Puts 10-11, puts 12-13, puts 14-15, puts 20, jionee kama hujuwi hii kitu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Puts 10-11, puts 12-13, puts 14-15, puts 20, jionee kama hujuwi hii kitu.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Cassava, Aug 31, 2011.

 1. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari wadau, katika kufukuzia kazi, kuna viwango hivi vya mishahara Ambavyo vinaitwa PUTS na namba zake kama zilivyo kwenye tittle. Hivi maana ya Hiyo PUTS ni nini? na kwa viwango hivyo na namba zake wanadaka shilingi ngapi? manake mi naona sifa ninazo za nafasi mojawapo lakini viwango hivyo vya mishahara sivijuwi. Mwenye kujua tafadhali tusaidiane. Kabla sijaenda kwa interview nisije nikachemka au nipige chini kama ni kiasi cha mboga.
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,262
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Hiyo heading mbona haifanani na content?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  msaidieni jamani mwenzetu
   
 4. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 667
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 80
  PUTS ni scale za mishahara kwa walimu wa vyuo vikuu. Nimeiona ikitumika Open University na UDOM. Sasa wadau toka maeneo hayo tafadhali hebu msaidieni huyu ndugu!
   
 5. K

  Kipilime Senior Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wana JF PUTS stands for Public Universities Teaching Scale. Hii ni kwa vyuo vikuu vya uma vyote na sio kwa OUT na UDOM tuu. Kitu ambacho huwa wangi wanachanganya. Hata hivyo mishahara hiyo si lazima akawa sa vyuo vya private. Kwa hiyo ili kujua ni mshahara kiasi gani kwa PUTS 10-11 au PUTS 12 -13 ni lazima kukutana na Mafisa Utumishi wa Vyuo Vikuu ambao wanakuwa na hizo nyaraka na classification yake ni nyaraka za siri.
   
 6. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  We " kapilime" Wacha ulongo, siri gani? mbona mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi au secondari unajulikana, au mshahara wa mbunge si unajulikana? Kama hujuwi si lazima kuchangia. Hata hivyo nakushukuru kwa kirefu CHA PUTS.
   
 7. J

  Juma. W Senior Member

  #7
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  puts kwa sasa imeanza 1 mpaka 10. Ngazi utayoanza nayo itategemea elimu yako yaani TA PUTS 1, ASSISTANT LECTURER PUTS 2/3 LECTURER PUTS 4/5. Ukitaka kujua kiwango cha kila ngazi waone wahusika.
   
 8. K

  Kipilime Senior Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Cassava you have quoted me wrongly, sijasema mshahara ni siri bali nimesema classification ya hizo documents ni mojawapo ya nyaraka za siri. Hivyo usiri haupo katika figure ila document yenyewe ndo haiwezi kuwekwa public. Huwezi kujua mishahara ya walimu kwa kuwa kila mwalimu ana mshara wake kwa mujibu wa grade na notch aliyopo (Incremental Points). Sasa kama kuna mtu atasema anajua basi aliona figure moja tu na aka generalize kitu ambacho si cha kweli. This is professionalism and I know what I am saying Cassava.
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mkuu hata mimi niliwahi sema hapa kwamba hizo documents zimekuwa classified kama confidential watu wankaleta ubishi usiokuwa na msingi eti mshahara sio siri. Kwa taarifa tu ni kosa kutangaza hadharani mshahara wa mtu. Kwamba mshahara wa Mwalimu unajuikana nayo sio sahihi kwa sababu kila mtu ana kiwango chake cha mshahara kulinga na umri kazini (seniority in service), Ukubwa wa cheo (seniority in rank), elimu, na Madaraka aliyo nayo.
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Njaa inaumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
   
 11. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  kwa anyefahamu naomba atufahamishe
   
 12. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  casava una mmaind mshikaji bure tu.....kirefu cha puts ni sawa. mimi napiga mzigo chuo. kila PUTS ina range ya mshahara, mfano PUTS 12-13 ni kwa tutorial assistant na inaanzia 853,500/=TZS, na kuna mpaka PUTS 21 za senior professor. so kukumbuka exact amount ni kazi labda ungesema utafutiwe........ si vema kulaumu, tujifunze wadau.
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Lol Mkuu wangu umeniangusha sana rafiki yangu. Hiyo 853,500/= ni ya mwaka 2009/2010 na wewe unaridhika tu kulipwa mshahara wa Zilipendwa wakati kuanzia July 2010 watu wapo kwenye 1.08m na kuendelea na juzi kwa nyongeza mpya wanaelekea kwenye 1.1 M. Pole Mkuu. Hivi naomba kujifunza kuna ngazi inaitwa "Senior Professor"?
   
 14. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mkuu PUTS 12 ni 1,080,100, PUTS 13 NI 1,348,070 na PUTS 14 ni 1, 701,010 na kuendelea. Hiyo ni kabla ya mabadiliko ya July 2011
   
 15. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kaka Gerard nakushukuru sana, wengine walikuwa wanajikanyaga kanyaga tu, oooh! mshahara ni siri, maraooh! kila mtu anajua increment yake!!!!! mi sijauliza increment nimeuliza kianzio kwa hizo PUTS. Mshahara haiwezi kuwa siri kwa kuwa kila taasisi kuna wafanyakazi ambao wanajua viwango vyao na wanajuwana. Ukitaja mshahara wa cheo fulani unakuwa hujavujisha siri ya anayeupokea kwa kuwa hizo increment zinatofautisha mishahara hazihusiki na Kianzio. Hata hivo sioni sababu ya wafanyakazi mishahara yao kutowekwa wazi, Mnaogopa nini?, kama ni sheria ingetakiwa ifutwe.

  Timu za ulaya wanavuta mishahara tofauti tofauti katika timu moja na wote mishara yao inajulikana. mfano messi, Christian Ronaldo, Etoo etc, MBONA SIYO SIRI????????????? Transparecy muhimu. wengine wanapata nafasi ya kuwaficha wake zao. kuweni huru.
   
 16. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  upo sawia, kwasasa naramba 1.08M gross. kikazi zaidi duh
   
 17. S

  SURN JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh.....kweli 2tafika huko.wakati MIKOPO wanazingua?HONGERENI MLIOFIKA HUKO
   
 18. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #18
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ilibidi ulambe 1248070 kama basic.
   
 19. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #19
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama ipo ipo tu!! usiogope kijana!!!
   
 20. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  hii ni habari inayovunjika!
   
Loading...