Next time kabla hujaandika fanya homework kwanza
A recent poll reveals 70% of Russians support the ‘special military operation’
Kuhusu ICC Urusi sio signatory wa hiyo kitu na hakuna wa kumkamata zaidi ya Nchi signatory wa ICC… kiuhalisia nambie nchi gani inaweza jaribu hilo
NB: Marekani sio signatory wa ICC either!
.Kuna ile picha kakas kwenye kiti kavua shati unayo
political monger seniorWaliosema putin hataweza kuhimili vikwazo kwa two weeks ndio ninao wasililiza tena hapa saivi
Urusi siyi Libya boss 😀😀😀Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Hiyo poll matokeo ni hayo yanayotangazwa toka Kremlin,,fuatilia kuhusu warusi wanaokimbia nchiNext time kabla hujaandika fanya homework kwanza
A recent poll reveals 70% of Russians support the ‘special military operation’
Kuhusu ICC Urusi sio signatory wa hiyo kitu na hakuna wa kumkamata zaidi ya Nchi signatory wa ICC… kiuhalisia nambie nchi gani inaweza jaribu hilo
NB: Marekani sio signatory wa ICC either!
Km Omar Al Bashir ilishindikana nadhani kwa PUT IN ni mapema na asubuhi tayari wanae.Sawa lakin sasa Putin anaishi kwa wasiwasi haamin kiumbe chochote ulinzi umeongezeka yaan hata nchini kwake pia hapapo salama kwake just imagine yaan wamempa mzgo wa matatizo ili mwisho aanguke
Broo!!!wewe endelea kubwia K vant haya mambo ni makubwa si kawaida kuliko uwezo wako wa fikra unazojitahidi kuwasilisha hapa!!!Kwani ukikaa kimya utapungukiwa nini,,,kuliko kuja kijidhalilisha humu jukwaani kwa stori ulizookota kwa vijana wenzako mnao shinda nao saluni kunyoana viduku,,kuweka blichi na kujivunza kudansi mkiwa na mademu wenu wa visendo manyoya na waimba,,,"""Kwikwiii Kwikwii,,,,Jifunze kujifunza zaidi na kuelewa zaidi kabla ya kukurupuka na kujidhalilisha humu,,,Ujue Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan anakatizaga humu,,,jitahidi usionekane wa hovyo!!
Umeongea hisia zako tu mkuu.Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
We jipange na mashosti wenzio wa NATO mkae mkao mkisubiri PUTIN akamatwe ili mipango yenu ya kishoga iendelee. Nakuhakikishia hio siku hamtakaa muione 😀😀😀Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Alisema wapi ataimaliza vita? Hii ni Special Operation sio vita. Ni Operation ya kufurumusha mashoga wa NaziHivi mwanzoni Putin alisema ataimaliza hii vita ndani ya muda gani vile? Je sasa hivi si mwaka sasa na bado hajui afanye nini
Urusi sio Zimbabwe wewe 🤣 siku ya Urusi kufilisika ni baada ya USA kuwa Nuked up. Atafilisika kwa kukosa mabomu ya maangamizi baada ya kuyatumia.Tuliwa wambia kuwa usicheze na state ya washngton ni hatari.Urusi inaenda kufilisika mdogo mdogo wenzake ndio wanasonga mbele maana vita sio vyao.Siku ikifilisika ndio kugawanyika kwa urusi
Ukitaja kujua akili zako umeandika thread nzima bila kuweka nukta, yani thread nzima ina sentensi moja.Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Watanasa wao, kabla ya hilo kukamilika nakuhakikishia Putin atawapa suprise kabambe sana ndio utajua maana ya jasusi mbobezi ni nini. Huko ICC haendi na hao wamarekani litawakuta jambo kiasi kwamba hata huko kumpeleka ICC hawatakuwa na hamu nako tena.Na huo ndiyo mtego ulipo, wanataka anguko la Putin litoke ndani ya nchi yake.