Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

We jamaa bana eti SATAN 2 ni delivery system, na RD-263 itakuwa nini!?... Ina maana kusoma kwako kote source hata moja imeshindwa kukwambia dunia ilitikisikaje kwa kilichotokea mwaka 1961?.
Basi kuna mzigo unaitwa 'FATHER OF ALL BOMBS' au "TSAR BOMBA" kalifatirie na lenyewe limeundiwa kabisa ndege yake maalum Tupolev Tu-160 kulideliver. Kuhusj ukubwa wa mlipuko wake hili FOAB ni kwamba lilipunguzwa ukali siku ya majaribio ila specification zake zote zingetumika hali ingekuwa tofauti siku hiyo!.
Namba 2 naona pumba hakuna point, hivi ukiambiwa USA inaweza ipoteza Tz unahisi hilo bomu likipigwa litakung'uta Tz yote!?. Ni kwamba linapiga Governmental area ina maana kama likipigwa basi Dodoma na Moro au Singida zote zinapotea kwenye ramani. France ni Paris kwingine jina tu na ndio maana Hitler alipoingia Paris basi nchi nzima ikawa imepigwa na uongozi ukakimbilia UK, sawa na ambacho Londoners wangefanya jamaa kama angefanikiwa ingia.
Point namba 3 nilishawahi itolea ufafanuzi, Vita ya Nyuklia ni hatua ya mwisho kabisa special wanapopigana wakubwa!. MAD ni ile "tukose wote" hakuna ambaye yupo tayari kuianzisha, na usipotumia nyuklia basi narudia France na Europas ukimtoa UK ni warembo kwa Russia.
Satan 2 Or Any Missile Aina Tofauti Na Rockets Zingine. Ni Delivery Systems Ambazo Zinaweza Kutumika Kubeba Warheads Au Silaha. Sijui Tunachobishana Hapo Ni Kipi? Au Nikuulize Wewe, Unaelewa Nini Maana Ya Missile?

Hilo Tsar Bomber Nilishalitolea Ufafanuzi Humu Humu JF Kuhusiana Na Ubishi Huu Huu Kuhusu France. Na Nilieleza Kuwa Hata Bomu Kubwa Kuwahi Kifanyiwa Majaribio Haliwezi Ku-Cover France Nzima. Na Aliyewaambia Kuwa France Nzima Ni Paris Tu Ni Nani?
 
Nani amekwambia shida zinazoeleka mkuu?.Fact ni kwamba Russia hawapendi kuwa kwenye depression kila kukicha hata kidogo,tatizo hakuna akili ya kuwatoa hapo walipo,Maana akili iliyoyopo inawaza military might 24/7.Hakuna nguvu muhimu kama nguvu ya uchumi asikudanganye mtu,you can do what ever you want.
How about NKR na wao ni waoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.

Pili, Ukubwa Wa France Ni Zaidi Ya Square KMs 500,000. Ili Iweze Kufutika Kwenye Uso Wa Dunia Ni Lazima Hiyo Nuke Itengeneze Detonation Yenye Ukubwa Huo Wa Ufaransa Nzima Kitu Ambacho Mathematically Hakiwezekani. Labda Idondokewe Na Kitu Kutoka Nje Ya Dunia Kama Vile Asteroid Au Sayari Ndogo Yenye Ukubwa Huo.

Tatu, Hata Kama Urusi Itafanikiwa Kurusha Multiple Nuclear Missiles Au Missile Moja Yenye Multiple Targets (MIRV) Bado Ufaransa Atakuwa Na Uwezo Wa Kufanya Retaliation (Counter-Attack) Dhidi Ya Urusi Kwa Maana Hiyo Ile Doctrine Ya Kijeshi Ya Mutual Assued Destruction Itafanya Kazi. Isitoshe France Na Yeye Ana Delivery Systems Zenye Range Zaidi Ya 10,000 KMs (ICBMs).
Kwa Faida yko tena megatons moja ya nuclear Sawa na kilotons 1000 kwaiyo nakupa ruhusa ukafanye hesabu km Tu bomu LA nuclear lililolipuliwa Nagasaki lilikua Na megatons 27 na liliweza kulipua mji WA Nagasaki hlo ni nuclear je bomu LA hydrogen itakuaje? Soma alaf uje kuzungumza hzo ni silaha tu ambazo tuna zifahamu ambazo wao wameziweka waz je walizo zificha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mara ya kwanza ulitaka aminisha jamii kwamba mataifa makubwa ya nyuklia ni 5 tu nimeipinga hiyo mada. Pia NPT ni mkataba ulioingiwa kuzuia mataifa mengine kuzalisha na kutengeneza silaha za kinyuklia. Officialy huu mkataba ni dunia nzima sio wa hayo mataifa 5 unayoyataja, na kwa kuongezea hata South Africa na yeye alikuwa na bomu la nyuklia lakini baada ya kuamua kuusaini akaliharibu.
UNSC na NPT ni maji na moto, yani ni vitu viwili tofauti kabisa. NPT ni mkataba wa kuzuia, kupunguza na kukataza uzalishaji wa silaha za maangamizi, pamoja na kuimalisha matumizi salama ya nguvu za nyuklia. NPT ilitokana na makadirio yaliyoonekana baada ya miaka 20 kuendelea dunia ingekuwa na zaidi ya nchi 20 zenye silaha za kinyuklia jambo lingeleta machafuko dunia. Na kwa taarifa yako tu Ukraine alikuwa na nyuklia nyingi zaidi hata ya UK lakini baada ya kujitenga na USSR akasaini NPT na kuamua kumrudishia Russia aziharibu silaha. South Sudan hajasaini NPT so akiamua kuzalisha atapigwa kwa ubabe sio kwa kukiuka NPT.
UNSC ni Bodi iliyoundwa baada ya vita vya pili kulinda usalama wa dunia katika masuala nyeti. UNSC ilianzishwa ili kuzipa nguvu (VETO) nchi zilizoshinda WW2 (US, UK, USSR). Nchi kama France yenyewe ilipewa Veto power tu kutokana na historia yake na wala sio ubabe wake kumbuka ilipigwa na Germany. China baada ya kuonekana anakuwa mkubwa zaidi ikabidi na yeye awe drafted ndani. Na kuna harakati German na yeye apewe siti ya kudumu UNSC.
So kusema nchi fulani zimedeclare huko ni kupoteza maana nzima ya NPT halafu na kusema Big 5 au UNSC ni kutokana na Nuclear Power alone huko ni kuharibu history yake!.
Nimekuambia Official Nuclear States Ni 5 Tu Hao Wengine Wame-Declare Wenyewe. Hata UN Wanatambua Kwamba Official Nuclear States Ni 5 Tu Wewe Unabisha. Dah! Sijui Nikusaidieje?

================
Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons (NPT)
The NPT is a landmark international treaty whose objective is to prevent the spread of nuclear weapons and weapons technology, to promote cooperation in the peaceful uses of nuclear energy and to further the goal of achieving nuclear disarmament and general and complete disarmament. The Treaty represents the only binding commitment in a multilateral treaty to the goal of disarmament by the nuclear-weapon States. Opened for signature in 1968, the Treaty entered into force in 1970. On 11 May 1995, the Treaty was extended indefinitely. A total of 191 States have joined the Treaty, including the five nuclear-weapon States. More countries have ratified the NPT than any other arms limitation and disarmament agreement, a testament to the Treaty’s significance.

Source: UN
 
US ana advantage ya umbali kutoka mataifa yanayoweza kuwa potential adui,ndo maana aliposikia venezuela wanampa Russia kisiwa kimoja afanye airbase,marekani walishtuka sana na kuamua kufasttrack mpango wa kumuondoa maduro kabla Russia hajajenga kambi hapo na kuweka ndege zake ambazo zingekuwa na ukaribu wa masaa matatu tu kutinga US mainland,
Russia ana advantage ya ukubwa,7 timezone si mchezo,kwa ufupi hata ndege za marekani kushambulia moscow zitaonekana kabla,na mrusi anaweza kwenda kusinzia kwanza kabla hajaanza utaratibu wa kudungua,mbali mno inachukua masaa,that is why marekani anataka kurudi kuweka makombora europe ili ku minimize Russia time of reaction agaisnt US attack,
lakini hiyo inaiweka ulaya yote kama target one,kabla Russia hajajibu mashambulizi kuelekea marekani,
kwa ufupi europe kwenye huu mgogoro,they are fukd already,
US wanaweza kupre empt Russia asiweke kituo cha kijeshi venezuela,lakini hiyo sio concern kubwa kwa Russia kwa aina ya silaha walizonazo,pamoja na secondstrike force waliyonayo mfano nuclear submarine zenye firepower kubwa ya kuteketeza miji mikubwa kama Newyork,washington etc
 
kwa maelezo ya haraka haraka hapa naona tanzania tuna wanasayansi wa bobezi wa maswala ya silaha za kivita lakini sijui ni kwa nini majeshi yetu yanatumia AK47 na SMG. Na huku nchi inawataalamu wa kutengeneza silah

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka wa ngap huu hujasikia jw wamenunua silaha ?

Hivi unajua kuwa nyumbu wanaunda silaha chini ya msaada wa teknolojia ya kiduku

Unakumbuka kile kimondo kilichoangukia ziwa Victoria majuzi kati lkn

All in all karibu kahawa hapa mwandiga stendi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Satan 2 Or Any Missile Aina Tofauti Na Rockets Zingine. Ni Delivery Systems Ambazo Zinaweza Kutumika Kubeba Warheads Au Silaha. Sijui Tunachobishana Hapo Ni Kipi? Au Nikuulize Wewe, Unaelewa Nini Maana Ya Missile?

Hilo Tsar Bomber Nilishalitolea Ufafanuzi Humu Humu JF Kuhusiana Na Ubishi Huu Huu Kuhusu France. Na Nilieleza Kuwa Hata Bomu Kubwa Kuwahi Kifanyiwa Majaribio Haliwezi Ku-Cover France Nzima. Na Aliyewaambia Kuwa France Nzima Ni Paris Tu Ni Nani?
Ndugu mbn km ujaenda shule huja zungumza kuwa kuna bomu kubwa km ufaransa 'no'sasa km unalifamu hlo bomu ina kuaje marekani iliweza kuharibu mji WA Nagasaki na hiloshima au na wao walitengeneza bomu Linalo kavu mji ninge kupeleka kwenye post yangu kafuatilie kwa nn wanaita silaha za maangamiz Ndiio utajua na Kwa nn tsar bomba wangeweza kuilipua kwa intensity ya megatons milion miamoja bc ingeweza kuigawa Dunia vipande viwili acha ushabiki rudi kwenye fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mbn km ujaenda shule huja zungumza kuwa kuna bomu kubwa km ufaransa 'no'sasa km unalifamu hlo bomu ina kuaje marekani iliweza kuharibu mji WA Nagasaki na hiloshima au na wao walitengeneza bomu Linalo kavu mji ninge kupeleka kwenye post yangu kafuatilie kwa nn wanaita silaha za maangamiz Ndiio utajua na Kwa nn tsar bomba wangeweza kuilipua kwa intensity ya megatons milion miamoja bc ingeweza kuigawa Dunia vipande viwili acha ushabiki rudi kwenye fact

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine Hujaelewa! Ninapozungumzia Coverage Namaanisha Blast Radius.
 
Usiombe mkuu! Hii nikinyume na usemi usemao vita vya panzi furaha kwa kunguru sasa hapo ndipo tutajua kunguru ni nani na panzi ni kinanani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happening in venezuela colombia boarder,Rais aliejitangaza jana alivuka mpaka kwa siri kuingia colombia,katika mji wa cucuta,ili leo aongoze harakati za kulazimisha misaada kuingia venezuela,mpaka dakika chache zilizopita wafuasi wa guido walikuwa wanaondoa Roadblock pale darajani ili kuruhusu magari yenya msaada kupita,
lakini pia wakati huohuo askari wanne wa venezuela wameswitch side na kujiunga na upinzani pale mpakani,
wakati huohuo ndege ya marekani ya SOCOM-(Special Operation Communication) imetua dakika chache zilizopita katika mji wa colombia wa Bucaramanga,then mda huo huo helcopter ya colombia blackhawk ikitokea cucuta ambao ni mji wa mpakani na venezuela imetua karibu na ndege ya marekani,means kuna personal wanafaulishwa kutoka katika ndege ya marekani,

next time i heard ni kuwa Rais aliejitangaza Guido yuko pale boarder pamoja na Rais wa colombia na pia Rais wa chile,

so that is the situation,na mda wowote truck zenye msaada zinaweza anza movement kuelekea venezuel,
askari wa venezuela wako pale mpakani,
the way i see it,kuna uwezekano mkubwa misaada ikapenya,na ikipenya kuna mawili,Maduro kuamua kusalimu amri na kuachia madaraka au aamua kukomaa mpaka mwisho,
jama usiku ,ndege ya CIA,Ebola Gulfstream ilikuwa inafanya shutting kati ya marekani na colombia,pia kuna taarifa mossad maagent wao 300 wamo ndani ya msafara wa kupeleka misaada ndani ya Ven,wengine kama madreva,matingo,waandishi etc
 
kwa maelezo ya haraka haraka hapa naona tanzania tuna wanasayansi wa bobezi wa maswala ya silaha za kivita lakini sijui ni kwa nini majeshi yetu yanatumia AK47 na SMG. Na huku nchi inawataalamu wa kutengeneza silah

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wengi humu wamekariri tu mavitabu ila vitendo ni empty usione wanatirirka na maformula ya physics ukajua ni wataalam
 
Guido alikuwa na amri ya mahakama kutotoka venezuela,kwahiyo kitendo cha kuvuka mpaka jana kuingia colombia anakuwa amekiuka amri ya mahakama,sasa swali kubwa ni kuwa iwapo misaada ikashindikana kuingia anaweza kurudi vipi ,na hata akirudi venezuela kwa njia za panya kama alivyotoka,maduro tayari anayo sababu ya kumweka ndani kwa kukiuka amri ya mahakama,je atamkamata au ataogopa reaction ya marekani na washirika wake?
 
Back
Top Bottom