Hiyo poll uliyoitaja hapo, alifanya nani!? Maana utakuwa mpumbavu wa kwanza duniani kuamini poll aliyoifanya mrusi mwenyewe. Haya naomba jibu, hiyo poll nani kaifanya!? Uje na source pia.Next time kabla hujaandika fanya homework kwanza
A recent poll reveals 70% of Russians support the ‘special military operation’
Kuhusu ICC Urusi sio signatory wa hiyo kitu na hakuna wa kumkamata zaidi ya Nchi signatory wa ICC… kiuhalisia nambie nchi gani inaweza jaribu hilo
NB: Marekani sio signatory wa ICC either!
Sawa Mrusi wa Buza Kwa Mpalange. Naona una data zote kutoka Kremlin ya Buza.Mkuu urusi hajaanza kutumia silaha zake. Alikuwa anatumia silaha za kizamani zilizobakia ww2, hakuna mwanajeshi mzoefu wa urusi aliyeenda front hata mmoja, kyv anahangaika na madogo wa mtaani na wale wa weigner.
Vita imekuea ngumu kwa puttin sababu anapiga kwa kuvizia coz wanajeshi wa kyv wamejichanganya kwa raia na wanapambana wakiwa na ngao ya civillians, wameweka makombora shuleni, hospitali na sehem za watu. Vinginevyo vita ingeshaisha
Kwa taarifa yako usione Mrusi ni mchache angetaka kumaliza vita angechukua siku moja tu.Kama Marekani alivyomaliza vita vya pili vya dunia kwa siku 2 alivyoipiga Hiroshima na Nagasaki mabomu ya atomic mawili tu.Yaan putin alitakiwa kumaliza vita ndan ya muda mfupi sana hii long term anajitengenezea shimo
Unajua implication yake au unaongea tuDuuh aisee kwann urusi anashindwa kupiga bomu moja la nyuklia marekani alipewa ridhaa na nan kutupa bomu japani
Ukraine atapigwa tu ndugu yangu, hiyo ICC haiwezi kumfanya chochote Putin.
We unadhani nani anaweza kumkamata Putin? Hizo ni mind games za NATO baada ya kuona kichapo kule Bakhmut.
Next week Xi Jinping atamuona Putin, kumbuka kwamba China ana capacity kubwa sana ya kutengeneza silaha.
Nato na Ulaya wanahofia kwamba China akitia mguu itakuwa ngumu sana kwa Ukraine kushinda. Ila ndo kitu kinaenda kutokea, China lazima ampe silaha mrusi na Ukraine mwisho wa siku atadundwa tu
Wamefanya Levada Centre, tena kwa mwaka huu imekuwa 83% ya Warusi wanamkubali PutinHiyo poll uliyoitaja hapo, alifanya nani!?
Source - Levada CentreMaana utakuwa mpumbavu wa kwanza duniani kuamini poll aliyoifanya mrusi mwenyewe. Haya naomba jibu, hiyo poll nani kaifanya!? Uje na source pia.
Nimekuelewa teknik hiyo nzurJeshi la Urusi limerudi kambini kuwasubiri rasmi NATO
sasa hivi Vitani wapo Wagner wakisaidiwa Silaha na mbinu tu za kupambana
sasa hivi kinachoendelea huko Ukraine ni mapambano ya utangulizi tu
Russia iligundua mbinu kongwe ya Marekani ya kupiganisha vita kwa miaka mingi na wakishachoka adui ndio anaingia mwisho mwisho kuchukua point 3 kama alivyofanya kwny 1 and 2 WW
hii vita huenda ikaisha 2024 baada ya uchaguzi Mkuu wa Marekani
NATO ni US tu mkuu, hao wengine ni members wasio na influence. Na ukiangalia kwa sasa China na Russia ni mataifa yenye capacity kubwa sana kwenye kutengeneza silaha, so sio rahisi Mrusi kupigwaUnakosea sana kusema Ukraine atadundwa. Ukraine = NATO. Nakukumbusha tu vita baridi ilichukua zaidi ya miaka 40. China anajua Urusi akishindwa yeye ndo anafuata. This war is far from over
Mkuu lengo siyo kumpeleka kama hujajua, huo ni mtego tu, kama wangekuwa na lengo/uwezo wa kumkamata na kumpeleka huko basi kwenye hii vita wangekuwa washamvizia na kumuua. Hapo kuna kitu wanachochea kama siyo kuwachonganisha Warusi ndani kwa ndani.Watanasa wao, kabla ya hilo kukamilika nakuhakikishia Putin atawapa suprise kabambe sana ndio utajua maana ya jasusi mbobezi ni nini. Huko ICC haendi na hao wamarekani litawakuta jambo kiasi kwamba hata huko kumpeleka ICC hawatakuwa na hamu nako tena.
Huu ndio ukweli, hata hapa bongo kuna wadadisi wanasema ile vita ya kagera mpaka leo hatujakaa stable financiallyArsenal ya urusi ime-shake mpaka ahitataji tag ya mchina?
Wa nani hao wenzake wanaofanya vizuri kiuchumi???? Unaishi wapi??? Kama uko bongo africa basi hujui kitu tulia kama ulivyozaliwa, Nchi zote za ulaya na marekani cha moto inakiona kila kitu bei juu na vingine havipatikani kabisa. chezea Putin wewe, huyo ni mwamba kweli kweli hatishiki hivyo eti na ICC.Sasa ameishiwa silaha 2yrss kumbuka kawekewa vikwazo wenzake bado wanafanya vizur kiuchumi yeye anadidimia hata wananchi wake watamchukia
Ukraine atapigwa tu ndugu yangu, hiyo ICC haiwezi kumfanya chochote Putin.
We unadhani nani anaweza kumkamata Putin? Hizo ni mind games za NATO baada ya kuona kichapo kule Bakhmut.
Next week Xi Jinping atamuona Putin, kumbuka kwamba China ana capacity kubwa sana ya kutengeneza silaha.
Nato na Ulaya wanahofia kwamba China akitia mguu itakuwa ngumu sana kwa Ukraine kushinda. Ila ndo kitu kinaenda kutokea, China lazima ampe silaha mrusi na Ukraine mwisho wa siku atadundwa tu
Mkuu urusi hajaanza kutumia silaha zake. Alikuwa anatumia silaha za kizamani zilizobakia ww2, hakuna mwanajeshi mzoefu wa urusi aliyeenda front hata mmoja, kyv anahangaika na madogo wa mtaani na wale wa weigner.