kuwa sawa na aliyeingia mwaka jana. Kuna kitu kinaitwa seniority in Service as anayeanza leo anaanzia kwenye entry point wakati yule wa mwaka jana anapata increment January au July kila mwaka kutegemeana na kipindi alichoingia kazini
 
Lol Mkuu wangu umeniangusha sana rafiki yangu. Hiyo 853,500/= ni ya mwaka 2009/2010 na wewe unaridhika tu kulipwa mshahara wa Zilipendwa wakati kuanzia July 2010 watu wapo kwenye 1.08m na kuendelea na juzi kwa nyongeza mpya wanaelekea kwenye 1.1 M. Pole Mkuu. Hivi naomba kujifunza kuna ngazi inaitwa "Senior Professor"?

Nadhani alikusudia Senior Lecturer
 
Back
Top Bottom