MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,765
- 71,801
- Thread starter
-
- #61
How did Afghanistan War ruin Soviet Union?
The answer is simple wars are very expensive
The Afghan - Soviet war lasted over nine years from December 1979 to February 1989 which led to one of the most bloodiest wars in all of man kind..
This war was one of the most crucial reasons to the fall of the Soviet Union....because it became bankrupt.
Mambo yanabadilika kutokana na muda.
Kwanini hapa majuzi walifanya mabadiliko kwa kiongozi wao awe wa maisha?Sawa, lakini Uchina inatumia mfumo ule ule wa Mao tse Tung na bado imekuwa Super Power.
Unaweza kusemaje juu ya hili ???
Kweli sana mkuu.
1.Foreign policy tizama alivyotahadharisha kuivamia Syria na kumuondoa Assad kinguvu akatoa mifano ya Libya ,na maneno yake yanaishi mpaka leo angalia alivyo counter mgogoro wa USA na Iran na pia ishu ya North Korea.
2.Speech zake na interviews zake huchoki kutizama jamaa ana akisi maana ya uongozi
Kwa miaka 18 Putin na Ahmadinejad ndio Viongozi walionivutia ningekuwa na tuzo ningewapatia
Kwani hapa majuzi walifanya mabadiliko kwa kiongozi wao awe wa maisha?
Sasa kama kabla ya hao hakukuwa na ukomo. Imekuwaje yakafanyika mabadiliko mwaka huu?Ndiyo wameondoa ukomo wa Uraisi,
Lakini maraisi wote wa Uchina kabla ya Zemin na Juntao walikuwa hawana ukomo.
Uchina mpaka leo haijaanguka na imekuwa taifa kubwa lenye nguvu sana kiuchumi.
Sasa kama kabla ya hao hakukuwa na ukomo. Imekuwaje yakafanyika mabadiliko mwaka huu?
Mabadiliko hayaepukiki mkuu.Hilo ni la wachina wenyewe,
Wamepiga kura na kuona kwamba linafaa!
Hapa Tz nani anamsaliti nani mpaka tuwe hivi ?!Hakuna kitu kibaya kama kusalitiwa mkuu
Nilitokea kumkubali Putin baada ya kusikiliza interview yake moja na tokea hapo mpaka leo namkubali sana Putin na nimekuwa addicted na interviews/speech zake nikiwa bored huwa nipo youtube nafuatilia interviews zake hata simu yangu ukiingia youtube utakutana na suggested videos nyingi za Putin na Nejad.Hachoshi kumsikilizaKweli sana mkuu.
Ukisikiliza mainstream media wanavyomsema putin ni dikteta, muuaji. Lakin ukikaa kumsikikiza mwenyewe akiongea ndo unafaham ni kiongoz wa aina gani.
In my opinion, He might be the best stateman on earth. Amekuwa msaada mkubwa sana hasa kwenye kupigana na IS Syria
Speech zake ni very interesting, kadri unavyomsikiliza ndo unazid kumkubali pia approval rate kwa wananch wa urus ni 80%.
Wao wenyewe wameamuaSasa kama kabla ya hao hakukuwa na ukomo. Imekuwaje yakafanyika mabadiliko mwaka huu?
Nakubaliana na wewe,Mabadiliko hayaepukiki mkuu.
Sizo vs TLUnafananisha na nani?
Na ni mfano gani unao relate na hiyo scenario kwa hapa kwetu!?
Sera za kijamaa huishia mwisho kwenye u dictator. Mifano hai ni mingi dunianiNdiyo wameondoa ukomo wa Uraisi,
Lakini maraisi wote wa Uchina kabla ya Zemin na Juntao walikuwa hawana ukomo.
Uchina mpaka leo haijaanguka na imekuwa taifa kubwa lenye nguvu sana kiuchumi.
Ni jambo gumu sana lazima nawe utabadilika kutokana na mbinu unazotumia kuyakabili mabadiliko.Wao wenyewe wameamua
Nakubaliana na wewe,
Huwezi kukwepa mabadiliko lakini unaweza kujipanga kuyakabili.
Huo ni mkwara, mkwara unaodhihirisha hofu ya kusalitiwa na kuondolewa madarakani au kuuawa.
Sera za kijamaa huishia mwisho kwenye u dictator. Mifano hai ni mingi duniani
Sizo vs TLUnafananisha na nani?
Na ni mfano gani unao relate na hiyo scenario kwa hapa kwetu!?
Ni jambo gumu sana lazima nawe utabadilika kutokana na mbinu unazotumia kuyakabili mabadiliko.
Ufaransa ni taifa kubwa kabisa duniani. Lakini ndani ya miaka 12 wamebadili marais 4 wa vyama tofauti tofauti na bado nchi ni imara zaidi. (Mitterrand, Sarkozy, Hollande na sasa Macron)Ni Raisi gani wa nchi kubwa haogopi kusalitiwa, kutolewa madarakani au kuuawawa ??