Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Mbona hujamtaja Dr. Shika?
 
huu mchezo anaucheza muingereza mwenyewe
 
Kwani huko kwa putin ni usamaria au udikteta ule ule.
Nchi zenye vichwa vya namna hii lazima zisambaratike tu kama urusi ilivyosambaratika.
Mkuu, Urusi gani iliyosambaratika? Au unamaanisha USSR?
 
Mmoja wa viongozi madhubuti kweli kweli,asiyeyumbishwa na wanaolazimisha 'kusujudiwa' kwa lazima.Ameirudisha Urusi kwenye heshima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…