Putin yuko China?

Jamani Putin yuko china USA hawezi kushinda tena vita ya Iran
ni muhimu sana mzozo wa mashariki ya kati kutafutiwa suluhisho la kimkakati kwa njia ya mazungumzo ya amani,

hakuna haja ya mataifa ya ulimwengu kutafuta ushindi wa vita kwa kuua watu wengi na wasio na hatia 🐒
 
USA ni Kama CCM imezoea kuishi kwa propaganda tumejua USA bila NATO ni hamna kitu USA bila NATO ni sawa na CCM bila combo vya dora
 
USA ni Kama CCM imezoea kuishi kwa propaganda tumejua USA bila NATO ni hamna kitu USA bila NATO ni sawa na CCM bila combo vya dora
sifahamu chochote kuhusu mtazamo huo potofu gentleman 🐒
 
ni muhimu sana mzozo wa mashariki ya kati kutafutiwa suluhisho la kimkakati kwa njia ya mazungumzo ya amani,

hakuna haja ya mataifa ya ulimwengu kutafuta ushindi wa vita kwa kuua watu wengi na wasio na hatia 🐒
Ili mataifa yaendelee kukua kiuchumi yanahitaji nishati,na nishati inayotumika kwa wingi na muhimu katika karne hii bado ni mafuta na gas.
Nchi za mashariki ya kati ndio zinaongoza kwa akiba ya hiyo nishati-kwa mantiki hiyo hakuna namna yoyote ile ya migogoro kumalizika katika ukanda huo,labda kuwe na mbadala wa hizo nishati kwa kiasi kikubwa.
Life is all about Uchumi.
 
Baada ya hii vita ya IRAN mashariki ya Kati patatulia sana
 
uko sahihi sana gentleman,
hata hivyo ni muhimu sana kutokata tamaa katika kutafuta suluhu za mizozo hasa inayoendelea mashariki ya kati, huku jitihada za makusudi za kutafuta mbadala wa uhakika wa nishati ya mafuta vikiendelea.

Pamoja na athari zake katika uhai na chumi karibu za mataifa yote ulimwenguni, mzozo wa mashariki ya kati unafaa kuchukuliwa kama fursa kwa mataifa yote ulimwenguni kujizatiti zaidi kiuchumi, kijamii na kisiasa ili kukabiliana na hali hiyo ambayo haitabiriki mwisho wake

Binafsi naona bado kuna fursa ya kumaliza mzozo wa mashariki ya kati kwa mazungumzo ya amani 🐒
 
Putin huwa namuelewa ILA sikufurahishwa na ziara ya yule babu wa magharibi atembelee China kwa sababu akili yake anaijua mwenyewe...
Kwa nini china na Urusi wana ushirikiano wao unaweza husiwe wa uchumi sana lakini ukawa wa ulinzi kitu ambacho ni muhimu huweze kujenga uchumi lazima huwe na ulinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…