Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

Anazo ngapi wakati unajua Russia ndiyo baba wa hayo madude duniani
Anazo Warheads Zaidi Ya 300. Na Mainly Ni Kwa Ajili Ya Deterrence. Hata Urusi Naye Ni Kwa Ajili Hiyo Ndio Maana Anaishia Kuzungumza Tu Maana Wanajua Kwamba Hata Yeye Hayupo Salama Sababu Ya Kitu Kinachoitwa Mutual Assured Destruction.
 
Russia kinachowapa ugumu katika mahusiano haswa na nchi za Africa au Amerika ni ubaguzi wa raia wao haswa ukiwa kwao, Russia wakati wa miaka ya 60 na 70 ingezikamata sana nchi za Afrika kupitia sera ya ujamaa lakini walishindwa kutengeneza mahusiano ya kiuchumi na hii yote inatokana na wao kujiona kuwa rasilimali wanazo hivyo hawawezi kunyeyekea.
Nani amekwambia shida zinazoeleka mkuu?.Fact ni kwamba Russia hawapendi kuwa kwenye depression kila kukicha hata kidogo,tatizo hakuna akili ya kuwatoa hapo walipo,Maana akili iliyoyopo inawaza military might 24/7.Hakuna nguvu muhimu kama nguvu ya uchumi asikudanganye mtu,you can do what ever you want.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unachosha na unanikata stimu tu hapa. Kwanini wamepunguza Sasa jeshi huko? Sasa kikosi cha askari 200 nacho unaona ni kitu? Unajua level za vikosi vya askari? Kama brigedi Au batallion inahitajika kuwa na askari wangapi?...

Sent using Jamii Forums mobile app
Point Yangu Ni Kwamba Vikosi Vya Marekani Nchini Syria Bado Vipo Ingawa Vimepungua. Na Hapo Nasemea Syria Sio Middle East.
 
Unajua kawaeleza kuwa...nchi yoyote itakayopokea silaha za kuitisha Russia, si nchi hiyo tu itakayodhuriwa na 'majibu' ya Russia bali hata command centres za nchi iliyohusika kupeleka silaha hizo karibu na Russia.
Hivi zile meli na submarines zilizorusha makombora Syria mwaka Jana alishazilipua?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point Yangu Ni Kwamba Vikosi Vya Marekani Nchini Syria Bado Vipo Ingawa Vimepungua. Na Hapo Nasemea Syria Sio Middle East.
Kuvipunguza maana yake ushawishi wake maeneo hayo umepungua ndio maana anasaka chimbo lingine. Na ku withdraw troops ni hatua hivyo atatoka mazima.

Hiyo US ya kusoma mainstream na vijigazeti uchwara ndio tatizo. US naijua Vizuri mkuu..sio kwa kuisoma tu..through their operatives..fuatilia Vizuri post kipindi cha kusimikwa kwa DT kuna post niliandika inaonekana ramli ila ndio uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu chunguza deni la nje la urusi linapanda Au linashuka ndio utajua kwamba hicho kiburi cha Putin kinatoka wapi. Urusi ya sasa sio ile ya zamani..wanakuja juu kwa kasi sana kiuchumi. Ni tishio kwa US na ndio maana kakimbilia kupeleka fujo amerika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu,Ukubwa au udogo wa deni la nje haudetermine strength ya uchumi,hio ni factor minor sana,Factor kubwa ni pato ghafi la ndani au GDP hii ndo inaongesha uhalisia ni jinsi gani watu wanazalisha na kununua vitu ili kuchangia uchumi.Kwa hapa Russia ni wa kawaida sana,Hata Southi Korea hamkamati,ndo akaitishe USA.Nchi pekee inayoiumiza kichwa USA kiuchumi ni China peke yake,hawa wengine ni swala tu.Ukiangalia worlds' biggest markets ambazo zinaweza ku shake na kuathiri uchumi wa Dunia,Wala Russia hawamo kabisaa.Hapa utazikua USA,China na Japan.Hawa wengine ni wa kawaida sana.
 
Sawa. Uko sahihi kulingana na source zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mjerumani aliweza kumumdu mfaransa mpaka kuteka nchi nzima Russia hatachukua muda kuhakikisha vibaraka kama ufaransa wamefutika duniani Tsar Bullava nk hayo yote ni nyuklia
Hata Hitler aliweza kupigana na kuingia hadi Moscow,Stalin akakimbilia mji mwingine na kusubir hali winter ndo wakawasogeza Germans.Kila nchi ilionja joto ya Hitler bana.Usiongee kishabiki
 
Unajua kawaeleza kuwa...nchi yoyote itakayopokea silaha za kuitisha Russia, si nchi hiyo tu itakayodhuriwa na 'majibu' ya Russia bali hata command centres za nchi iliyohusika kupeleka silaha hizo karibu na Russia.
Vita ya Nuclear haina mshindi rafiki,asikudanganye mtu,yaani ni kama kuwasha kiberiti ukiwa kwako ukatupa kwa jirani uku nyumba yako umemwaga petrol.
Halafu kwanza mwanaume kama ni mbabe hupaswi kukaa na kutoa vitisho kwa watu,ukifanya hivyo lazima utakuwa na udhaifu tu,wanaume imara huwa wako kimya tu wanasubir wachokozwe.
 
Back
Top Bottom