Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

Urusi bado haijfikia levo ya kupambana na marekani kijeshi; isipokuwa marekani nayo imekuwa inapwaya sana katika kipindi cha miaka ishirini na tano iliyopita kwa sababu za siasa za ndani tu. Tangu mapinduzi ya 1994 ya Contract with America, taifa hilo limekuwa halina siasa za ndani zenye mwelekeo wa kitaifa, badala yake limegawanyika sana kiitikadi na hivyo kutokuwa na sera ya pamopja ya nje kama ilivyokuwa kabla ya hiyo Contract with America..
urusi haijafikia levo ya kupigana na marekani huwez kuwa sirias boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia kinachowapa ugumu katika mahusiano haswa na nchi za Africa au Amerika ni ubaguzi wa raia wao haswa ukiwa kwao, Russia wakati wa miaka ya 60 na 70 ingezikamata sana nchi za Afrika kupitia sera ya ujamaa lakini walishindwa kutengeneza mahusiano ya kiuchumi na hii yote inatokana na wao kujiona kuwa rasilimali wanazo hivyo hawawezi kunyeyekea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nakubaliana nawewe kabisa. Hawa jamaa ni wabaguzi sana ukiwa kwao hii kitu nishawahi kusikia kwa mtu wangu wa karibu kabisa alikuwa urusi kipindi fulani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KILA TAIFA LINA KILE LINACHOKIAMINI ILI LIENDELEE KUWEPO KATIKA USO WA DUNIA MFANO ISRAIEL IMEWEKEZA HEAVILY KWENYE ESPIONAGE KTK NCHI ZA KIARABU IKIAMINI NCHI HIZO NI HATARI KWA USTAWI WAKE VIVYO HIVYO URUSI INA HISTORIA NGUMU YA KUVAMIWA KIVITA TANGU ENZI ZA AKINA NAPOLEON BONAPARTE HADI KUIBUKA KIDEDEA KTK VITA KUU YA PILI YA DUNIA NA NDIYO ILIYOPELEKEA URUSI KUINVEST KTK UUNDAJI WA SILAHA KWA RASILIMALI NYINGI KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI NA NDIO NCHI INAYOONGOZA KUWA NA SILAHA NYINGI NA ZA KUTISHA KULIKO TAIFA LOLOTE PIA NDIO NCHI ILIYOJIHAMI KWA UMADHUBUTI MKUBWA KULIKO NCHI YOYOTE MFANO HADI KUFIKIA 1970 URUSI ILIKUWA IMEJENGA NYUMBA 1578 ZENYE UKUBWA SAWA NA WHITE HOUSE KILA MOJA, ZIKIWA MITA ZAKUTOSHA DEEP DOWN SOIL PROFILE ZIKIWA ZIMEFUNIKWA NA REINFORCED COCRETE LENYE UNENE WA FUTI 75 NA MPAKA LEO WAMEJENGA NA WANAENDELA KUJENGA MAELFU YA NYUMBA NYINGI ZA NAMNA HIYO DOWN EURAL MOUNTAIN HIVYO KWA MATAYARISHO HAYA NDIPO UTAONA UTOFAUTI KTK MAENDELEO YA UCHUMI KATI YA TAIFA LINALOTENEGENEZA FLAT SCREEN NA LILE LINALOINVEST KWENYE INTERCONTINENTAL BALISTIC MISSILES
ftat screen Kama China, halafu mahaba niue wanakuja hapa wanakwambia China Ina uchumi mkubwa na kutisha kuliko urusi ukiuliza kigezo watakwambia anauza hadi mabegi Tanzania, kila nchi Ina vipaumbele vyake, Kama jiwe vipaumbele vyake ni kuua demokrasia Tanzania basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Kafara Hapo! Europe Kuna UK Na Ufaransa Ambao Wako Kwenye G5 (Nuclear Powers). Urusi Anaanzaje Kuigeuza Europe Majivu Wakae Wanamuangalia Tuu??????
Russia akiamua kuingiza jeshi lake Ulaya tabu ataweza ipata Ujerumani na Ukraine ingawa hawa Germans nao wamekuwa laini kizazi chao ila Ukraine ana jeshi kubwa Europe nyuma ya Russia. France na UK watabisha lakini watapigwa tu hawana jeshi kubwa kumzuia.
Ukija kwenye Nuclear arsenal lile SATAN II likitupwa linaweza ifuta France nzima sasa jiulize France na UK ipi kubwa kieneo!..
UK kutokana na historia yake yupo vizuri sana vita ya majini kutokana na Meli anazotengeneza, kule Russia atapigwa mapema tu!.
 
Hakuna Missile Inayoweza Kuifuta Nchi Kama Ufaransa. Ninachotaka Kukuambia Ni Kuwa Hata Kama Urusi Awe Na Makombora Mengi Bado Hata Ufaransa Naye Ni Nuclear Power Na Ana Makombora Yanayoweza Kupiga Sehemu Yeyote Duniani (Ni G5 Member Yule). Kwa Maana Hiyo Lazima Atajibu Mapigo.
G5 ni nchi zinazoendelea, unachoongelea ni G7 ambacho kipo kiuchumi zaidi!.. Hata Japana, Italy na Germany wapo ndani yake. Vipi nao wana Nuclear Arsenal zao!?..
 
Kweli kabisa.

hawa jamaa deni lao lilikuwa US$ 714 B mwaka 2014 mpaka mwaka jana lilikuwa limeshuka hadi UU$451 B
 
Urusi bado haijfikia levo ya kupambana na marekani kijeshi; isipokuwa marekani nayo imekuwa inapwaya sana katika kipindi cha miaka ishirini na tano iliyopita kwa sababu za siasa za ndani tu. Tangu mapinduzi ya 1994 ya Contract with America, taifa hilo limekuwa halina siasa za ndani zenye mwelekeo wa kitaifa, badala yake limegawanyika sana kiitikadi na hivyo kutokuwa na sera ya pamopja ya nje kama ilivyokuwa kabla ya hiyo Contract with America..
ushabiki wako mbaya sana, marekani hajawahi kupigana na mwanaume , uwa anapigana na wanawake na watoto ndio sahizi yake. unadhani marekani ingekuwa ulaya ingeweza kupambana na jeshi la hittler? russia amepigana na wanaume haswa na hawakujiandaa kwa vita walishtukizwa tu kwa sababu ujerumani aliweka makubaliano na russia ya kusaidiana wakati wa vita na mjerumani akayavunja. ikumbukwe russia aliiona ujerumani kama rafiki hivyo hakujiandaa kupambana naye. sasa hivi kajiandaa vya kutosha kwa vita kuu yeyote , usa ijipange haswa
 
G5 ni nchi zinazoendelea, unachoongelea ni G7 ambacho kipo kiuchumi zaidi!.. Hata Japana, Italy na Germany wapo ndani yake. Vipi nao wana Nuclear Arsenal zao!?..
Mimi Naongelea G5. Nchi Tano Zenye Nguvu Zaidi Kinyuklia. UN Permanent Members!
 
Na mie nakusahihisha G5 ni Brazil, China, India, Mexico na South Africa.
Ukiongelea nchi zenye Mabomu ya nyuklia sio 5 ni 9, mind you hakuna nyuklia ndogo wala kubwa zote ni Nyuklia. Leo hata NK akimpiga nazo USA na USA akazipangua bado Nuclear Fallout ataipata.
Nchi 9 zenye Mabomu ya nyuklia ni US, Russia, UK, China, France, India, Pakistan, North Korea na Israel. Sasa labda nikuulize hiyo G5 yako ulimaanisha ipi?
Kuhusu permanent member hiyo sio sababu ya kuwa na Nyuklia sababu China alipewa wakati hata hajalipua bado nyuklia zake wala mfaransa alikuwa hata hajatest na yeye. Hiyo Veto power iliwekwa baada ya kushinda WW2 wakati wanaunda UN na bado kuna baadhi ya nchi huwa zinapewa Veto power kwa muda.
 
ftat screen Kama China, halafu mahaba niue wanakuja hapa wanakwambia China Ina uchumi mkubwa na kutisha kuliko urusi ukiuliza kigezo watakwambia anauza hadi mabegi Tanzania, kila nchi Ina vipaumbele vyake, Kama jiwe vipaumbele vyake ni kuua demokrasia Tanzania basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Kwanza Kafanye Findings Alafu Ndio Uje Uchangie Ndugu. China Kwa Sasa Anaweza Kuwa Ndio Tishio Kwa Marekani Kuliko Nchi Nyingine Yeyote. Ni Nchi Ya Pili Kwa Uchumi Duniani, No Matter Utakuwa Na Vipaumbele Gani, Lakini Uchumi Ndio Kipaumbele Kikubwa Kwa Dunia Ya Sasa. Nchi Zenye Ushawishi Mkubwa Ni Zenye Uchumi Mkubwa (Economy Giants)! Mwenye Ushawishi Mkubwa Zaidi Upande Wa Eastern World Kwa Sasa Ni China Huyo Urusi Ushawishi Wake Ulipitaga Huko Kipindi Cha Vita (World Wars & Cold War) Enzi Akiwa Ndani Ya USSR.

Wakati Urusi Yeye Yupo Busy Kuzalisha Silaha, Marekani Has Many Things To Do. Na China Ni Mjanja, Sio Kwamba Anashindwa Kuingia Katika Arm Races Na US Au Russia Ila Anajua Kwa Dunia Ya Sasa It's Nothing Special Ndio Maana Ana-Focus Zaidi Kwenye Uchumi. In Fact Pro-Russians Mnamchukulia China Kizembe Sana. Kama Hamjui Ni Kwamba China Pia Ni Nuclear State., Pia Ana Delivery Systems Zenye Range Ya Mpaka KM 13,000+, Ana Submarines, War Planes, Meli Za Kijeshi Na Yote Tisa, Ni Nchi Ya Pili Kwa Uchumi Duniani.

China Sio Mzembe Kama Unavyofikiri Ndugu!
 
Na mie nakusahihisha G5 ni Brazil, China, India, Mexico na South Africa.
Ukiongelea nchi zenye Mabomu ya nyuklia sio 5 ni 9, mind you hakuna nyuklia ndogo wala kubwa zote ni Nyuklia. Leo hata NK akimpiga nazo USA na USA akazipangua bado Nuclear Fallout ataipata.
Nchi 9 zenye Mabomu ya nyuklia ni US, Russia, UK, China, France, India, Pakistan, North Korea na Israel. Sasa labda nikuulize hiyo G5 yako ulimaanisha ipi?
Kuhusu permanent member hiyo sio sababu ya kuwa na Nyuklia sababu China alipewa wakati hata hajalipua bado nyuklia zake wala mfaransa alikuwa hata hajatest na yeye. Hiyo Veto power iliwekwa baada ya kushinda WW2 wakati wanaunda UN na bado kuna baadhi ya nchi huwa zinapewa Veto power kwa muda.
Kutakuwa Na Misinterpretation Hapo! Wewe Unasemea Emerging Economies, Mimi Naongelea Nuclear Powers Under The NPT (Non-Proliferation Treaty). Ni Nchi Ambazo Zipo Officially Recognized Kama Nuclear Weapon States Ambao Pia Ni Permanent Members Of The UN Security Council. Informally Tunaweza Waita The Great Powers In The UNSC, Mimi Nimewaita G5. Hao Nuclear States Wengine Wame-Declare Wenyewe!
 
Russia akiamua kuingiza jeshi lake Ulaya tabu ataweza ipata Ujerumani na Ukraine ingawa hawa Germans nao wamekuwa laini kizazi chao ila Ukraine ana jeshi kubwa Europe nyuma ya Russia. France na UK watabisha lakini watapigwa tu hawana jeshi kubwa kumzuia.
Ukija kwenye Nuclear arsenal lile SATAN II likitupwa linaweza ifuta France nzima sasa jiulize France na UK ipi kubwa kieneo!..
UK kutokana na historia yake yupo vizuri sana vita ya majini kutokana na Meli anazotengeneza, kule Russia atapigwa mapema tu!.
Kwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.

Pili, Ukubwa Wa France Ni Zaidi Ya Square KMs 500,000. Ili Iweze Kufutika Kwenye Uso Wa Dunia Ni Lazima Hiyo Nuke Itengeneze Detonation Yenye Ukubwa Huo Wa Ufaransa Nzima Kitu Ambacho Mathematically Hakiwezekani. Labda Idondokewe Na Kitu Kutoka Nje Ya Dunia Kama Vile Asteroid Au Sayari Ndogo Yenye Ukubwa Huo.

Tatu, Hata Kama Urusi Itafanikiwa Kurusha Multiple Nuclear Missiles Au Missile Moja Yenye Multiple Targets (MIRV) Bado Ufaransa Atakuwa Na Uwezo Wa Kufanya Retaliation (Counter-Attack) Dhidi Ya Urusi Kwa Maana Hiyo Ile Doctrine Ya Kijeshi Ya Mutual Assued Destruction Itafanya Kazi. Isitoshe France Na Yeye Ana Delivery Systems Zenye Range Zaidi Ya 10,000 KMs (ICBMs).
 
Kutakuwa Na Misinterpretation Hapo! Wewe Unasemea Emerging Economies, Mimi Naongelea Nuclear Powers Under The NPT (Non-Proliferation Treaty). Ni Nchi Ambazo Zipo Officially Recognized Kama Nuclear Weapon States Ambao Pia Ni Permanent Members Of The UN Security Council. Informally Tunaweza Waita The Great Powers In The UNSC, Mimi Nimewaita G5. Hao Nuclear States Wengine Wame-Declare Wenyewe!
Mkuu mara ya kwanza ulitaka aminisha jamii kwamba mataifa makubwa ya nyuklia ni 5 tu nimeipinga hiyo mada. Pia NPT ni mkataba ulioingiwa kuzuia mataifa mengine kuzalisha na kutengeneza silaha za kinyuklia. Officialy huu mkataba ni dunia nzima sio wa hayo mataifa 5 unayoyataja, na kwa kuongezea hata South Africa na yeye alikuwa na bomu la nyuklia lakini baada ya kuamua kuusaini akaliharibu.
UNSC na NPT ni maji na moto, yani ni vitu viwili tofauti kabisa. NPT ni mkataba wa kuzuia, kupunguza na kukataza uzalishaji wa silaha za maangamizi, pamoja na kuimalisha matumizi salama ya nguvu za nyuklia. NPT ilitokana na makadirio yaliyoonekana baada ya miaka 20 kuendelea dunia ingekuwa na zaidi ya nchi 20 zenye silaha za kinyuklia jambo lingeleta machafuko dunia. Na kwa taarifa yako tu Ukraine alikuwa na nyuklia nyingi zaidi hata ya UK lakini baada ya kujitenga na USSR akasaini NPT na kuamua kumrudishia Russia aziharibu silaha. South Sudan hajasaini NPT so akiamua kuzalisha atapigwa kwa ubabe sio kwa kukiuka NPT.
UNSC ni Bodi iliyoundwa baada ya vita vya pili kulinda usalama wa dunia katika masuala nyeti. UNSC ilianzishwa ili kuzipa nguvu (VETO) nchi zilizoshinda WW2 (US, UK, USSR). Nchi kama France yenyewe ilipewa Veto power tu kutokana na historia yake na wala sio ubabe wake kumbuka ilipigwa na Germany. China baada ya kuonekana anakuwa mkubwa zaidi ikabidi na yeye awe drafted ndani. Na kuna harakati German na yeye apewe siti ya kudumu UNSC.
So kusema nchi fulani zimedeclare huko ni kupoteza maana nzima ya NPT halafu na kusema Big 5 au UNSC ni kutokana na Nuclear Power alone huko ni kuharibu history yake!.
 
Nenda Kwanza Kafanye Findings Alafu Ndio Uje Uchangie Ndugu. China Kwa Sasa Anaweza Kuwa Ndio Tishio Kwa Marekani Kuliko Nchi Nyingine Yeyote. Ni Nchi Ya Pili Kwa Uchumi Duniani, No Matter Utakuwa Na Vipaumbele Gani, Lakini Uchumi Ndio Kipaumbele Kikubwa Kwa Dunia Ya Sasa. Nchi Zenye Ushawishi Mkubwa Ni Zenye Uchumi Mkubwa (Economy Giants)! Mwenye Ushawishi Mkubwa Zaidi Upande Wa Eastern World Kwa Sasa Ni China Huyo Urusi Ushawishi Wake Ulipitaga Huko Kipindi Cha Vita (World Wars & Cold War) Enzi Akiwa Ndani Ya USSR.

Wakati Urusi Yeye Yupo Busy Kuzalisha Silaha, Marekani Has Many Things To Do. Na China Ni Mjanja, Sio Kwamba Anashindwa Kuingia Katika Arm Races Na US Au Russia Ila Anajua Kwa Dunia Ya Sasa It's Nothing Special Ndio Maana Ana-Focus Zaidi Kwenye Uchumi. In Fact Pro-Russians Mnamchukulia China Kizembe Sana. Kama Hamjui Ni Kwamba China Pia Ni Nuclear State., Pia Ana Delivery Systems Zenye Range Ya Mpaka KM 13,000+, Ana Submarines, War Planes, Meli Za Kijeshi Na Yote Tisa, Ni Nchi Ya Pili Kwa Uchumi Duniani.

China Sio Mzembe Kama Unavyofikiri Ndugu!
Hamna Kitu unacho kizungumza ungekuwa una penda kufuatilia taarifa bc ucinge zungumza Hyo Nina nukuu kutoka kwa viongoz WA urussi walicho kizungumza kujitoa kwenye mkataba WA INF haimaanishi wataingia kwenye mashindano ya silaha jinamiz ambalo Soviet walikua nalo kutumia rasilimali Nying za nchi kwenye kutengeneza silaha Na kuacha wananchi wake wapo kwenye dimbwi LA umaskin kwakua putin hl swala analifahamu vizur na yko smart sana akamuagiza wazir WA ulinz kuwa bajet ya ulinz haito badilika ndio maana ht juz alipo zungumza aligusia sana swala LA kupunguza umaskin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.

Pili, Ukubwa Wa France Ni Zaidi Ya Square KMs 500,000. Ili Iweze Kufutika Kwenye Uso Wa Dunia Ni Lazima Hiyo Nuke Itengeneze Detonation Yenye Ukubwa Huo Wa Ufaransa Nzima Kitu Ambacho Mathematically Hakiwezekani. Labda Idondokewe Na Kitu Kutoka Nje Ya Dunia Kama Vile Asteroid Au Sayari Ndogo Yenye Ukubwa Huo.

Tatu, Hata Kama Urusi Itafanikiwa Kurusha Multiple Nuclear Missiles Au Missile Moja Yenye Multiple Targets (MIRV) Bado Ufaransa Atakuwa Na Uwezo Wa Kufanya Retaliation (Counter-Attack) Dhidi Ya Urusi Kwa Maana Hiyo Ile Doctrine Ya Kijeshi Ya Mutual Assued Destruction Itafanya Kazi. Isitoshe France Na Yeye Ana Delivery Systems Zenye Range Zaidi Ya 10,000 KMs (ICBMs).
We jamaa bana eti SATAN 2 ni delivery system, na RD-263 itakuwa nini!?... Ina maana kusoma kwako kote source hata moja imeshindwa kukwambia dunia ilitikisikaje kwa kilichotokea mwaka 1961?.
Basi kuna mzigo unaitwa 'FATHER OF ALL BOMBS' au "TSAR BOMBA" kalifatirie na lenyewe limeundiwa kabisa ndege yake maalum Tupolev Tu-160 kulideliver. Kuhusj ukubwa wa mlipuko wake hili FOAB ni kwamba lilipunguzwa ukali siku ya majaribio ila specification zake zote zingetumika hali ingekuwa tofauti siku hiyo!.
Namba 2 naona pumba hakuna point, hivi ukiambiwa USA inaweza ipoteza Tz unahisi hilo bomu likipigwa litakung'uta Tz yote!?. Ni kwamba linapiga Governmental area ina maana kama likipigwa basi Dodoma na Moro au Singida zote zinapotea kwenye ramani. France ni Paris kwingine jina tu na ndio maana Hitler alipoingia Paris basi nchi nzima ikawa imepigwa na uongozi ukakimbilia UK, sawa na ambacho Londoners wangefanya jamaa kama angefanikiwa ingia.
Point namba 3 nilishawahi itolea ufafanuzi, Vita ya Nyuklia ni hatua ya mwisho kabisa special wanapopigana wakubwa!. MAD ni ile "tukose wote" hakuna ambaye yupo tayari kuianzisha, na usipotumia nyuklia basi narudia France na Europas ukimtoa UK ni warembo kwa Russia.
 
Labda Bulgaria ndio kidogo anaweza kuisumbua US kijeshi aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.

Pili, Ukubwa Wa France Ni Zaidi Ya Square KMs 500,000. Ili Iweze Kufutika Kwenye Uso Wa Dunia Ni Lazima Hiyo Nuke Itengeneze Detonation Yenye Ukubwa Huo Wa Ufaransa Nzima Kitu Ambacho Mathematically Hakiwezekani. Labda Idondokewe Na Kitu Kutoka Nje Ya Dunia Kama Vile Asteroid Au Sayari Ndogo Yenye Ukubwa Huo.

Tatu, Hata Kama Urusi Itafanikiwa Kurusha Multiple Nuclear Missiles Au Missile Moja Yenye Multiple Targets (MIRV) Bado Ufaransa Atakuwa Na Uwezo Wa Kufanya Retaliation (Counter-Attack) Dhidi Ya Urusi Kwa Maana Hiyo Ile Doctrine Ya Kijeshi Ya Mutual Assued Destruction Itafanya Kazi. Isitoshe France Na Yeye Ana Delivery Systems Zenye Range Zaidi Ya 10,000 KMs (ICBMs).
HP kwa mathematics umefeli. Ngoja nikupe somo kidogo Kumbuka ya kuwa bomu kubwa LA hydrogen Kuliko yote dunian Lina milikiwa Na russia ambalo lilifanyiwa majaribio mwaka 1961 ambalo liliandaliwa rasmi lilipuke Kwa intensity ya ya megatons ya milion miamoja Ila lika lipuka kwa intensity ya milion 50 ambalo Lina itwa Tsar bomba lili toa mlipuko WA mara 1500 ya mabom ya nuclear ambalo lililipuliwa Na marekani ktk mij ya Hiroshima Na Nagasaki na linajumuisha milipuko yote iliyo Tokea kipind cha vita kuu ya PILI na Kumbuka kuwa bomu LA hydrogen au nuclear utoa joto kufikia mpk nyuz joto 4000. Twende kiehasabu megaton 1 huathir kimlipuko wake eneo lisilozid 1.5 km jee tuna hitaji megatons ngp kulipua eneo lenye ukubwa WA kilometa 500000 ndipo utakapo jua kwa nn putin alisema atahakikisha vibaraka wote wanakua majivu na kimehesabu marekani anahitaj atleast dk 8 kulusha bomu kufika urusi Ila urusi anahitaj dk 2 tu. Na kwa kuongeza endapo tsar bomba linge lipuka Kwa intensity ya 100m ingetosha kuigawa Dunia vipande viwili Kwa mujibu WA wataalamu. Kwaiyo kachimbe kwanza Ndio uje kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom