Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Naomba nikusahihishe Mkuu ..actually the West is being played at its home turf ...LNG haiataweza ku match up ..operational wise na cost wise ..Natural gas pipes ..kama umeenda na huu uzi ..wakuu huko walikwishatusaidia hizo hesabu ..so don't go there ...its expensive na unaposema zimekula market ipi ....are considering Asian countries ..ambapo let alone kuwa wao as we speak ndio wanaenda kwenye peak wakati our sivk men in Europe they'll start with recovering.Siamini kama Putin ni mpuuzi kiasi hiki, US playing long term game na ameshashinda tayari, zile terminals zinazojengwa gulf coast za kusafirisha LNG zimekula market kubwa sana ya Russia na ndio US alichokuwa anatafuta, sitaki hata kuamini kama Russians ni wapuuzi kiasi hiki...sad indeed!!!