Putin: Tutaifungulia gesi kwenda Ulaya 'kesho'

Siamini kama Putin ni mpuuzi kiasi hiki, US playing long term game na ameshashinda tayari, zile terminals zinazojengwa gulf coast za kusafirisha LNG zimekula market kubwa sana ya Russia na ndio US alichokuwa anatafuta, sitaki hata kuamini kama Russians ni wapuuzi kiasi hiki...sad indeed!!!
Naomba nikusahihishe Mkuu ..actually the West is being played at its home turf ...LNG haiataweza ku match up ..operational wise na cost wise ..Natural gas pipes ..kama umeenda na huu uzi ..wakuu huko walikwishatusaidia hizo hesabu ..so don't go there ...its expensive na unaposema zimekula market ipi ....are considering Asian countries ..ambapo let alone kuwa wao as we speak ndio wanaenda kwenye peak wakati our sivk men in Europe they'll start with recovering.
 
Siamini kama Putin ni mpuuzi kiasi hiki, US playing long term game na ameshashinda tayari, zile terminals zinazojengwa gulf coast za kusafirisha LNG zimekula market kubwa sana ya Russia na ndio US alichokuwa anatafuta, sitaki hata kuamini kama Russians ni wapuuzi kiasi hiki...sad indeed!!!
Na hiki ndicho US alikua anataka siku nyingi Sana Trump alikua haelewani na Ulaya sababu walikua hawataki kununua LNG ya Marekani wananunua kwa Urusi mpaka akaweka vikwazo kwenye Nord stream 2. Lakini Leo Putin karahisisha mambo karibu 70% ya LNG ya USA inaenda Ulaya ambapo soko ni kubwa na bei ni nzuri. Baada ya miaka 5 tutegemee market share ya Marekani kwenye soko la nishati Europe kuongezeka maradufu.
 
pro NATO kutoka bubu ebu kuweni serious basi ivi mnafikiri kwa jinsi EU usivyoipenda Russia wangekuwa na solution ya energy ya Russia wangeendelea kuitumia? EU mpaka apo walipofikia wamekosa solution ya energy ya Russia iyo LNG ya US mnayoisema ipo kitambo tu mbona EU awaishobokei? tunakuja kwenye gharama Russia alikuwa anawauzia energy yake kwa bei chee sana iyo germany yenye uchumi mkubwa ulaya nzima mpaka imefika apo ni kwasababu ya energy ya Russia viwanda vyote vilubwa vya magari vya germany vinategemea energy ya Russia kwa zaidi ya 45% kuanzia madini ya aluminium,chuma etc.. cancelor aliyekuwa na akili ni bibi markel peke yake kama mnakumbuka 2014 kipindi Russia anaichuķua Crimea kutoka ukraine NATO na EU karibia wote walipanga kuiwekea vikwazo Russia lakini yule bibi aliwaambia kama mnamwekea vikwazo wèkeni lakini msahau kuhusu mimi kama nitamwekea vikwazo nitaendelea kufanya nae biashara kama kawaida wote mashaidi na kesi ikaishia apo apo kwa tetesi zinazoendelea ni kuwa markel ndiye aliyemuomba putin arudishe gesi germany...narudia tena na tena ulaya hata wakisema wapewe miaka 100 bado awatopata mbadala wa gesi ya Russia.
 
Huyu jamaa sasa hivi akapimwe maana anakoelekea ni kituko, si alidai hatorudisha gesi hadi waondolewe vikwazo vyote.

Now kikwazo ni turbine.

Putin says Russia will restart Nord Stream 1 gas flows 'tomorrow' if it gets turbines, and blames sanctions for the shutdown Karen Friar

Vladimir Putin Gazprom

State-owned energy company Gazprom has slashed the supply of natural gas to Europe.AFP/Getty Images
  • President Vladimir Putin said Russia could restart gas flows to Europe via Nord Stream 1 'tomorrow', if it gets turbines.
  • Russia indefinitely halted flows through the pipeline last week, intensifying Europe's energy crisis.
  • He blamed Germany and Western sanctions for the indefinite halt in operations for the pipeline.
Russian President Vladimir Putin said Wednesday that Gazprom could restart gas flows to Europe via the key Nord Stream 1 pipeline tomorrow, if it gets the turbines needed.

He blamed Germany and Western sanctions for the indefinite halt in operations for the pipeline, according to media reports from his speech at the Eastern Economic Forum

Source yahoo latest news
Nimesikiliza jana DW asubuhi Putin kawaombia anapunguza upelekaji wa gesi ulaya.
 
Zisiishe mchezo wakati huko Ukraine Kwa siku anatumia karibu $1 billion huu ni mwezi wa 7 Vita ndo Kwanza imekolea,unadhani asipouza hiyo Gas hiyo ela kuendesha hiyo Vita ataitolea wapi.
Dola bilioni 1 kweli mkuu kwa siku? Rudi kwenye vyanzo. Kwa miezi hii 6 Russia inakisiwa kutumia Dola bilioni 20-25 . Matumizi haya yanaunganishwa pia na human loses, equipment bila kusahau mishahara nk.
 
Urusi inataka kuuza gesi Ulaya sababu hilo bara lina faida kwake katika hiyo biashara, kama sivyo asingetumia resorces zake kufikisha gesi Ulaya.

Ulaya wanahitaji gesi ya Urusi ndio maana pamoja na ugomvi wao na vikwazo waliweka exempt kwenye gesi.

Hapa ni suala la kutengeneza mazingira ya win win kati ya Ulaya na Urusi. Si lazima tubishane kuwa nani mshindi kwenye kila jambo.
Hakuna win win hapo. Ni lazima mmoja analolitaka lisitimie. Ulaya wanaitaka gesi ya urusi lakini pia wanataka kukwamisha uvamizi wa urusi ukraine.

Ukinunua gesi umempa urusi hela na ukimpa urusi hela ni umefinance smo. Alafu unarudi upande wa pili unampa tena hela Ukraine ili apambane na urusi. Unajikuta vita nzima wanapigana wengine zinatumika pesa zako. Checkmate!!

Putin ameshasema km ulaya hawatanunua gesi yake zipo nchi nyingine wataziuzia. Hiyo kwake ni alternative je ulaya wanayo alternative ya gesi ya urusi!?

Mwanzoni waliweka vikwazo ila wakaitoa gesi, mafuta yanayopita kwenye pipeline na coal. Akawaambia sasa hv anapokea ruble wakabisha ila mwishoe wamekubali. Sasa hv kawaambia mpk watoe vikwazo ndio afungulie. Ngoja tuone!!!

Ukweli ni kwamba Russia kufunga gesi isiende ulaya ni swala la dk tu. Ni Kufunga na kufungua koki. Ila Ulaya kureplace gesi ya urusi sio swala la muda mfupi hata kidogo. Wanahitaji muda mrefu mpk waweze kustahmili bila gesi/energy ya urusi. Sasa huo muda urusi atawapa!? It seems like Putin ameshasukuma kete yake sasa anasubiri na wao (ulaya) wasukume zao.

Gesi haitaachiwa mpk siemens wafikishe pangaboi urusi na siemens hawawezi kudeliver hilo turbine kwa sababu ya vikwazo. In other words waondoe vikwazo wapate gesi. Wataweza kuondoa vikwazo kwa sababu ya gesi!? Au bora wafe na baridi ila vikwazo viko palepale!?

Wakati huu Italy wanajiandaa kutangaza hali ya tahadhari ya kitaifa ili waanze kufanya mgao wa gesi hapo ni kwa sababu urusi amewapunguzia tu gesi kwa 15% ya aliyokuwa anaipa kampuni ya eni ya italy. Nchi nyingine zitafuata.

Sasa hv akiba ya gesi ya ulaya iko below avarage na hivi nord stream 1 inasupply below 45% wanasema kufikia November akiba ya gesi ulaya haitazidi 69% ambayo haitoshi throughout winter.
 
Okey boss. Maelezo yako nimeyaelewa.
 
Vikwazo haviondolewi ndio maana Urusi kaanza kulegea toka kwenye hafungui gas mpk aondolewe vikwazo mpaka Kwa turbine ikifika Leo kesho tunafungulia gas. Jamaa kaona Ulaya hawambembelezi washaanza kujiandaa kuingia winter bila gas ya Urusi German inaagiza coal ya kutosha toka South Africa,wanasitisha kufungia vinu vya nyuklia,wanapunguza matumizi,na juzi wametoa ruzuku.

Wao wameziexempt bidhaa sababu wanazihitaji kazi inabaki kwa Urusi azipige pin zisiende Ulaya (na usisahau kwamba hayo Madini hayapatikani Urusi pekee hata nchi nyingine yapo km Australia,nk tofauti ni kwamba Russia bei chee) lakini hawezi sababu anahitaji pesa aendeshe vita yake aliyoianzisha isio na kichwa wala miguu.

Kalegea wapi - mambo mengie bwana!! Kwani Urusi ina shida gani??

FYI, Putin is mega smart upstairs revisit comments zake alizo zisema juzi juzi amefafanua kila kitu bayana, any level headed person ambaye is not driven by idealogical diffences between east and west mbona atamuelewa vizuri tu, tuwe wakweli hapa Putin is light years ahead of western leader na alicho kisema ndicho kitakuja kuikumba Continental Europe,UK na Merikani yenyewe dalili zimekwisha jionyesha - pamoja na ujeuri wao na dharau za kitoto kuna siku watakuja kumsihi Putin yaishe.

One more thing - the World cannot afford 2 do without Russia ,crusade ya Merikani kutaka kulazimisha Dunia ijifanye as if Russia haipo kabisa Dunian, huo ni wendawazimu na hawatafanikiwa hata kidogo,badala yake Multipolar World ndio itaimarika zaidi tofauti na utashi/matarajio ya Anglo-Saxon gang.
 
Ukiangalia vita ya Russia vs Ukraine utagunduwa jambo moja tu nguvu ya usalama wa Taifa. National Intelligence. Kwa sasa CIA na Mossad ndio wanamjambisha Putin na mwisho lazima watake dam yake bila kumwagika. Hiyo ndio nguvu ya Intelligence
Nonsense
 
Hakuna win win hapo. Ni lazima mmoja analolitaka lisitimie. Ulaya wanaitaka gesi ya urusi lakini pia wanataka kukwamisha uvamizi wa urusi ukraine.

Ukinunua gesi umempa urusi hela na ukimpa urusi hela ni umefinance smo. Alafu unarudi upande wa pili unampa tena hela Ukraine ili apambane na urusi. Unajikuta vita nzima wanapigana wengine zinatumika pesa zako. Checkmate!!

Putin ameshasema km ulaya hawatanunua gesi yake zipo nchi nyingine wataziuzia. Hiyo kwake ni alternative je ulaya wanayo alternative ya gesi ya urusi!?

Mwanzoni waliweka vikwazo ila wakaitoa gesi, mafuta yanayopita kwenye pipeline na coal. Akawaambia sasa hv anapokea ruble wakabisha ila mwishoe wamekubali. Sasa hv kawaambia mpk watoe vikwazo ndio afungulie. Ngoja tuone!!!

Ukweli ni kwamba Russia kufunga gesi isiende ulaya ni swala la dk tu. Ni Kufunga na kufungua koki. Ila Ulaya kureplace gesi ya urusi sio swala la muda mfupi hata kidogo. Wanahitaji muda mrefu mpk waweze kustahmili bila gesi/energy ya urusi. Sasa huo muda urusi atawapa!? It seems like Putin ameshasukuma kete yake sasa anasubiri na wao (ulaya) wasukume zao.

Gesi haitaachiwa mpk siemens wafikishe pangaboi urusi na siemens hawawezi kudeliver hilo turbine kwa sababu ya vikwazo. In other words waondoe vikwazo wapate gesi. Wataweza kuondoa vikwazo kwa sababu ya gesi!? Au bora wafe na baridi ila vikwazo viko palepale!?

Wakati huu Italy wanajiandaa kutangaza hali ya tahadhari ya kitaifa ili waanze kufanya mgao wa gesi hapo ni kwa sababu urusi amewapunguzia tu gesi kwa 15% ya aliyokuwa anaipa kampuni ya eni ya italy. Nchi nyingine zitafuata.

Sasa hv akiba ya gesi ya ulaya iko below avarage na hivi nord stream 1 inasupply below 45% wanasema kufikia November akiba ya gesi ulaya haitazidi 69% ambayo haitoshi throughout winter.
Kudos Mkuu,

Couldn't nail it better ....
 
Kwamba wanachagua bidhaa za kuziwekea vikwazo?

Kama ni wanaume si waweke vikwazo kwa bidhaa zote? Kwa nini wana-exempt bidhaa zinazowa-favor ?

Jamaa kawakamata penyewe. Ni kwamba turbine ikija tu Moscow kesho yake anafungulia gas. Shida ipo hapo kwenye hiyo turbine kupokelewa Moscow.

sharti ni moja tu nunua gas kwa ruble ama ondoa vikwazo vyote.
Nakazia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalegea wapi - mambo mengie bwana!! Kwani Urusi ina shida gani??

FYI, Putin is mega smart upstairs revisit comments zake alizo zisema juzi juzi amefafanua kila kitu bayana, any level headed person ambaye is not driven by idealogical diffences between east and west mbona atamuelewa vizuri tu, tuwe wakweli hapa Putin is light years ahead of western leader na alicho kisema ndicho kitakuja kuikumba Continental Europe,UK na Merikani yenyewe dalili zimekwisha jionyesha - pamoja na ujeuri wao na dharau za kitoto kuna siku watakuja kumsihi Putin yaishe.

One more thing - the World cannot afford 2 do without Russia ,crusade ya Merikani kutaka kulazimisha Dunia ijifanye as if Russia haipo kabisa Dunian, huo ni wendawazimu na hawatafanikiwa hata kidogo,badala yake Multipolar World ndio itaimarika zaidi tofauti na utashi/matarajio ya Anglo-Saxon gang.
Asante kwa chakula cha Ubongo Mkuu ...nimechukua hizo .....megasmart na light years
 
Nakazia MKUU
sharti ni moja tu nunua gas kwa ruble ama ondoa vikwazo vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umetisha sana mkuu

Na inabidi wafanye upesi kutimiza hilo shariti bado mapema, maana wakichelewa tu anawabadilikia na kuwaambi nimeghairi sasa nataka mtekeleze vyote kwa pamoja.

Yaani gas mlipe kwa ruble na vikwazo viondoke tena vyote na vile mlivyoniwekea hata kabla ya kwenda Ukraine kama hamtaki tukutane winterni huko
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom