Kuwa Na Nukes Au Mabomu Ya Nyuklia Haitoshi Pekee. Kuna Vitu Huwa Vinakuwa Considered Ili Kuonesha How Nuclear Capable Nchi Inaweza Kuwa Ukiachana Na Huo Mkataba Wa NPT Unatambua Mataifa Matano.
Kuna Vitu Kama Number Of Deployed Warheads, Number Of Total Warheads Or Nuclear Stockpiles, Delivery Methods n.k. Mfano Kuna Kitu Kinaitwa Nuclear Triad. Huu Ni Muundo Wa Kijeshi Na Kiulinzi Unaohusisha Platforms Tatu Tofauti Za Kiulinzi Wa Nyuklia; (Ardhini) Land-Launched Nuclear Missiles, (Majini) Nuclear-Missile-Armed Submarines Pamoja Na (Angani) Strategic Aircraft Zenye Nuclear Missiles Ambao Zinaipa Uwezo Mkubwa Zaidi Nchi Kuweza Kufanya "Second Strike" Au Ku-Respond Dhidi Ya Shambulizi Kutoka Nchi Nyingine, Hata Kama Adui Atakuwa Ame-Target Moja Ya Platform Center Yako Iliyopo Kwa Ajili Ya Retaliation, Kwa Maana Hiyo Inaifanya Nchi Moja Kuwa More Deterrent Kuliko Nchi Nyingine.
Kwa Maana Hiyo Hata Kama Una Silaha Za Nyuklia Kama Nchi Yako Ni Less Deterrent, Kuna Uwezekano Mkubwa Ukawa Completely Annihilated Hata Kabla Hujajibu Mashambulizi Na Ni Mbaya Zaidi Kama Adui Yako Atajua Maficho Au Sehemu Zilipo Silaha Zako Anaweza Kuzi-Target Tu Zenyewe. Pia Unaweza Kuwa Na Mabomu Ya Nyuklia Lakini Usiwe Na Nyenzo Bora Za Kuyatuma Kwenye Targets Ukaishia Ku-Concede Attack.
China, France, USA, UK, Russia Wapo Very Advanced Katika Maswala Ya Nuclear, Nuclear Tactics, Delivery Methods And Systems, Wana Delivery Sytems (ICBM) Zenye Ranges Zaidi Ya KM 10,000 Na Hao Wote Wana More Than 200 Nuclear Warheads. Hawa Hata Wakipigana Hakuna Kitakachobaki, Ila Tu Tusiombe Haya Madhara Yatokee Maana Pengine Ndio Utakuwa Mwisho Wa Dunia.
Kuna Nchi Nyingine Kama Pakistan, India, Israel Na NK Pia Wana Nukes Lakini Huwezi Kuwaweka Sawa Na Hao Watano Wakwanza Ukilinganisha Stockpiles Zao, Delivery Methods Na Nuclear Tactics Walizonazo.
It's One Thing To Build A Nuclear Bomb. It's Another Thing Entirely To Deliver The Weapon To Its Intended Target And Detonate It Successfully!