FRANC THE GREAT delivery system ni nyenzo zinazotumika kulifikisha Bomu eneo husika so hizi delivery system inaweza kuwa Ndege, Magari, Submarine, Trains, Drones na Warships hizi zote ni delivery systems.
Then tukija kwa Minuteman I, Minuteman II na SATAN 1, SATAN 2 hizi sio delivery system ni mabomu halisia.
Kwa mantiki unayoitumia kusema eti SATAN 2 na MINUTEMAN ni delivery system unakuwa unachekesha sana!. Hebu nikuulize unajua smart bomb gani ambalo halitumii rocket fuel!?..
Kama Hujayaelewa Yale Maelezo Niliyotoa Mwanzo Kuhusu Hizo Delivery Systems Tunaweza Kubishana Bure Tu Kumbe Tatizo Ni Understanding! Nimeeleza Vizuri Tu Jinsi Gani Hizi Systems Zinaweza Kubeba Silaha 'Warheads' Na Kuzipeleka Kwenye Targets. Nadhani Hujasoma Hapo Vizuri Maana Kila Kitu Kiko Clear Kabisa!
TUMALIZE UBISHI;
Kuna Vitu Lazima Uvifahamu Hapo Kwanza Kabla Ya Mambo Mengine. Kuna;
Missile,
Warhead,
Payload,
Throw-Weight, Warheads Miniaturization, MIRV (Multiple Independently Targetable Reentry Vehicle) n.k. Na Ndio Maana Usipovielewa Hivi Vitu Na Utendaji Kazi Wake Utaishia Tu Kusema "Yote Ni Mabomu Tu!"
Haya Makombora; ICBM, Cruise Missiles n.k. Ni Delivery Systems Kwa Ajili Ya Silaha Na Yanakuwa Na Sehemu Au Ujazo Wa Kuweka 'Mzigo' Ama Silaha Kwa Lugha Ya Wenzetu "Payload" Ambapo Kila Missile Inakuwa Na Ujazo Wake Ili Iweze Kusafiri Na Ku-Deliver Hicho Kilichopakiwa. Missile Moja Inauwezo Wa Kubeba Warhead Moja Au Payload Yenye Multiple Warheads (Warheads Zaidi Ya Moja) Na Aina Hii Ya Payload Yenye Warheads Zaidi Ya Moja Ni
MIRV (Multiple Independently Targetable Reentry Vehicle) Mfano;
MINUTEMAN III, TRIDENT I, TRIDENT II, RS-28 SARMAT (SATAN 2), R-36M (SS-18) (SATAN), UGM-73 POSEIDON n.k. Kapitie Vizuri Kuhusu Hizo ICBMs Sababu Sometimes Wanasayansi Wanaweza Kuwa Na Designs Za Vitu Just To Confuse Laypersons!
Kwa Upande Wa Warheads Zenyewe, Kuna Processes Hufanyika Kama Vile
Warheads Miniaturization Ili Kuweza Kupata Suitable Quantity Of Warheads Ikiwemo Kupunguza Pia Ukubwa Na Uzito Wa Silaha (Warheads) Na Pia Kupata Multiple Warheads Ili Kuweza Kuzi-Fit Katika Hizo Missiles Ambapo Kuna Involvement Ya Aina Flani Za Chain Reaction Katika Maswala Ya Nuclear Physics Huko.
Hizo
Smart Bombs Ni Tofauti Na
ICBMs Kuanzia Kimuundo Hadi Kiutendaji Kazi. Hizo Smart Bombs Ni Precision-Guided Na Zinaendeshwa Na Mionzi Au Mawimbi (Radio) Kwa Kutumia Tu Ile Kasi Ya Uelekeo Wake Na Mostly Hazina Self-Propulsion System Na Pia Zipo Precision-Guided Munitions Zenye Laser-Guided Rockets Ambapo Hizo Smart Bombs Zinakuwa Monitored Au Zinaongozwa Kupitia
External Devices. Mifano Ya Smart Bombs Ni Kama Vile
GBU-24,
CBU-107 n.k. Ambazo Hazitumii Rockets Ama Fuels Sababu Hazina Propulsion System.
Kwa Upande Wa Ballistic Missiles (ICBM) Ni Kuwa Zinatumia Self-Propulsion Systems Kama Vile Solid-Fuel Rockets Au Liquid-Propellant Rockets Na Pia Jet Engines Kwa Upande Wa Cruise Missiles Na Zinakuwa Na
Inbuit-Guidance Systems Au
On-Board Guidance Systems (Lina Uwezo Wa Kujiongoza Lenyewe).